ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Marais ambao ndugu zao walishika nyadhifa za juu serikalini wakati wa utawala wao

  2. JamiiForums Tanzania Askari Polisi Mwita Milumbe ateswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

    Habari ya kazi kaka. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania. Mkoani Tanga kuna unyama wamefanyiwa mdogo wangu kwa kutokukubali kuwa upande wa mauaji na utekaji wao. Amekuwa akipinga mpaka akahamishwa kituo cha kazi kutoka Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake. Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Hatima (Destiny) Ni Kweli Ipo? Tujadili!

    Tukijipumzisha kidogo na haya yanayo tokea nchini hebu tujadili hii issue kama kutafsiri kile kinacho endelea. Katika kukuwa nilikuwa naskia huyu kijana, au huyu mtoto lazima aje aibadilishe hii familia, au huyu mtoto atakuja kuukomboa huu ukoo kutoka umaskini. Au mzazi ana amua kuzaa watoto...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ndugu Nchimbi kutoka cheo cha uMakamu hadi kutokuwa mwanachama kuna mafunzo mengi ya kujifunza

    Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima hivyo tusiinue mabega juu. 2. Hakuna mkubwa kuliko chama. 2. Tuwe na nidhamu na maadili kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa anachekesha Kama sio ndugu yako

    Hawa wanasiasa wanacheke Kama sio ndugu zako dadeki Cheki hizi sauti mbuzi 🤣🤣
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye kesi ya Lissu nimejifunza kuwa Ndugu wa Lissu wanaupendo mkubwa sana na Lissu

    Ukiangalia kaka yake na dada yake walivyoactive mahakamani na namna wanavyopambana hapo kisutu ni dhahiri familia yao ina upendo sana. CCM wengi hata undugu wao huwa wa mashaka angalia Polepole mpaka leo hajulikani alipo lakini siyo ndugu zake wala wanaccm wenzake waliofungua kesi na kudai haki...
  8. JamiiForums Tanzania JOHN NCHIMBI NI NDUGU WA KINJEKETILE?

    Vita ya majimaji iliongozwa na Kinjeketile na akaweza kuwashawishi wananchi wengi vijana wakajiunga na jeshi lake. Vita ya majimaji ilikuwa na wapiganaji walikuwa na Imani kubwa kuwa watawashinda wazungu pamoja na hawakuwa na uwezo wa kuwashinda. Leo hii tunashihudia John Nchimbi akionyesha...
  9. JamiiForums Tanzania JOHN NCHIMBI NI NDUGU WA KINJEKETILE?

    Vita ya majimaji iliongozwa na Kinjeketile na akaweza kuwashawishi wananchi wengi vijana wakajiunga na jeshi lake. Vita ya majimaji ilikuwa na wapiganaji walikuwa na Imani kubwa kuwa watawashinda wazungu pamoja na hawakuwa na uwezo wa kuwashinda. Leo hii tunashihudia John Nchimbi akionyesha...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego

    Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya...
  11. JamiiForums Tanzania Kisheria itakuwaje ikiwa ndugu Samia, Mpango, Majaliwa na wenzao watagoma kufika mahakamani

    Wanasheria naomba elimu kidogo Lissu amewataja ndugu Samia, Philip Mpango, Cassim Majaliwa na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wawe mashahidi wa kesi yake ya uhaini Najiuliza hawa watu wataheshimu mahakama na kufika kutoa ushahidi? Bila shaka watakaidi na mahakama yetu haina cha kuwafanya
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu, huyu mwanamke nimeamua kumtolea uvivu... au nimekosea ndugu zangu??

    Baada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo..... Yeye: Wazo gani mpenzi..?? Mimi: Nimepata wazo la kukuoa Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki.... Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha? Mimi...
  13. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga: Tunamtafuta ndugu wa Mtoto ambaye Mama na Kaka yake walifariki katika ajali ya basi

    TAARIFA KWA UMMA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake. Mtoto huyo alinusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 20 Juni 2026 eneo la Wendele, iliyohusisha gari la...
  14. JamiiForums Tanzania Ua la Kitenge (Coleus plant): Dawa ya vidonda ndugu na matatizo ya ngozi

    Ua la kitenge ambalo kwa kizungu laitwa COLEUS PLANT, ni mojawapo ya maajabu mengi katika tiba ya msradhi sugu. Inawezekana unalifahamu pia unalo katika bustani yako. Jani hili linatibu maradhi mengi. Lakini leo ninakupa moja ya maradhi sugu linavyoweza kutibu VIDONDA 1. Donda ndugu...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna Kuridhiana na Magaidi Yalioua Ndugu Zetu October 29 "NEVER EVER"

    Unawezaje kuridhiana na gaidi katili asiye na huruma aliyeamuru maelfu ya watu kuuawa? Hilo halipo. Kwakifupi HAKUNA KURIDHIANA NA MAGAIDI. Nilazimamagaidi yote yapate haki yao ili nchi iwe salama. Samia na wenzako hakuna namna mnaweza kutufanya tukubalikuridhiana na WAOVU, NEVER EVER. NI BORA...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

    Naitaji msaada wa haraka Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano. Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani. Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu...
  17. JamiiForums Tanzania Babati kila MWANAMKE ni mzuri ndugu zangu njooni muoe huku

    Mabinti weupe sana Wana mashape hatari Wembamba hawana vitambi kama wale wa mbeya na Dar es salaam Wachapakazi wapole nk Hapa ni babati mjini naimani vijijini huko kuna mabinti warembo na bikra za kutosha
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu wadau wa Jf, hivi CHAUMMA wanaendeleaje huko na kampeni yao ya "Tujenge Pamoja Tanzania ni sisi"?

    Na vipi kuhusu michango waliokusudia kuomba kuchangiwa na waTanzania. kuna mwenye updates yoyote kwamba wamefikia wapi mpaka sasa?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  19. JamiiForums Tanzania Safari ya chadema kuchangisha milioni mia3.34 imefikia wapi ndugu wadau wa Jf?

    Naona hakuna updates tena kama awali, kuna changamoto yoyote?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  20. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Sheria; Ndugu yangu kaangukiwa na tofali Kariakoo, wanagoma kumfidia

    Habari wakuu, Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…