ngome

Ngome Forest is situated to the east of Vryheid, KwaZulu-Natal, South Africa.
This is a unique forest, being transitional between Mistbelt Forest and Coastal Scarp Forest. The area has been protected since 1905, and forms part of the Ntendeka Wilderness Area.
Trees here grow up to 30m tall and include yellowwoods (Afrocarpus falcatus and Podocarpus latifolius), Natal hard pear (Olinia radiata), forest waterberry (Syzygium gerrardii), bastard stinkwood (Ocotea kenyensis), Terblanz beech (Faurea macnaughtonii) and green hazel (Trichocladus grandiflorus).
A species of dwarf chameleon (Bradypodion sp.) lives here known as the Ngome dwarf chameleon.
A survey of ground‐living spiders was conducted over a one‐year period at Ngome State Forest. Five different habitat types, namely grass, open forest, dense forest, ecotone and pine, were sampled with 180 pitfall traps. The grass, open forest and dense forest represented indigenous vegetation while the pine represented exotic vegetation. The ecotone consisted of a mixture of indigenous forest plants and pine trees. Pine had the lowest spider diversity while grass had the highest spider diversity. However, variation in spider diversity within habitat types was considerable and an analysis of variance found no significant difference in mean values of spider diversity between habitat types. Consequently, the results do not unambiguously support the hypothesis that exotic vegetation has lower ground‐living spider diversity than indigenous vegetation.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la pamoja la Wanafunzi wa Vyuo (ACTWASO) kuelekea uchaguzi wa ngome ya vijana taifa

  2. JamiiForums Tanzania Janeth Rithe ajitosa Uenyekiti Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo

    Janeth Rithe amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa ngome ya wanawake ya chama cha ACT- Wazalendo, huku akianika vipaumbele vyake 10 atakavyovitekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa Machi 2, 2024. Miongoni mwa vipaumbele hivyo ni kuhakikisha ngome ya wanawake inakuwa muundo nchi nzima kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Shughuli zaanza kuondoa raia Rafah, ambayo ndio ngome ya mwisho ya HAMAS

    Hapo Rafah ndiko wamekimbilia wote pamoja na uongozi, panahitaji usafi kwa mabomu.....raia waondoshwe ili kuepuka lawama za kupelekana ICJ........... Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has ordered the military to prepare to evacuate civilians from the southern Gazan city of Rafah ahead...
  4. JamiiForums Tanzania Mhandisi Ndolezi Petro atangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa

    Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024: UONGOZI NI VIJITI VYA KUPOKEZANA NAMI NAJIANDAA KWENDA KUCHUKUA KIJITI Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri...
  5. JamiiForums Tanzania Makombora ya Hizbullah ya Lebanon yapigangome za kijeshi za Israel

    Wapiganaji wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon wameshambulia kwa makombora vituo na ngome za kijeshi za Israel kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kusambaratisha mfumo wa kamera za usalama wa utawala huo haramu. Kwa mujibu wa kanali ya televisheni ya al-Mayadeen, wanajihadi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Israel yatoa ishara kuwa inapigana maeneo 7 huku Houthi wakifanikiwa kupenya ngome za mataifa 20 yanayoongozwa na Marekani

    Waziri wa ulinzi wa Israel amesema nchi yake iko vitani maeneo saba tofauti.Akaongeza kusema kuwa kutokana na hilo tayari wameshaanza kushambulia kwa nguvu maeneo sita kati ya hayo kulipiza kisasi. Maeneo hayo aliyataja kuwa ni Iraq,Syria,Lebanon na Yemen.Mengine ni Gaza,ukiongo wa Magharibi na...
  8. JamiiForums Tanzania Wapalestina kusini ya Gaza wavunja ngome za Israel na kurudi Kaskazini

    Muda mfupi baada ya kusitishwa kwa vita kunakotarajiwa kuendelea kwa siku 4 makundi ya wapalestina waliotiii amri ya kwenda kusini ya Gaza walionekana kuandamana kutaka kurudi makwao. Jeshi la Israel lilisema watu hao hawatakiwi kuvuka barabara kuu ya Salahudin inayoigawa Gaza ya kusini na ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hatimaye IDF yatwaa ngome kuu ya Hamas jijini Gaza

    Hatimaye Jeshi la Israel limeweza kuitwaa ngome kuu ya Hamas katikati mwa JIJi la Gaza. Ngome hiyo maarufu Kama Central Hamas Military quarter iliyopakana na hospitali ya eneo la Shifa. Kikosi Cha 162 Cha IDF kilichotwaa ngome hiyo kimefanikiwa kuwaua wapiganaji wa Hamas 50 na kwa Sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukraine waelekea kubomoa ngome ya mwisho ya Warusi, tayari wameingia

