ngara

Ngara is a small town in Ngara District, Kagera Region, in Tanzania, East Africa.
Ngara town is small with an estimated population of 8,000 to 10,000 people. The international community is small with the Anglican Church of Tanzania, Diocese of Kagera, and four NGOs employing a handful of expatriate staff. Occasionally, there are also visiting staff, consultants and missionaries.
Market day in Ngara town is Saturday. Vendors come from surrounding villages to sell their seasonal produce. During the week, the market is open, but the availability of produce is more limited. Most basic items are available. In season, fruits and vegetables include tomatoes, carrots, eggplant, spinach, green peppers, pineapple, papaya, mango and oranges. Major staple food crops such as maize, bananas, rice, potatoes, beans and milled products such as wheat flour and sugar are readily obtainable in Ngara. Ngara is also a location in Kenya, in the County of Nairobi.

View More On Wikipedia.org
  1. DOKEZO Hili daraja lilojengwa huko Ngara wengi wasema halijajengwa kwa viwango vinavyotakiwa

    Daraja la Ngara. Hili daraja limejengwa na wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA na limegharimu kiasi cha shilingi milioni 763 kupitia mpango wa serikali wa kupunguza vikwazo unofadhiliwa na Benki ya Dunia. Nimejaribu kuangalia kasoro kadhaa ambazo zajionyesha wazi katika daraja hilo...
  2. A

    KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

    HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
  3. Hii Mashine inapatikana Wapi Ngara!?

    Gari yangu haina HADhi Kabisa inahitaji huduma hii. https://youtu.be/DO_SH-RTvvo?si=qrmW_RhhMyjU5xc2
  4. M

    Usafiri binafsi kusafiri kutoka Ngara kwenda Dar es Salaam

    Nahitaji usafiri wa gari binafsi kutoka Ngara Kagera kwenda Dar es Salaam. Nasafiri mimi na mke wangu Natamani usafiri uwe Jumatano au Alhamis. Nitachangia nauli.
  5. Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

    Kama mada inavyojieleza Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
  6. Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Mkuu wa wilaya ya Ngara COL. MATHIAS JULIUS KAHABI kupitia kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (W) Ngara cha mapema Mwezi huu Mei alinukuliwa akitoa kauli za vitisho dhidi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitishia kuwakamata na akikishauri chama kutowateua katika nafasi za uongozi uchaguzi...
  7. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri yetu ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  8. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  9. Serikali Kuanza Kununua mahindi ya Ngara

    SERIKALI KUANZA KUNUNUA MAHINDI YA NGARA πŸ“14/04/2025 NGARA βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“βœ“ Serikali imeahidi kuanza kununua mahindi ya Wakulima wa Wilaya ya Ngara kuanzia mwezi wa tano mwaka huu wa 2025. Hatua hii itaimarisha bei ya soko la mahindi ambayo imekuwa ikibadirika...
  10. Driver Grade II – 2 Posts at Ngara District Council April 2025

    Job Title: Driver Grade II – 2 Posts Employer: Ngara District Council Application Period: April 11, 2025 – April 24, 2025 Job Summary: Not specified Duties and Responsibilities: Inspect the vehicle before and after trips to ensure its safety condition. Transport staff to various locations for...
  11. Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (M) Kagera ifanyiwe Ukaguzi wa Ndani wa Dharura ili kudhibiti Upotevu wa Fedha za Umma Unaoonekana Kukithiri hivi sasa

    Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4. Mapema mwaka huu Halmashauri hii iliwasilisha Rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti kwa Mwaka 2025/2026 huku wadau wengi wa...
  12. U

    Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. β€œ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  13. Jeshi la Polisi lawasaka waliofanya mauaji Ngara

    Wananchi wa tarafa ya Nyamiaga Kata ya Murukulazo Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera wameaswa kutokukichukulia sheria Mkononi na badala yake kuzifikisha changamoto zao katika mamlaka husika huku akiweka wazi kusakwa kwa wote walifanya mauaji ya mwanchi katani humo. Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa...
  14. DOKEZO Basi la Nyehunge linaloenda Ngara lisipoangaliwa litasababisha madhara ikiwemo kupoteza maisha ya Watu, LATRA fanyieni kazi hii hali

    Wana Jamvi kheri ya Sikukuu na mwaka mpya 2025. Kuna jambo naomba lilete kwenu hapa, juzi Desemba 24 nilikuwa miongoni mwa abiria zaidi ya 71 tuliosafiri na Basi la Nyehunge linalofanya safari zake Rulenge - Ngara - Mwanza. Tulianza safari tu vizuri asubuhi lakini kumbe, mabasi haya yanayofanya...
  15. PreGE2025 Wananchi 2,300 Wampongeza Rais Samia Kuwajengea Shule ya Sekondari ya Nyamagoma

    Wakati kwao wewe linaweza kuwa jambo la kawaida kuona Shule zikiwa karibu yako, kwa wakazi wa kata ya Nyamagoma shule ya Sekondari ilikuwa inapatikana umbali wa zaidi ya Kilomita 40 ambazo watoto walilazimika kuzitembea kila siku kuitafuta ndoto yao ya maisha ya baadaye. Katika eneo lenye...
  16. PreGE2025 Wana CHADEMA Waendelea Kujiunga na CCM Ngara

    Viongozi na wanachama 6 wa CHADEMA Ngazi ya Kata ya Muganza akiwemo Tumain Petro, Mwenyekiti BAVICHA wa Sasa wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa tafrija ya Kusherehekea kukamirika kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Nyamagoma. Sherehe hiyo ilidhaminiwa na Mhe. Ndaisaba George...
  17. PreGE2025 Ngara: Rais Samia & Mbunge Ndaisaba Ruhoro Wachangiwa Fedha za Kuchukua Fomu 2025

    Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025...
  18. Mbunge Ndaisaba Ruhoro Azungumza na Makundi Mbalimbali Kata ya Mabawe, Ngara

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI KATA YA MABAWE, NGARA MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO Mbunge wa Jimbo la Ngara amehudhuria Mkutano wa hadhara Kata ya Mabawe ulioandaliwa na UMOJA WA VIJANA WA CCM PAMOJA UMOJA WA VIJANA WA BODA BODA Kata ya Mabawe. Mhe. Ndaisaba Ruhoro...
  19. Bilioni 1.3 Kutatua Changamoto ya Maji Kijiji cha Kumubuga, Ngara

    BILIONI 1.3 KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA KUMUBUGA, NGARA Serikali imetenga Shilingi Bilioni Moja na Milioni Miatatu (Bilioni 1.3) ili kutatua changamoto ya tatizo la Maji katika Kijiji cha Kumubuga Kata ya Nyamagoma wilayani Ngara mkoani Kagera Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo...
  20. Ngara: Mwenge wa Uhuru Wazindua Mradi wa Maji wa Tsh. Bilioni 3

    Mwenge wa Uhuru Wilayani Ngara umetembelea na kuzindua Mradi wa Maji Wenye Thamani ya shilingi Bilioni tatu chini ya Ufadhilii wa Benki ya Dunia kupitia LADP (Local Area Development Program) inayosimamiwa na NELSAP (Nile Equatorial Lake Subsidiary Action Program). Mhandisi Simon Ndyamukama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…