ndumbaro

Damas Daniel Ndumbaro (born in Songea) is an academician and a politician who presently serves as a Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Songea Urban constituency for the second term since 2015. Also was the acting Chief Executive Officer of the Tanzania-Zambia Railway Authority since March 2013. He was the an Advocate and a Lecturer of law at the Open University of Tanzania before joining politics and won a majority vote election in Songea Urban constituency under the ruling party CCM. After being appointed by President John Magufuli, he's currently the deputy minister of Foreign Affairs and East African Cooperation. [1]

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Waziri Ndumbaro: Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria alipofuta umiliki wa kitatu cha Lake Natron, naagiza warudishiwe Green Miles safaris

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesema mtangulizi wake katika wizara hiyo Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria wakati anafuta umiliki wa kitalu cha Lake Natron. Dkt. Ndumbaro ameigiza umiliki huo urejeshwe kwa kampuni ya Green Miles Safaris Ltd hadi mwaka 2022. Chanzo...
  2. Q

    Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali. =============== DEVOTHA MDACHI =============== "Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
  3. G Sam

    Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

    Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
  4. M

    Ushauri wa bure kwa TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Baada ya Mchakato wa Ajira kukamilika na Majina kutoka Sasa kumekuwa na lawama nyingi Sana kwenda Kwa Tamisemi. Mimi nilikuwa na Ushauri Kama ufuatao.... 1. Kuna ulazima Gani wa watu kwenda Kuripoti ilhali lawama zimekuwa nyingi na Watu wamekosa Imani kabisa na Serikali yetu ya CCM Kupitia...
Back
Top Bottom