Wakubwa mtakumbuka hapo juzi niliwandikia kuhusu xtrail yangu kushtuka shtuka ikikfika rpm ya 40 kwenda 60 hapo n mkanishauri kuwa tafuta plug og na kuna member aliniambia kuna jamaa wanaitwa gathani to limited nikaongea nao , kwanza kabla ya kuongea nao nikangalia plug ambazo zilitoka na gari...