Nissan Pick-Up
Engine QD32
Cc 3153
Fuel Diesel ⛽
AC ipo
Full Document.
Location Dar Es Salaam
Bei milion 25 maongezi kidogo.
Nipigie simu boss ukague hii Chuma
📱0754693556
Sio kwamba Nissan Dualis zina kasoro ya kiwandani hadi zote ziungue moto. Tatizo kubwa ni service duni na mafundi wasio wataalam wa Nissan.
1. Kuna Plastiki ya kuzuia joto (heat shield/insulation) nyuma ya engine na lipo karibu sana na bomba la moshi, loki za plastiki, zikipata joto kali...
Habari zenu marafiki.Nina mpango wa kuagiza gari aina ya Nissa Serena toka Japani.Kutokana na uzoefu wenu naomba mnipe Changamoto za gari hii.Hiyo gari ina cc1990
Wakuu naombeni mwenye fundi mzuri wa gari za nissan wa uhakika, gari yangu ni nissan cube.
vipengele:
inachemsha
inachoma coil (nimebadili mara mbili)
inakosa nguvu (hai-accelerate)
gari inavuta upande mmoja speed ikiongezeka
Naomba msaada wenu wakuu.
Kichwa cha habari chajitosheleza...
1. Bei sio kali sana
2. Muonekano ni luxury sana
3. Space ndani ya kutosha
Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
Nissan wako serious sana kwenye issue ya EV na hybrids hivi karibuni. Kwa sisi wapenzi wa magari madogoa na economy, wametugusa sana na Nissan Note (hybrid) na Nissan Ariya (EV).
Sasa wametuletea all new Nissan Leaf 3rd gen, soon inaingia masokoni.
Wamefanya mapinduzi makubwa sana kuanzia...
Hii Gari ina body design nzuri same to Interior ila wabongo wengi wanaikimbia. Sasa Unataka kujua sababu ni nini kaa vizuri funga Mkanda nikupe madini.
.
Qashqai ni Dualis [Maarufu kama Kiberiti though siku hizi haziungui tena ] iliyochangamka ikiwa imetengenezwa na Nissan Kampuni Ya Kijapan...
Reference Number:24254079890
Make:NISSAN
Model:CIVILIAN BUS - DCW41/DJW41/DVW41
Body Type:BUS
Year of Manufacture:2011
Country:JAPAN
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:2501 CC
Mileage 90,994km
Price 45M
🔋✨ Honda Inachagua Njia Yake! 🚗💨
Badala ya kwenda 100% EV kama kampuni nyingine za magari, Honda imesema inawekeza zaidi kwenye magari ya Hybrid na kusitisha mpango wa EV!
Honda na Nissan zilikuwa zimekubaliana kuungana na kuwa kampuni moja lakini mwanzo wa mwaka huu zilisitisha mpango huo...
Wakuu salaam.
Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.