Traffic lights zilizopo Nyegezi kona ni kero kwa wanainchi

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,344
1,790
Wanajamvi salama...

Tatizo la traffic 🚦 lights zilizowekwa barabarani pale NYEGEZI Kona ni KERO sana na ipo siku kutatokea ajali kubwa sana maeneo Yale.

Sijajua evaluation na vigezo walivyotumia wanaojiita wataalamu kuweka mataa eneo lile kwani ndio kumekua na msongamano mkubwa wa magari, kila Kona iliyopo ukiwa unatokea mjini Kuna kituo eneo lile lile yalipo mataa hivo daladala husimama na kushusha watu maeneo hayo pia ukivuka mataa kuelekea chuo cha saut pia Kuna kituo ambacho kinahatarisha watembea kwa miguu na magari yanayosubiri ruhusa ya mataa pia.

WAHUSIKA MLIANGALIE HILI KWA JICHO LA TATU.
 
Back
Top Bottom