njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM hawana uelewa na mabadiliko

    CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu. Pili Kwa chama ambacho ina wanachama wengi vijijini kikao Cha mtandao siyo inclusive kwani bado tuna...
  2. JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  3. JamiiForums Tanzania Njia za kusolve simultaneous equation

    Hesabu za Simultaneous equation zinaweza kusoviwa kwa njia nne ambazo ni 1) Substitution method 2)Elimination method 3)Graphical method 4)Matrix method. Hivyo thread zijazo tutatazama njinsi ya kutumia njia tajwa katika kusolve simultaneous equation.
  4. H

    JamiiForums Tanzania SAMIA: Aliyepitia Njia Haramu, Haiwezekani Awe Halali

    Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama. Huyu ni mgombea haramu kwa katiba ya nchi inayotamka wazi kuwa wagombea wa nafasi ya Urais watateuliwa na vyama vyao baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Utii Ulikuwa Njia ya Kuishi, Mpaka Pale Alipokua C.E.O Kisha Kuua Kampuni - Biograph ya Tedi

    Alizaliwa kwenye familia ambayo haikuamini katika mazungumzo, haikuamini katika kuelewana, haikuamini katika maoni mbadala. Bali heshima ni utii usiohoji, na upendo ni zawadi inayotolewa tu kwa wale wanaofuata mstari. Baba alikuwa mwepesi wa hasira, mzito wa kusikiliza. Kosa dogo lilimaanisha...
  6. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumjua mtu mwenye IQ ndogo katika uwanja wa siasa ni pale anapopost Clip za polepole kipindi akiwa mwenezi wa CCM

    Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka . Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati uliopita Kama uzoefu na kujifunza . Nimeona watu badala wachambue hoja za polepole na sehemu...
  7. JamiiForums Tanzania Je ni njia gani sahihi ya kuwekeza kwa ajili ya maisha ya badae hasa ya uzeeni

    Kifo hakieleweki; wengine tutakufa kabla ya uzee, wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika Nguvu tulizo nazo zitaisha, matumaini yatayeyuka, na hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha yaliyopita. Maisha haya ni safari fupi yenye misimu mingi, isiyo tabirika Je, ni njia gani sahihi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  9. JamiiForums Tanzania NJIA 10 ZA KUTENGENEZA PESA UKITUMIA CANVA

    Katika makala hii, utajifunza njia 10 rahisi lakini zenye faida kubwa za kutumia Canva kutengeneza pesa — iwe uko shule, kazini au nyumbani. 1. Kuuza Templates (Miundo Tayari) Canva inakuruhusu kutengeneza templates kama CV, kadi za harusi, posta za Instagram, nk. Unaweza kuuza hizi templates...
  10. JamiiForums Tanzania Kero njia ya kimara korogwe

    Aisee hiki kinyang'anyiro cha foleni hapo korogwe NI hatari kwanin tahmini haikufanyika kuhusu ujenzi utakavyoathiri hii Barabara yaani kutokea maji chumvi ikifika saa moja unaweza ukashanga Morogoro road unaigusa saa tatu. Njia ndogo na kila mtu anataka kupanua apite hasa bajaji imagine foleni...
  11. JamiiForums Tanzania Njia pekee inayoweza kusaidia Simba

    Kwa wale wanasimba. Msimu wa 24/25 kuna mambo yametokea ambayo wanasimba wamedhurumiwa kwa nguvu. 1. Simba waligoma kucheza mchezo wowote hadi wahuni waliosababisha vurugu kuelekea mechi ya March 8 washughulikiwe. Kinyume chake Simba waliendelea kucheza mechi, mashabiki na wanachama...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  13. JamiiForums Tanzania Njia pekee itakayokuwezesha kushika bilion 3 ukiwa mzee

  14. JamiiForums Tanzania Polepole mjanja Tu anakimbia njia iliyoko Cuba.

    Mods watu wangu wa nguvu badilisheni hapo kwenye heading njaa badala ya njia. Jamaa mjanja mjanja tu. Cuba sasa hivi Kuna njaa Kali. Mgao wa Kila kitu kwaanzia chakula, maji na umeme. Mwana kaona atoroke Kwa njia ya kujiuzulu. Na afunguliwe Tu kesi ya uhujumu uchumi. Kwasababu alipiga Sana...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa TCRA kwa kudhibiti wimbi la matapeli kwa njia ya mtandao.

    Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu. na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa. Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana. Mwendo huohuo.
  16. JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

    Kama inavyosomeka hapo juu Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu. Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na...
  17. JamiiForums Tanzania Njia muhimu za kufuata unapopitia misukosuko ya kifedha, kifamilia na ukosefu wa ajira

    Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo. Hata humu ndani ya huu mtandao kuna baadhi ya Members wamekuwa ni wababe, wajeuri na hufikia hatua ya kutoa lugha chafu zisizo na...
  18. JamiiForums Tanzania MSAADA: Kuwafikia wateja wengi kwa njia ya sms

    Wakuu kwema? Nilikua naomba mwenye kujua njia ya kuwatumia wateja wanao nizunguka sms hata bila ya kuwa na namba zao wote. Yani wateja walio karibu na biashara yangu tu ndio wapate meseji ya huduma nnazotoa. Asante, nasubiri mchango wenu
  19. JamiiForums Tanzania Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye miaka 36 anataka nimuoe lakini mimi uchumi wangu aupo sawa, je nitaishi naye kwa amani kwenye ndoa?

    Wana jamvi habarini niko na mtihani sana na sijui kama nitafanyajeee kuna mmama ivi ana 36 years kuhusu maisha yuko poa yaaan ako vizur kiufupi anataka nimuoe na mm choka mbaya hali yangu sio nzuri kiuchumi jee nikimuoa nitaishi kwa amani kweli au nifanyajeee?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…