ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utamaduni; Ndugu wanisihi nikawawekee wanangu kinga kama desruri, nipo njia panda

    Nipo njia panda wakuu, Zamani enzi zetu miaka ya nyuma kidogo kuna baadhi ya makabila kwenye koo flani ilikuwa ni lazima upewe kinga, haya mambo yalianza zamani sana tunaambiwa ni baada ya wahamiaji wapya, kuowa nje ya ukoo, kuchanganyana na koo mpya kukaanza kujitokeza mambo ya teknolojia ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ninayopitia mimi kwenye mahusiano au mimi pekee ndo nayo yapitia kwa kuachwa hivi

    Habari ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nishawahi kuwa na mahusiano na wanawake wawili tu mpaka kufikia huu umri lakini kuna changamoto napitia naona inakuwa ngumu sana kucopy Mwanamke wa kwanza Huyu nilidumu nae ko mda wa mwaka mmoja tu nakumbuka kipindi icho nimehitimu kidato cha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo salama kiafya? Kwanini ndugu na wakili wakataliwe kumwona?

    Nimesikia Mhe. Mbowe ajaruhusiwa kuonana na ndugu zao Wala wakili wake. Hii siyo ishara nzuri nadhani anaweza kuwa na tatizo maana inabidi ujiulize anakula wapi na nani anampelekea chakula? Kwa aina ya mahabusu zetu hakuna chakula, Kama mtuhumiwa mzee wa umri wa Mbowe asipokula na stress za...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa kauli ya chama juu ya kodi/tozo ya miamala ya simu na kuvurugwa kwa Kongamano la Katiba

    Tazama na sikiliza VIDEO No. 1: Msimamamo wa CHADEMA juu ya tozo za miamala ya simu: VIDEO No. 2: Kauli ya Mwenyekiti kuhusu polisi mkoa wa Mwanza kupitia kwa RPC wao Ngh'anzi kuvuruga kongamano la katiba juzi j' mosi tarehe 17/7/2021 na kuwaweka kizuizini viongozi, wafuasi na wapenzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania PEMBA: Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hello ndugu zangu am new

  7. K

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa DPP Kwa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Laurean Bwanakunu na Hatima ya Wahanga wa Uongozi wake MSD

    Ndugu Laurean Bwanakunu alikuwa ni DG wa Bohari ya Dawa - MSD tangu Julai/August, 2015 pamoja na kuwa ujio wake uliacha maswali mengi sana, nafikiri siri ya ujio wa Bwanakunu Bohari ya Dawa anaijua zaidi aliyekuwa Waziri wa Afya kipindi hicho na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji ndugu Seif Rashid...
  8. JamiiForums Tanzania Kuliko kuajiri mfanyakazi wa ndani tuwe na utaratibu wa kuchukua watoto wa ndugu kwa nia ya kuwaendeleza

    Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya. Akihitimu mafunzo...
  9. JamiiForums Tanzania Wanandoa kama mna mapepo nendeni mkaombewe msitese ndugu

    Ndugu wapendwa, Naomba ombi hili kwa ajiliya wanandoa Kama una mwenza unamwona ana mapepo yanamtesa Wapo wanateseka na majini mahaba. Wapo wanandoa wanateseka na roho za wizi. Ndani kwa NDAN Wapo wanateseka na rohiza uzinzuli kutokana. Na kutubuu imefika Mmoja kaamua twende hivyohvyo...
  10. JamiiForums Tanzania Arusha: Anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, achomewa nyumba na wananchi

    Baadhi ya wananchi wa kata ya Sokoni 2 halmashauri ya Arusha leo Ijumaa Julai 9, 2021 wamechoma moto nyumba ya Ng'ida Loisulye anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, Benjamin Mollel kwa maelezo kuwa ameshinda kesi mahakamani. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya nyumba hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.

    Kati ya hizo course hapo ni ipi course ambayo ina wigo mkubwa wa ajira.🙏🙏🙏 Naombeni ushauri wenu kwa mwenye ujuzi 🙏
  12. JamiiForums Tanzania Salam kwenu ndugu zangu

    Nianze kwa salam wana ndugu. Ugeni wangu uwe sababu ya kupata fikra na changamoto mpya na kushirikiana kwa wema na hata ninapoteleza bas na tusamehane. Nimalizie na ya kwamba tupo pamoja katika namna ya kupeana chakula cha fikra.
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu Watanzania, sio walio magerezani wanaachiwa, bali bajeti ya 2021/2022 inakwenda kuondoa watu wengi gereza la kiuchumi

    Magereza yanafunguliwa, magereza ya jeshi la magereza tunaona kwa macho. Je, ndio huyu au tusubiri mwingine, naye akajibu, vipofu wanaona na viziwi wanasikia! Jela kubwa kabisa kuliko zote,jela ya kiuchumi,jela iliyoifunga nchi nzima nayo inakwenda kuvunjwa makufuli yake. Mwendazake alijiapiza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Polepole unaposherekea kubomolewa kwa nyumba za wananchi Kimara -Kibamba unajua tulipoteza ndugu zetu kwa mshtuko?

    Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Lile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa kama ile, Wachezaji wa Nkana walipoteza concentration, Simba wakawahi kuweka (Quick thinking). Azam au...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wadau, hivi ni kwa nini viwanda vyetu havidumu licha ya kuwa na soko la uhakika?

    Kulikuwa na kiwanda Cha mafuta ya kupikia mazuri sana, VOIL, Tanbond, Mafuta ya karanga, kiwanda Cha mbolea Tanga, kanga nzuri sana za urafiki, nk
  17. F

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa wa kukutanishwa na ndugu zetu

    Wakuu, Nimetafakari sana nimeona ni muda muafaka sasa wa kukutanishwa na ndugu zetu walioko mataifa mbalimbali hasa Amerika walitoka Africa wakati wa biashara ya watumwa. Kwa sasa technologia na human genetics ni kubwa mno tunaomba mataifa yaanze utaratibu wa kutukutanishwa - Kwa mfano...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usimsahau Shaban Kissu kwenye mkeka wa ma-DED

    Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea. Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama. KAZI IENDELEEE
  19. JamiiForums Tanzania DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

    Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza kwenye mambo ya sanaa huku matokeo yake ya kidato cha sita yakiwa hayajatoka. Kwa mujibu wa gazeti...
  20. JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA Mr. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

    Ni muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…