nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. JamiiForums Tanzania Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

    Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako...
  2. JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kutengeneza pellets kwa ajili ya mifugo kama kuku na nguruwe

    Habari za kazi Nina mashine ya kubadilisha chakula cha mifugo cha ungaunga kuwa katika mfumo wa pellets ambazo ufanisi wake unajulikana katika ulishaji wa mifugo,pia huduma ya kuchanganya cha mifugo kuanzia 1000kg kwa saa pia inapatikana kwa kutumia Mixer.Huduma hizi zinapatikana Mbeya japo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania UPANDISHAJI KWA NGURUWE KWA NJIA YA MRIJA (ARTIFICIAL INSEMINATION)

    Habari wafugaji! Napenda kuwashukur kupata nafasi kwa muda huu .binafsi Mimi ni daktari gilliard najihusisha na masuala yote ya wanyama Yani mifugo. Leo napenda kuwaletea juu ya upandishaji kwa nguruwe kwa njia ya mrija.njia hii ni muhimu sana endapo ukitumia kwenye shamba lako la mifugo na...
  4. JamiiForums Tanzania Mradi wa ufugaji wa nguruwe – Mtanzania mwenye maono

    1. UTANGULIZI WA MRADI Mradi huu unalenga kuanzisha ufugaji wa nguruwe kwa kiwango kidogo kwa lengo la kukuza kipato na kujenga msingi wa biashara endelevu ya mifugo. Mradi unaweza kuanzishwa kijijini au mjini, kulingana na upatikanaji wa eneo na maji. Shughuli za awali ni: Kuandaa eneo la...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mizani ya kupimia uzito wa nguruwe

    habari wadau nauza mizani ya kupimia uzito wa nguruwe kama attachment ilivyo kwa anayehitaji wasiliana kwa 0626333300
  6. JamiiForums Tanzania WAFUGAJI WA NGURUWE

    MAX PIG SUPER MEAT VIRUTUBISHO ASILIA BORA KWA AFYA YA NGURUWE WAKO. ■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa...
  7. JamiiForums Tanzania Chakula bora cha Nguruwe wa kisasa

    Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:- Pumba mahindi 700kg Concentrate 50kg Mashudu 200kg OlaQuindox 500mg Bokhash 10kg Dcp 10pkt Pig booster 10pkt Toxic binder 1kg Jumla tani 1 ya chakula. Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana. Je wanajamii...
  8. JamiiForums Tanzania Nguruwe mmoja anaweza kukupa hadi zaidi ya TSh. Milioni 1 ndani ya muda huu tu!

    Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu! ❓Je, unajua? Nguruwe ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana Tanzania, hasa maeneo ya mijini kama Dar es Salaam...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Usifuge nguruwe bila kutumia nguruwe virutubisho hivi vya max pig super meat. Utakuja nishukuru

    ■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema. -Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe...
  10. JamiiForums Tanzania Nauza nguruwe

    Habari wanajamvi. NAUZA mifugo aina ya nguruwe wenye Miezi 10, 8 3 . Wa Miezi 10 ni 300000, wa Miezi 8 ni 25000, na Miezi 3 ni 60000. Karibuni sana farm ipo Vikindu... 0712378559.
  11. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe ni Fursa ya Utajiri- Hili Alina Mjadala

    https://youtu.be/2w3zUtsShD0 Leo nilikaa nikawaza kitu kimoja… Kwa nini wafugaji wachache sana wanafanikiwa kweli, ilhali nguruwe ni mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kutajirisha? 🤔🐖 Hebu fikiria hii: Nguruwe mmoja wa kisasa anaweza kuzaa hadi watoto 21 kwa mara moja, mara mbili kwa mwaka. Hii...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi yakufuga nguruwe bila kudumaa na kupata uzito 117 kg kwa miezi 6 bila gharama kubwa

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
  13. JamiiForums Tanzania Mradi wa Ufugaji wa Nguruwe unaohitaji Mwekezaji/Mfadhili

    Habari yako mwana Jamiiforum. Naomba muda wako kidogo kusoma hili wazo langu. Nina ndoto ya ufugaji wa nguruwe 10 nikiwa na malengo ya kujiajiri na biashara hii. Nimefanya utafiti na kupanga mpango wa biashara, na najua nikipewa nafasi na msaada wa mtaji, nitaweza shughuli hii kwa utumishi...
  14. JamiiForums Tanzania Kama wewe Huli Nguruwe, USA Usiende

    watu hawataki kabisa kurudi makwao wakafuturu ila wanataka wakae USA tu waenjoy kisha Waandamane Sasa MWA-TRUMP kasema NO, utarudi kwenu, Wanalia hao Bye Bye, Uturuki inakuhitaji zaidi ila analilia USA, Kaandamanie Uturuki, ISRAELI IMEBARIKIWA, huwezi KUPAMBANA NA CCM ukashinda
  15. JamiiForums Tanzania Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

    Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45. **Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo, 1. AFYA: Awe tayari kupima...
  16. JamiiForums Tanzania Mnaokula Kitimoto, Kuleni "Kwa Raha Zenu," Yesu Ameruhusu

    Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimoto🐖(nyama ya nguruwe). Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN). Imeandikwa hivi: Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe...
  17. JamiiForums Tanzania Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

    Assalaam alaykum, Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini.... Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi...
  18. JamiiForums Tanzania Futari ya Pork (Nyama ya Nguruwe) Ambassador Hotel Harare 1993

    https://youtu.be/BiQXaEhkisE?si=S02Lbs7ZIB7REY1o
  19. JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kuhifadhi mafuta ya nguruwe yasiharibike

    Baada ya kuona wataalamu mbalimbali wakishauri tutumie zaidi mafuta ya kupikia yatokanayo na wanyama badala ya mbegu nimeona mafuta ya nguruwe yatanifaa. Nimepata wazo la kwenda kuyanunua buchani na kuyatayarisha kisha kuyahifadhi. Sasa ninaomba kwa anayefahamu namna nzuri ya kuyahifadhi ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…