njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kariakoo: Dereva amtolea panga mwenzake wakigombea njia

    Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake! ================ Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa Sikukuu, jijini Dar es Salaam, wamejikuta katika mzozo mkali wakigombea njia, huku mmoja kati yao akichukua...
  2. JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kufika Ulaya na America, fata njia hizo

    Hey guys, leo nimeona niwagawie kijielimu kidogo kuhusu kufika Ulaya na America kwa wale wenye hayo matamanio lakini hawana mchongo, 1. Dating sites, Wengi najua mnazunguka sana kwenye dating sites kutafuta wazungu na bado hamjafanikiwa, dating sites sio mbaya je unatumia ipi? kama ni free...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata madonda usawa wa uvungu kuelekea njia ya haja kubwa

    Gafla najikagua Jana najikuta kama kiupelele hivi kanauma kushuka zaid pembeni kama kunamstari nimechanika kama kidonda wakuu nauliza hii nikitu gani
  4. JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wekezeni coaster zenu Barabara ya Arusha Dodoma maana magari machache Njia hii

    Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo Kiukweli hii barabara iko busy sana ila...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Mario na Abba meneja wake, wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media

    MSANII MARIO NA ABBA MENEJA WAKE,MARA BAADA YA KUJICHUKULIA FEDHA KWA NJIA YA UTAPELI WAMEUKANA MKATABA HUU WA MAKUBALIANO NA KISMATY MEDIA
  6. JamiiForums Tanzania Nimeijua siri na njia rahisi ya kua na hela hapa Tanzania

    Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ 1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk. Malipo yao ni kufuru sana ila uwe tayari kula na wenye mamlaka 2. Kua na mamlaka serikalini, unaweza...
  7. JamiiForums Tanzania Nini tatizo nchini kwetu mpaka waajira wapya wanawaza njia za upigaji hela ya serikali

    Aibu sana yaani kama vile takukuru haina makali maana hata waajiriwa wapya hawaogopi kabisa kufanya udanganyifu.michezo hii tunajua ipo kwa wakubwa huko ma senior waliozoea kazi ila cha kusikitisha mpaka mazungumzo ya vijana katika mataasisi ni namna ya kuwa katili ili kula hela ya umma.watoto...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa njia nne Mbeya washika kasi

    Ujenzi wa njia nne katika halmashauri ya Jiji la Mbeya umeshika Kasi sana,ujenzi huo unaanzia Nsalaga Hadi Ifisi Barabara hizo pindi zitakapokamilika zitasaidia sana kupunguza msongamani katikati ya Jiji ambao umekuwa tatizo kubwa. Wakati huo huo tunaiomba serikali kuikamilisha mapema...
  9. JamiiForums Tanzania Wajue:Wanaume Wanaokwenda Njia Yao Wenyewe (Men Going Their Own Way- MGTOW )

    Wanaume Wanaokwenda Njia Yao Wenyewe (MGTOW )ni jamii ya mtandaoni yenye msimamo dhidi ya wanawake na yenye mtazamo wa chuki dhidi ya wanawake, ikihamasisha wanaume kujitenga na wanawake na jamii, ambayo wanaamini imeharibiwa na harakati za ukombozi wa wanawake (feminism). Jamii hii ni sehemu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu au Yule niko njia panda

    Yule viuno vingi sijawahi pata mimi ngosha hadi nachanganganyikiwa soon nitauza ng'ombe zangu kwa mwendo huu. Huyu mzuri mweupe mrefu type zangu kabisa,ila kitandani gogo hakuna amsha amsha yoyote. Hakika mabinti wa kusini mnaninogea.
  11. JamiiForums Tanzania CCM watatoka madarakani kwa njia ya kura ni muhimu kujiandikisha na kupiga kura

    Kauli za wapinzani kuimba CCM wanaiba kura au hawezi toka kupitia boksi la kura hazina Afya kabisa .Muitikio wa kujiandikisha umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya maeneo . CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha kila mwanaCCM anajiandikisha kupiga kura , Upinzani unatumia nguvu kubwa kuaminisha...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi Arusha wataja njia zitakazotumika katika Tamasha la Land Rover, usalama waimarishwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama Barabarani wametaja barabara zitakazotumika katika tamasha la Landrover litakaloanza kuanzia Oktoba 12, 2024 Mkoani Arusha huku likisema limejipanga vyema kuhakikisha linafanyika kwa amani na utulivu. Akitaja njia hizo Mkuu wa Kikosi cha...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Wakuu. Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku Toa Forex, betting
  14. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

    Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.
  15. JamiiForums Tanzania Marekani kulipa fidia kama njia ya kuizuia Israel kuishambulia Iran! Iran yasema ipo tayari kwa lolote!

    Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita! On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Njia ya zipi sahihi kutuma mzigo Marekani

    Hello ndugu, ninahitaji kutuma mzigo marekani ni kilo 5 TU za karafuu je ni kampuni gani ya ndege au yoyote ya usafirishaji naweza kuitumia kutuma mzigo wangu kwa haraka na unafuu? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu na pia naomba kujua gharama exactly za kutuma huo mzigo.
  17. JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA wako njia panda na wamepoteza mwelekeo

  19. JamiiForums Tanzania Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuelezea stress zako na njia unazotumia kukabiliana nazo

    Picha linaanza daktari anakusomea majibu ya vipimo vyako bila kutarajia anakwambia una UKIMWI , ile hali na mshutuko utakaoupata baada ya hapo ndio STRESS zenyewe. Just imagine umesota sana mpaka ukapata kazi mambo yako yapo vizuri, mke wako kajifungua mtoto mzuri wa kike. Bila kutarajia boss...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…