njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Njia mbadala za kupunguza uzito

    Salaam. Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama kuna supplements salama za ku boost kupunguza uzito aweke bayana. Asante
  2. JamiiForums Tanzania Udukuzi Kwa Njia ya Matangazo ya Zawadi

    Uwapo kwenye Tovuti (website) Usifungue matangazo ya Zawadi wala kujaza taarifa zako kwenye Tovuti usiyoiamini watu wengi wamekuwa wakirubuniwa na Matangazo ya Zzawadi yanayo onekana kwenye Tovuti. Wanapoyagusa yanawahitaji kujaza taarifa zao Binafsi kama Email, passowrd, Majina kamili...
  3. JamiiForums Tanzania Njia za kudumu zinazoweza kutumiwa na TRA kuhakikisha watu wengi wanalipa kodi nchini

    Ukifuatilia Takwimu, utasikia TRA wanadai idadi ya walipa kodi nchi hii ni ndogo sana licha ya nguvu nyingi zinazotumika ikiwemo masuala ya TaskForce, kuhakikisha watu wanadai receipts na matumizi ya EFD machines. Kwa njia hizo, ni kweli kabisa idadi ya walipakodi itaendelea kuwa ndogo. Nini...
  4. JamiiForums Tanzania SGR kuziba njia za watu bila kuweka utaratibu mbadala Dodoma mjini

    done
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali tunaomba itusaidie wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tuajiriwe

    Serikali tunaomba itusaidie MUHAS! Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina wakufunzi walioajiriwa na wanaotufundisha wanajitolea kutoka Hospitali ya Taifa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania 4R, Tume Huru na Kauli ya Nape, tupo njia panda kwa sasa

    Wananchi tuko kwenye mtanziko kilichopo hasa ni nini. Twende na kipi, Serikali imetumia pesa nyingi kutunga sheria mpya ya uchaguzi, mikutano ya Mabaraza ya vyama na kadhalika. Lakini sasa tunaambiwa kuwa ushindi utapatikana nje ya sanduku. Sasa kipi ni kipi hasa,Kauli ya kukanusha ya Makalla...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya Makabati Mwenge Njia ya kwa Kakobe kabla ya Lufungira

    Nauliza kwa mwenye ufahamu wa bei ya makabati ya nguo ambayo hayana mlango. Yapo kama shelves pale service road ya kwenda Lufungira kutokea Mwenge ni kiasi gani?
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Assa Makanika: Kigoma Kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa kwa Njia Sita za Umeme

    MBUNGE ASSA MAKANIKA ATOA MSISITIZO KWA MABALOZI KUHAKIKISHA WATU WANAJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika akiwa katika ziara yake ya kuzungumza na Mabalozi wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo lengo ikiwa ni kuhamasisha...
  9. JamiiForums Tanzania Masters au PMP? Chagua Njia Bora kwa Ajili ya Kazi Yako! (Project Management Context)

    Habari wanachama wa JamiiForum, Je, uko katika njia panda, ukifikiria kama utafanya Shahada ya Uzamili (Masters) au kupata cheti cha PMP? Vyote ni vya heshima na vinaweza kuathiri kazi yako kwa kiasi kikubwa, lakini vina malengo tofauti. Hapa kuna uchambuzi kukusaidia kufanya uamuzi sahihi...
  10. JamiiForums Tanzania Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake bwaanah! Njia mpya ya kupiii wakiwa wamesimama!

    Nini kilichobaki ambacho hawakiwezi?
  12. JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kutatua matatizo yoyote yale

    Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,,kwa maana kwamba kama kusingekuwa na matatizo basi huyu mwanadamu asingekuwa na umuhimu wowote hapa duniani Kwahiyo shida na matatizo ndio yanatufanya tutafakari kwa kina,tuwaze na kuwazua na mwisho wa siku tunapata ufumbuzi Kuna njia nne kuu za...
  14. JamiiForums Tanzania Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

    NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33 Mikoa itakayoathirika...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  16. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapinduzi ya Elimu na Teknolojia: Njia Kuu ya Kufikia Tanzania Tunayoitaka

    Elimu na teknolojia ni misingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu katika taifa lolote. Katika muktadha wa Tanzania, uwekezaji katika elimu kwa kutumia teknolojia unaweza kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Andiko hili linapendekeza mbinu za kibunifu ambazo zinaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za Ukusanyaji mapato na uandaaji wa bajeti bora katika Tanzania TUITAKAYO

    Njia Tano Bora za Ukusanyaji Mapato Bila Unyonyaji kwa Mwananchi 1. Matumizi ya Teknolojia na Mfumo wa Kielektroniki: -Ushuru wa Dijitali: Kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa ushuru ili kuboresha uwazi na kupunguza rushwa. Hii inaweza pia kupunguza gharama za ukusanyaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume wanatumia taulo za kike kupitisha vilevi kwa njia ya haja kubwa

    Duuh nimeona hii taarifa nimeshtuka Sana na kusikitika.... Ama kweli duniani inaelekea ukingoni Source:EFM (Joto la asubuhi )
  20. JamiiForums Tanzania Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

    Habari wana jf. Kwenye harakati za utaftaji kuna mapito mengi Sana mtu anapitia mpaka anatoboa,Kuna watu wamepitia msoto mkali,wamekutana na changamoto sio za nchi hii,Kuna wakati unajiona unastahili kabisa kukata tamaa ila Kuna sauti ndogo ndani yako inakuambia "never give up" na hasa ukiskia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…