Baada ya upotoshaji mwingi wa je ni kweli Bwana Civilian Coin ameachiwa na Mahakama au kamaliza kifungo, meza yetu imepambana mpaka ikapata nyaraka kutoka kwa wadau wetu. Kama hapa zinavyosomeka na je alifungwa kwa jinagani Deogratius Kisandu au Civilian Coin, majibu yote ni hapa jf.
25min ago
FBI investigating if top counterterrrorism official who resigned leaked classified info
By AP
FILE - Joe Kent, then-director of the US National Counterterrorism Center, speaks during a congressional debate at KATU studios, October 7, 2024, in Portland, Oregon. (AP Photo/Jenny Kane...
Februari 4, 2026
DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
Rais Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi wateule ikiwemo wa Tume ya Maadili leo Mei 24, amewataka kusimamia maadili kwa watumishi wa umma kwa nguvu na uadilifu.
"Sisi viongozi ni watu na wanadamu, kuna miiko tumewekewa. Ukitufanyia tathmini leo unaweza ukatukuta asilimia 30 tu kweli...
Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za...
Msemaji ofisi ya Waziri Mkuu Israel na Maofisa wanne Jeshi la Israel wamekamatwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri kutoka ofisi ya Waziri Mkuu
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
An IDF officer has been arrested as part of the...
C Wizara ya Usalama wa Taifa imesema Maafisa Wawili wa Jeshi (Guo na Li) waliotakiwa kuziharibu nyaraka za siri takriban 200 waliziuza katika Kiwanda cha kuchakata taka kwa chini ya Dola 4 za Marekani
Tukio hilo limebainika baada ya Mstaafu mmoja aliyetajwa kwa jina la Zhang, ambaye hununua...
Jana mtandao wa wikileaks uliachia baadhi ya taarifa za siri kuhusiana na watu maarufu pamoja na Nchi mbalimbali.
Mwanzilishi wa kampuni ya apple marehemu Steve Jobs alikufa kwa ukimwi. Mimi ndio maana nikiona mwanamke anatumia iPhones sina muda nae wala simtongozi.
Taarifa za siri za serikali...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anashtakiwa kwa makosa ya kumiliki nyaraka za siri za Serikalii zikiwemo za nyuklia na zinazohusu mipango ya kijeshi ya Taifa lake.
Imeelezwa katika mashtaka 37 yanayomkabili ya kuficha nyaraka hizo katika mjengo wake uliopo Florida, baadhi ya nyaraka...
Nyaraka hizo za siri za pentagon zilizovuja zimeonyesha hali ya vita Ukraine hasa kwa upande wa maendeleo ya silaha za marekani zilizokuwa uwanja wa vita.
Nyaraka hizo zimeeleza kuwa Russia ime-jammed mabom yanayo ongozwa na GPS (Smart bombs) pamoja na guided rockets zinazotumia mfumo wa GPS ...
Kijana Jack Teixeira akielekezwa kwenda kwenye gari ya maofisa wa SWAT kutoka FBI. Picha na CNN
Jack Teixeira kijana mwenye umri wa miaka 21 ambae ni mwanajeshi katika jeshi la anga la Air National Guad ambalo lipo katika mji wa Masachusetts.
Kijana huyo tayari yupo mikononi mwa FBI na...
Zimejadili mpango wa kumuua Putin; Marekani yakiri uvujaji wa nyaraka za kijasusi ni jambo hatari.
Marekani imekiri kwamba uvujaji wa nyaraka za siri za Wizara ya Ulinzi wa nchi hiyo, Pentagon ni jambo hatari na kwamba suala hilo ni uvujishaji mkubwa wa taarifa za kijasusi.
Sambamba na hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.