Kuna mtu kasema eti PEOPLE'S POWER haina nguvu mbele ya silaha. Sijui anamaanisha nini..,lakini ni wazi anafanya upotoshaji wa wazi na wa makusudi. Sayansi ya siasa na historia vinathibitisha kwamba NGUVU YA UMMA siku zote imeonesha kuwa matokeo chanya katika jamii.
Soma pia Kauli ya people...
Hamjambo wote!
1. Ebana eeeh! Lazima tuseme ule ukweli ili utuweke huru. Tukisema tunamung'unya maneno na kujiumauma tutaishi kwenye kiza na shimo miaka na miaka.
2. Tumefundishwa tangu tukiwa wadogo kuwa duniani hakuna kinachoshinda nguvu ya umma.
3. Tulikaririshwa hivyo kuanzia kwenye...
Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana.
Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa,
Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
Hili ndilo jambo kubwa la msingi CCM na makada wake wanapaswa kujiuliza.
Wao wapo madarakani lakini wanazidi kuchukiwa.
Chadema haipo madarakani lakini inazidi kupata ushawishi na inakubalika.
Mizengwe kibao , kamatakamata, kesi zisizo na mashiko. Lakini bado watu wana imani na CHADEMA...
GT
Wanaojua nguvu ya umma wanaheshima sana.l raia, Serikali ni watu na watu wakiamua.huna cha kufanya.
M029 ilibaki kidogo tu mbuyu udondoke mpaka sasa.mamlaka zipo paralysed hawajui wafanye nini wanalialia tu.
GET READY D#9 IS COMING .
Hali ya sintofahamu kwenye kijiji cha Nanjirinji A Halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Wanakijiji wamegomea mkutano wa kijiji wakipinga Ubadhirifu unao fanywa na viongozi wa kijiji Mwenyekiti na Mtendaji.
Madai ya wanakijiji hao Uongozi wa kijiji umeuza mali, mashamba ya kijiji na kuhujumu miradi...
Watanzania wote wenye akili timamu na wananchi wote wamejua kupitia uchaguzi wa mwaka huu kwamba CCM haiwezekani kuondoka madarakani kwa box la kura na box la kura ni utapeli mtupu baada ya wananchi 98% kuonekana wamepiga kura kitu ambacho ni Uongo...
Dunia kote hakuna serikali inaweza kushinda Nguvu ya Umma huo ndo mkweli mchungu.
Mmepewa nafasi ya kujisahihisha nina imani mtaitumia vizuri mnaweza kubisha kwasababu ya kiburi cha madaraka ila...
Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu
Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli.
Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha.
Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
Ni suala la muda tu. Unaweza ukawatisha watu kila muda washughulikiwe.
Unaweza ukajiita amiri jeshi mkuu, lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kushinda nguvu y umma.
Tusubiri October 29
Mateso ambayo Hawa wahuni wametupatia Kwa miaka hii Minne, hamna wa kuyafuta, hamna Cha maridhiano Wala blaa blaa za aina hiyo !!.
Hawa wahuni wanajua kabisa kua Wakiachia Nchi hii Tutawafunga, Tutawanyonga ,Titawafilisi wao wenyewe kama wapo hai, au familia zao na watoto wao na Mali zao ...
Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu.
1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi.
Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango...
Ndugu zangu Watanzania,
Cheza na mtu Mwingine lakini usicheze na Mtanzania. Mtanzania hatakagi masihara linapokuja suala la uhai wake na usalama wa mwili wake. Hakuna mtanzania Mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kukubali akahatarisha miguu yake na mwili wake kumpigania mtu au...
Kwa mujibu wa takwimu za NBS, watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi karibu asilimia 65 wameajiriwa kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo.
Nchi hii imekuwa na baraka sana ya kupata neema ya hali njema ya hewa, kiasi kwamba kila mwaka watu wamekuwa wanakula na kusaza japo hawana akiba yeyote (no...
Wakuu salama,
Baada ya CHADEMA kupata mwenyekiti mpya watu wamekuwa na imani kuwa huenda chadema wataitoa madarakani CCM, lakini uhalisia ni kwamba kama wananchi hawatoungana kwa pamoja CCM haiwezi kubanduka pale ikulu.
Lissu mwenyewe amekiri licha ya kampeni ya 'No reforms no election'...
Huku mkoani Geita, Mtaa wa NMC kumekuwa na udanganyifu mkubwa sana wakati zoezi la uandikishaji likiwa linaendelea.
Kumekuwepo na suala la uandikishwaji hewa wa Wapiga Kura huku idadi ya Watu waliyoidhinishwa kupiga kura imezidi idadi ya Watu waliondikishwa.
Kuna watu wameandikishwa ambao sio...
Waziri Mkuu Sheikh Hasina ameripotiwa kujiuzulu na kuondoka katika mji mkuu wa Dhaka wakati kukiwa na maandamano makali ya kumtaka ajiuzulu
Uamuzi huo umekuja ikiwa ni muda mfupi tangu Umoja wa Mataifa uitake serikali kusitisha mara moja machafuko yanayoendelea nchini humo ambayo yamesababisha...
Ni dhahiri sasa kuwa maandamano ya Gen.Z kule Kenya hayawezi tena kutulizwa na Polisi au Jeshi maana kitakacho tokea ni mauaji ya Raia ya kutisha na hilo haliwezi kukubalika duniani pote.
Umma wa Kenya umeamua kupitia vijana wasio na ajira na hata wenye nazo bila kuongozwa na chama chochote cha...
UPDATE:
KENYA: Wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini humo wameingia Mitaani kupitia Maandamano ya kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha unaolamilikiwa wakidai una vifungu vyenye Kodi kandamizi
Maandamano hayo yanaingia Siku ya 3 huku yakiwa na mafanikio ya kushawishi Bunge kuondoa baadhi ya...
Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.
Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM.
Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.