Nipo kwenye mchakato wa kugawa pesa katika miradi midogo midogo, nione namna ya kufikia uchumi wa Kati Kwa makusanyo ya tsh 100,000/= Kwa siku na kuzidi, hii miradi ambayo nataka mtaji wake usizidi million 4-5 pia inipatie only 20,000/= per day
Nimechakata mawazo mengi nikaona nikimbie uchumia...