no refom no election

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Watu 9 washtakiwa kwa Uhaini Makambako, idadi yafikia watuhumiwa 196 nchi nzima

    Watu tisa wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Njombe wakikabiliwa tuhuma za kosa la uhaini na kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 makosa ambayo waliyalifanya kwa kipindi cha kati ya mwezi March mpaka Octoba 30 mwaka 2025. Akisoma...
  2. PostGE2025 Cyprian Musiba: Kwa nilichokiona kwenye Uchaguzi Mkuu, Madai yote ya Tundu Lissu na CHADEMA ni sahihi

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba, ambaye pia alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Mwibara mkoani Mara kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kuwa malalamiko yote ambayo yamekuwa yakitolewa na Tundu Lissu pamoja na chama cha CHADEMA ni ya kweli, akisisitiza kuwa mfumo wa sasa wa kikatiba unatoa...
  3. GE2025 Sipati picha maumivu CHADEMA wangepitia kama wangetia timu kwenye huu uchaguzi huu bila reforms

    Hivi tu hawashiriki uchaguzi lakini viongozi wao wanatekwa inchi nzima. Nini Kingetokea wangeingiza timu bila reforms? Ingekua massacre
  4. GE2025 Tukatae huu upotoshaji, CHADEMA hawakuweka mpira kwapani. Walitaka mabadiliko yenye manufaa kwa taifa

    CHADEMA walitaka kuwa na Katiba ambayo italeta misingi thabiti kwa taifa letu. Kuwa na uchaguzi huru na wenye haki. Kuwa na sheria madhubuti ambazo zingesimamaia uchaguzi huru. Mfano kuwa na nafasi ya kupinga matokeo ya urais ikiwa kuna mizengwe kwenye uchaguzi. Hili la kusema waliweka mpira...
  5. ACT, Msajili wa vyama kawatengenezea njia ya kudai Reforms. Ni hapa hapa no Golden chance again

    Ni hapa hapa unganeni na Chadema kudai Reforms. Mnakumbuka kada mmoja wa CCM aliandika barua ya kulalamika kwamba Samia Hana sifa ya kugombea akapuuzwa na msajili Hadi akafungua kesi mahakamani? Mpaka sasa hakuna majibu ya kesi hiyo na Kuna dalili kwamba ikapigwa chini. Sasa huu moto wa mpina...
  6. Michezo michafu ya CCM yaanza kuwarudia na kuliangamiza Taifa. Tumeshakuwa kuwa Lawless Country

    Kwa sababu iliwapendeza wao waliona sawa pale Mwambe alipojiondoa Chadema alafu akaendelea kuwa mbunge wa CCM kipindi cha awamu ya 5 kinume kabisa cha Katiba na Sheria za Nchi. Kwa sababu iliwapendeza wao, wakaona sawa kabisa wabunge 19 wa Chadema walipoendelea kuwa wabunge baada ya kufukuzwa...
  7. GE2025 Golugwa: Bila mabadiliko ya kweli, hatutashiriki uchaguzi ambao hautaleta haki

    “Hatutokuwa tayari kabisa sisi na wananchi walioko nyuma yetu hatutokuwa tayari kwenda kwenye uchaguzi ambao kimsingi sera na taswira yake itakuwa ni tendo la unajisi,” amesema Golugwa. Amesisitiza kuwa mifumo ya uchaguzi inayoongozwa na sheria, kanuni na Katiba ya nchi ina mapungufu makubwa...
  8. Mpina ana wenge au hana notes au ni oversize position?

    Wakuu ivi mpina bado anawenge au hajapewa notes?? nimekuwa nikifatilia mpina akipanda jukwaani naona kuna kitu kina miss kwake ni kama vile hana notes anatumia past papers kujinadi, nani anatakiwa kumpa notes?? Yaani akiongea hata haletee ile feeling ya kuonyesha ana kitu cha kushawishi mtu...
  9. GE2025 John Heche: Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika

    Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
  10. GE2025 CHADEMA na Lissu endeleeni kushikiria hapo hapo (NRNE), watanzania wamewaelewa na wanawakubali sana

