nyegezi

St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private university in Mwanza, Tanzania. It was founded by the Catholic Bishops of Tanzania in 1998 (accredited in 2002) as a secular, nonprofit, private institution. Before 1998, SAUT was called first Nyegezi Social Training Centre and then Nyegezi Social Training Institute. SAUT has over 10,000 students with an anticipated minimal rise each new academic year. The university attracts students from Tanzania and elsewhere, particularly Kenya, Uganda, Sudan, Ethiopia, Burundi, Malawi, Zambia, and recently Germany and other foreign nations. SAUT admits students of all nationalities and religious affiliations.

SAUT extends over 600 acres (2.4 km2) in the Nyegezi-Malimbe area, 10 km (6.2 mi) south of Mwanza on the shores of Lake Victoria. The university is divided into two campuses. The main campus (old campus) houses the administration buildings and the Faculty of Business Administration. The Malimbe campus, located one km away, is home to the Faculty of Law, Social Sciences, Engineering, Business Administration, Education and Mass Communication.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Madereva Bajaj Nyegezi - Mwanza wanajipangia bei za juu muda wa usiku

    Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
  2. T

    KERO Wakazi wa Nyegezi (Mtaa wa Mpambije Street na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji

    Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan katika mitaa ya Mpambije Street, Ellys na Kumalija, Nyegezi. Kwa kipindi kirefu...
  3. K

    KERO Nyegezi, Mwanza wananchi wanalia na mgo wa maji! Ndugu zangu Afrika ni laana

    Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi? ni Afya? ni Elimu? ni nini hasa? Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji! Mwanza wanalia mgao wa maji? Sio siri jamani sisiemu nchi imewashinda mkubali tuu
  4. Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujiunga na Vyuo vya Uvuvi kama Mbegani-Bagamoyo na Nyegezi-Mwanza

    Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona chochote naomba kwa mwenye ufahamu anaipe ualewa zaidi.
  5. Hujuma stendi ya Mabasi ya Nyegezi ( Mwanza)

    Serikali imewekeza Fedha nyingi saana ambazo ni kodi zetu sisi walala hoi kwenye ujenzi wa Stand hii ya Nyegezi lakini leo nimesikitika kukuta chooni hakuna maji na ni kwazaidi ya miezi Sita(6). Mkandarasi anayetoa huduma amejibu kwa wepesi tuu kwamba amewapigia simu watu wa mamlaka na...
  6. Mwanza: kuna Haja ya Uwanja wa Stand ya zamani Nyegezi kubadilishwa na kujenga Hospital

    Mara baada ya standi ya zamani nyegezi kuhamishwa tunashauri manispaa ya nyamagana kutumia eneo la stand ya zamani nyegezi kwa ajili ya kutenga na kujenga hospital kubwa Nyamagana Kwani Hospitali kuu ya wilaya ya nyamagana ambayo inapatikana mkuyuni karibu na Butimba kwa sasa naona kama haiwezi...
  7. KERO Maji machafu Stendi ya Mabasi Nyegezi - Mwanza yanahatarisha Afya za wasafiri

    NImeshangaa kusema ukweli, nilikua natoka kwenye pilikapilika zangu Mikoani, wakati nashuka Stendi kuu ya Mabasi ya Nyegezi nikakutana na harufu kali ambayo kimsingi haivumiliki. kugeuka kushoto kulika nikakuta maji machafu yatokanayo na kinyesi yanatitirika bila wasiwasi ndani ya stendi hiyo...
  8. MWAUWASA: Kulikuwa na hitilafu ya mfumo wa maji Stendi ya Mabasi Nyegezi (Mwanza), huduma imerejea

    Stendi ya Mabasi Nyegezi ni moja ya wateja wakubwa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) na Mamlaka imeweka utaratibu wa kufanya ukaguzi wa huduma na miundombinu yake mara kwa mara. Palitokea hitilafu katika mfumo wa usambazaji maji kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki...
  9. A

    KERO Responded Vyoo vya Umma katika Stendi ya Nyegezi Mwanza havina maji zaidi ya mwezi

    Vyoo vinavyotumiwa na abiria pamoja na watu mbalimbali ndani ya Stendi ya Mabasi ya Nyegezi Jijini Mwanza, havina huduma ya maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya mwezi mmoja, taarifa ikiwa ni kwa mujibu wa wafanyakazi na Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao ndani ya stendi hii ya kisasa...
  10. MWAUWASA: Tunafahamu changamoto ya Maji katika baadhi ya maeneo Nyegezi, tunaifanyia kazi

    Kufuatia andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi Jijini Mwanza kudaiwa kuwa ni duni, kisha kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) ijitafakari kwa kuwa inawakwamisha Wananchi wengi wa maeneo hayo, Mamlaka hiyo...
  11. T

    Stendi ya Mabasi Nyegezi na Nyamuhongolo (Mwanza) Vyumba vingi vya Biashara vipo tupu kutokana na uendeshaji mbovu

    Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
  12. KERO Taka zinazagaa ovyo Mtaa wa Nyabulogoya, Nyegezi (Mwanza), kifaa cha kutupia taka nacho ni taka

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Nyabulogoya, Kata ya Nyegezi tuna changamoto ya kukosekana kwa chombo imara cha kuweka taka katika maeneo yetu licha ya kuwa tumekuwa tukitoa taarifa kwa Mamlaka zinazohusika juu ya hali hiyo. Kifaa kilichopo kimechoka na hakifai, hata chenyewe ni sehemu ya takataka pia...
  13. Traffic lights zilizopo Nyegezi kona ni kero kwa wanainchi

    Wanajamvi salama... Tatizo la traffic 🚦 lights zilizowekwa barabarani pale NYEGEZI Kona ni KERO sana na ipo siku kutatokea ajali kubwa sana maeneo Yale. Sijajua evaluation na vigezo walivyotumia wanaojiita wataalamu kuweka mataa eneo lile kwani ndio kumekua na msongamano mkubwa wa magari, kila...
  14. A

    KERO Makondakta Stendi Kuu Nyegezi wanavamia abiria na kusababisha upotevu wa mali zao

    Habari, Utaratibu wa Makondakta katika stend kuu ya Nyegezi si mzuri hata kidogo. Makonda wanawavamia abiria hivyo kupelekea kupoteza baadhi ya vitu kama simu NK. Asubuhi nimeshuhudia abiria kaibiwa simu katika virugu hizi. Naona nisaidie kuripoti Hilo. Ni kero.
  15. S

    Kuelekea AFCON 2027, JWTZ mna eneo zuri pale Nyegezi kona mnaweza kujenga uwanja mzuri wa mpira

    Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania. Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi. Pale Nyegezi kona katikati ya jiji la Mwanza mna kiwanja local ambacho huwa mashindano mbalimbali ya michezo huwa yanafanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…