    Wamefaulu kufyatua ngome zilizokuwepo na sasa wanapambana kubomoa ya mwisho ambayo Warusi walikua wamejichimbia. Ukrainian armoured vehicles are already operating beyond the last line of Russian defensive fortifications, which Ukrainian forces are currently breaking through in the west of...
  11. JamiiForums Tanzania Simba iombeni radhi Ngome FC

    𝙏𝙊𝙆𝙀𝙉𝙄 𝙃𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙈𝘼𝙆𝙊𝙇𝙊 Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu. Ombeni msamaha [emoji1666]. Cc: castor Yanga NB: how...
  12. JamiiForums Tanzania Ngome Fc yakanusha kufungwa 6-0 na Simba

    Hii ndio taarifa ya Ngome Fc. Klabu hiyo imekanusha kufungwa goli 6 na wameiomba Simba Sc kuwaomba radhi.
  13. JamiiForums Tanzania Ukraine wazidi kupasua ngome za Warusi kwenye counteroffensive

    Mwendo wa mpwito mpwito... Ukrainian troops continued their offensive actions near the city of Bakhmut and in the western part of Zaporizhzhia Oblast on 7 September and they had gains on both frontlines. Source: Institute for the Study of War (ISW) Details: Geolocation footage published on 7...
  14. JamiiForums Tanzania Ukraine wajongea kwenye ngome ya pili ya Warusi baada ya ushindi kwenye ngome ya kwanza

    Warusi wanaendelea kufukuziwa licha ya kujichimbia na kuwekeza nguvu kubwa kwenye kufukia mabomu kote kote, Ukraine hawachoki, wanapiga kwa matumizi ya HIMARS, storm shadows na madubwana mengine yote.... As observed by ISW’s military analysts, Ukrainian forces have made additional and...
  15. JamiiForums Tanzania Ukraine wapasua ngome ambayo Warusi walikua wamejichimbia na kujihami balaa

    Kwa ngome ya supapawa kupasuliwa licha ya miezi yote waliyotumia kujichimbia na kujihami sio kitu cha mchezo, wazalendo wa Ukraine wanasonga mbele kwa mbele..... =========================== Hanna Maliar, Deputy Defence Minister, has reported that Ukrainian defenders had broken through the...
  16. JamiiForums Tanzania Ukraine wafaulu kupasua ngome ya Urusi na kukomboa maeneo

    Ifahamike Urusi walikua wamejichimbia kwa kila namna ikiwemo kutegeshea mabomu mengi sana ardhini, hivyo kupasua ngome mpaka kuwafukuzia na kukomboa maeneo kwa kweli ni shughuli, ila uzuri Ukraine wanapigania ardhi yao, hivyo wana kila sababu za kuendelea kushambulia, je Warusi wanafia nini...
  17. JamiiForums Tanzania Ukraine wafaulu kupasua na kufumua ngome ya kwanza ya Urusi

    Hayawi hayawi huwa, wazalendo wapasua ngome ya kwanza, Warusi washindwa kuhimili mapigo....twende kazi ========= Ukraine has broken through Russia’s first line of defence in several places, 48 hours after launching its long-awaited counter-offensive, the Ministry of Defence has said...
  18. JamiiForums Tanzania Dar iko chini ya amri kutoka ngome ya Wahehe Iringa

    Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao WhatsApp. Kwa sasa kwenye ulingo wa siasa kutoka iringa anawika sana ni chalamila hivyo ngome...
  19. JamiiForums Tanzania Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

    Kwenye maisha kumbuka jambo moja, wenzako wanapoleta mezani chakula halafu wewe huleti, inawezekana wewe ukawa ndiyo chakula chenyewe. Unaelewa hilo? Duniani hakuna kitu cha bure zaidi ya salamu, ukiona unatumia kitu cha bure, inawezekana wewe ndiyo ukawa bidhaa yenyewe. Ndugu zangu hakuna kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Karatu: Ngome imara ya upinzani (CHADEMA) kwa upande wa bara

    Hapa nchini kumekuwa na fikra kwamba kaskazini kote ni ngome imara ya upinzani kwa majimbo karibu yote ila kwa tunaofahamu vizuri hiyo kanda tuko tofauti kidogo. Ni kweli wapinzani wamesimika mizizi kwenye baadhi ya majimbo ila mengi hayako imara kusimama na upinzani kwenye chaguzi zote. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…