njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Njia hizi zitakurahisishia usafi jikoni na kuweka jiko lako safi bila bacteria

    Njia hizi zitakurahisishia usafi jikoni na kuweka jiko lako safi bila bacteria 1. Tumia chumvi na ndim kusafisha ubao wa mbao wa kukatia vitu jikoni. Mwagia chumvi kwenye ubao halafu sugua na ndimu. 2. Safisha tray zako za kuchoma kwenye oven kwa kuchanganya nusu kikombe maji na nusu kikombe...
  2. B

    Hivi ni nani anaweza kutueleza tulitoka wapi, tupo wapi na tunakwenda wapi?

    Hivi ni nani anaweza kutueleza tulitoka wapi? Tupo wapi na tunakwenda wapi? - Sababu mpaka sasa nimeshindwa kutambua ni nini kinaendelea na ni nini kilitokea. Nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi? Fumbo ili litapata majibu pale wausika wote watakapo fikishwa katika vyombo vya dola, utetezi...
  3. Ipi njia nzuri ya kufanya 'stock' dukani kwa mfanyakazi?

    Habiri wana jamii Je ni ipi njia nzuri ya kukufanya stoko dukani na njia rahisi maana kuna njia moja ninayo tumia ya kutumia daftari kilicho toka na kilicho ingia na kubaki imenishinda mimi kama mfanyakazi.
  4. H

    Naomba tufahamishe njia mnazotumia kutuma mizigo kutoka China kuja hapa Tanzania

    Habari za leo wakuu, Naomba leo tujadiri mambo ya msingi sana, mambo ya biashara. Ni njia zipi mnazotumia kutuma mizigo ya biashara kutoka China kuja hapa Tanzania. Mfano mzigo wa nguo, simu au mzigo mwingine wowote wa baishara mnatumia njia zipi kutuma. Njia ambazo ni haraka, za bei rahisi...
  5. Njia za kupata mtaji wa biashara

    Tatizo la kukosa mtaji limekuwa kubwa mno, watu wengi wanandoto za kufanya biashara ili kujikwamua kiuchumi, kila mtu anatamani walau afanye kitu kwaajili ya kupata rizki ila wanashindwa namna ya kuanza kufanya yote kwasababu ya kukosa fedha. Hizi apa njia kazaa ambazo unaweza tumia ili kupata...
  6. J

    Njia ambazo mtu anaweza kutengeneza pesa mtandaoni bila mtaji

    Vijana wengi tumekuwa wavivu na waoga hasa linapokuja suala lautafutaji watu wengi wanaamini kufanikiwa kupitia njia za ndugu zao au walizotumia jamaa zao Kuna kitu nataka nikushauri kijana mwenzangu japo kwa uchache tu. Binadamu tumeletwa duniani ili tuishi na tufurahie maisha lakini huwezi...
  7. Waziri wa Nishati aridhishwa na kazi ya ujenzi wa njia ya umeme kuelekea Stiegler's Gorge

    Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuridhishwa kwake na kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha Umeme wa msongo wa kV 33 inayojengwa kuelekea eneo litakalotumika kuzalisha Umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge). Dkt. Kalemani aliyasema hayo...
  8. Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

    Je, imetokea kwa bahati mbaya umetegeka na mwanafunzi na ukamwaga ndani? Au umemwagia dada ambae unahisi huwezi kuzaa nae au hauko tayari, vivyo hivyo kwa mwanamke umetembea na mwanaume usingependa uzae nae au hauko tayari kuzaa nae. Embu tusubiri wataalamu watupe majibu, mwenyewe sijui.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…