ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Heart beat disorder inanimaliza, naombeni msaada ndugu zangu

    Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati. Nilifanya vipimo vya moyo (ultra sound, ECO, na AKG lakini moyo ulikuwa normal kabisa, sikuonekana...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za kizazi hiki zinabagua ndugu?

    Dondoo za kuzingatia katika mjadala:- 1. Ndoa nyingi zimeacha kufanyika baraka kwa ndugu (Charity that does not begin at home). 2. Ndugu za mwanamke akiishi katika ndoa anatoboa kimaisha kuliko ndugu wa mwanaume. 3. Mwanaume akifa jibu ni moja tu kwamba ameuawa na mwanamke, mwanamke akifa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hii iliandikwa jamaa akiwa kwenye kifafa cha Shaytwan, alipokuwa karogwa, au wakati kapoteza fahamu, au ni nini jamani? Hebu tuwasaidie ndugu zetu

    Matusi hayatakiwi. Naomba ukielewa toa mtazamo wako kwa hoja kama jamaa huyuJihad, alivyoelewa na kubaki anashangaa!. NIkweli wafuasi wa huyu, bwana walikuwa hawahoji mambo katika mambo haya, kwa kuwa hawakuwa na ufahamu? waliogopa kuuawa, waliona yanawarahisishia maisha, walijua agenda za...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Roho yangu inaanza kukaa mbali na huyu ndugu yangu, je nina makosa mimi kutopokea simu zake?

    Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania Najibu hoja za ndugu Humphrey Polepole kuhusu mwelekeo mpya wa nchi yetu

    Hoja kuu ya Polepole ni unyonyaji na ukandamizaji unaofanywa na nchi za Magaribi (Ulaya na Marekani) kwa nchi masikini kama zetu. Ni kwa bahati mbaya sana ndugu Polepole anazungumza kama mpigania uhuru wa miaka ya 60. Polepole anapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu atakeyetoka nje ya nchi yetu...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mwanamke adaiwa kujipatia fedha kwa kuua ndugu

    Taifa la Afrika Kusini limetikiswa na habari ya Nomia Rosemary Ndlovu (46) baada ya kupanga njama na kuua ndugu zake sita, huku akiwa anaandaa vifo vya ndugu wengine, akiwemo mama yake mzazi. Swali likawa, Rosemary ni nani? Historia yake ikoje? Kwa nini aliua ndugu zake? Wakati viulizo vikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

  8. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene usiwe kigeugeu ndugu yangu

    Kinachonishangaza ni kuona ndugu yangu huyu ambaye naamini ni msomi wa sheria leo anaamua kugeuka makusudi mbele ya umma wa watanzania bila hata kuogopa na kuzingatia maadili ya kazi yake. Nataka niulize swali, hivi si ndio huyu huyu Simbachawene alikuwepo wakati wa kutunga katiba mpya awamu ya...
  9. JamiiForums Tanzania IGP Sirro achana na ukaguzi wa mafunzo ya kidini, staafu kwa fahari

    Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na wanaruhusiwa na sheria ipi kuingilia imani za watu? Afande Sirro mzee wangu unataka kufika mbali sana, staafu...
  10. JamiiForums Tanzania Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini

    ZIARA TUNDURU Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini. Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya Ardhi Sasa limepungua kwa Kasi hivyo niwaombe wananchi wenzangu wale wafugaji ambao wanavamia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ombi: Trafiki wabuni tochi kwa ajili ya kudhibiti bodaboda

    Kama mliweza za magari nadhani hata bodaboda mtaweza. Hizo spidi zao kwakweli ni za kufa mtu!
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitaka kupiga hatua katika maisha lazima uwe sugu na mwenye msimamo

    Naomba nitambulike hivi hivi kama Mzee wa Old School. Story nitakayo waeleza hapo chini ni ya kweli hivyo ni vizuri ndugu unaesoma usiishie kusisimkwa, kuhuzunika ama kucheka, bali fanyia kazi ili kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha kwa sababu siku zote 'maisha ni vita' kimwili...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupendane, tusiharibiane ndoa

    Leo naomba niongee na wanaume wenzangu. Kwanini sisi wanaume hatupendani? Tunawalaumu wanawake kuwa hawapendani ilihali na sisi pia hatupendani. Nitaeleza kwanini nasema hivi. Unakuta mtu kwa makusudi anafahamu kuwa huyu mwanamke ni mke wa mtu. Mwanaume mwenzangu kamtolea mahari, kajipiga...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rugemalila na ndugu zake Wafanye yafuatayo

    Mzee pole sana lakini chukua tahadhari hususani magonjwa ya corona uraiani yanatisha Mshukuru Mungu kwa kukuondoa mahabusu kimya kimya usifanye sherehe Tenga mda wako ujitenge na wageni wenye huruma za kinafiki ikiwezekana. Fanya kama lowassa, Jiepushe na vurugu za siasa wala usicoment chochote...
  15. JamiiForums Tanzania Habarini ndugu wanajamii forum

    Ndugu wanajamii forum niwaita hapa kuwataarifu kuwa mm ni mgeni wenu shabiki wa simba nipokeeni naomba ushirikiano
  16. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

    Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya. Kikwete amesisitiza Samia analeta matumaini kwa watanzania kwa manufaa ya leo na kesho. My take. Hii inaweza kuwa ni...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naweza kuendelea kutumia akaunti ya Benki ya CRDB niliyositisha matumizi yake kwa miaka minne?

    Nina Account yangu sijaitumia sasa huu mwaka wa nne. Tafadhali, nifanyeje ili nianze kuitumia?
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wakipata nafasi wanakuwa na hofu ya Mungu

    Sijawahi kufurahi kama ninapoona ndugu zangu upande wapili wakipata nafasi kadhaa. Nimefanya kazi nafasi mbalimbali na ukweli wao wakifanikiwa kupata nafasi kwanza wana hofu ya Mungu. Pili wana utu wa ubinadamu Tatu.Wako radhi kuhakikisha waliojuu yake wanasaidiana kusaidia wananchi zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana mahusiano na rafiki yangu

    Habarini wakuu , natumai mu wazima sana. Ishu iko hivi , wiki kadhaa nyuma kuna kitu kilitokea. Wakati nimetulia gheto na mchumba ,nilikuwa nimemuazima kidogo simu yake. Mara kuna text ikaingia ,nikaamua kuisomea tu kwa juu ya screen nikaiyona kwamba imetoka kwa mtu ninaemfaham , tena na...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanne mbaroni kwa kumuua ndugu yao na kumkata viungo

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma limewakamata ndugu wanne wa familia moja wanaotuhumiwa kumuua ndugu yao na kisha kumkata miguu yote miwili chini ya magoti na kuufunika mwili kwa mahindi yaliyopukuchuliwa na kuuchoma moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga alisema jana kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…