Kwa miaka mingi, wananchi wa maeneo ya Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, yanayopakana na Wilaya ya Nyamagana wamekuwa wakikabiliwa na ukosefu mkubwa wa huduma ya maji safi na salama, huku mji ukiendelea kukua kwa kasi.
Maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Nyanshishi, Nyang'homango na Usagara...