    Kuna msemo unasema uongo ni wa kitu cha kukufurahisha na kukaa kwa muda mfupi tu, lakini Ukweli unaweza kuwa mchungu mwanzoni lakini hudumu milele na huzaa furaha ya siku zote hapo mbeleni. Kile kitendo tu cha Lissu kusema anakwenda kugombea na mwisho kuutwaa uenyekiti wa CHADEMA, ghafla nchi...
  11. GE2025 Ally Makame: No Reforms, No Election ni kauli ya kukwepa wajibu wa kisiasa

    Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ADA-TADEA, Ally Makame, ameikosoa vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya No Reforms, No Election, akidai kuwa ni jaribio la kujipa mamlaka ya kipekee kisiasa na kupotosha mwelekeo wa taifa...
  12. GE2025 Mwangwi wa Baragumu la NRNE bado unalitetemesha Taifa; ni sauti ya Mungu kwa watanzania, na Lissu ndio Nabii!

    Shikamooni Wajumbe! Mlimsikia Mke wenu mkubwa? Kaeni mkao kuyasikia ya Ukweni! Kama ambavyo kuna watanzania wenzetu hatunao sasa, waliotamani kuona reforms za uchaguzi zikifanyika, lakini hawakulishughudia hilo likitokea kwenye maisha yao; yawezekana pia hata kizazi hiki kisishughuhudie hilo...
  13. GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

    Habari JF, kwa sasa mivutano na teuzi za wawania Urais ,ubunge na udiwani ndani ya CCM ndio habari kuu mitaani kwa wote wana CCM na wana CHADEMA, maandalizi ya uchaguzi yanaendelea na tuna miezi miwili . Tundu Lissu na CHADEMA wana kesi ambazo hazijulikani mwisho wake lini na ni nini hatma yake...
  14. GE2025 Serikali isiyo ya samaki imekigeuza chama ghafla sana, jaribuni kuelewa mkiambiwa NoReforms NoElection

    Kabla hajatubu, Mwenyekiti aliyejipitisha anakimbilia kubadilisha katiba ya chama. Hakuna cha kumfanya. Ndani ya hichi chama kuna usemi wa,'acha waseme na usiku watalala ' Kweli anawachezesha apendavyo na msajili wa vyama yupo kwenye pochi.Mkutano kaitisha wa kimtandao hauna posho wala nauli...
  15. Ukweli mgumu kwa nchi

    Sikiliza Huu ujumbe kwa Nchi https://youtu.be/qQHFX3DBj-k?si=4YEiO6KBXBJgn-0O
  16. GE2025 Wadau Wapendekeza No Reforms No Election iwe salamu mpya kwa Watanzania, iwe Mbadala wa Habari gani, Hujambo na Shikamoo

    Baadhi ya Wananchi wa Tanzania Wamependekeza kampeni ya Mungu inayofahamika kama No Reforms No Election, ianze mara moja kutumika kama salamu kwa Raia wote Nchini humo. Imeelezwa kwamba, ukikutana na Mtu mzima popote pale, iwe ofisini, mitaani, sokoni au kwenye Bar, Badala ya kumpa salamu ya...
  17. Baada ya mfupa wa "no reform, no election" kuwa mgumu kutekelezeka, wanaCHADEMA tumeamua kubeba ajenda za wana CCM

    Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea. Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya...
  18. GE2025 Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" (Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi)

    Kauli mbiu ya "No Reform, No Election" (Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi) hutumiwa na makundi ya kijamii au kisiasa kupinga kushiriki katika uchaguzi hadi pale mageuzi ya kisiasa, kisheria, au ya kiutawala yatakapofanyika. Malengo ya kampeni hii kwa kawaida huwa ni: 1. Kushinikiza Mageuzi ya...
  19. GE2025 Recho Kiogwe: Kudai ‘reforms’ sio sababu ya kususia uchaguzi

    Mtia nia wa ubunge Jimbo la Mkinga mkoani Tanga kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Wakili Msomi Recho Kiogwe, amesema historia ya kudai mabadiliko ya kisiasa nchini ni ndefu na haikuwahi kuambatana na ususiaji wa chaguzi, hivyo anapinga hoja ya kususia uchaguzi kwa kisingizio cha...
  20. S

    Did CHADEMA really say No Reforms No Elections, or No Reforms No Erection, implying they will strive to make the ruling party politically impotent?

    Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza kukichukia chama tawala cha CCM kutokana na matendo yake yanayozidi kufunuliwa kutokana na msimamo huu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…