ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ligi za mabasi zisipodhibitiwa zitaendelea kuua ndugu zetu

    Hivi huwa najiuliza mkuu wa latra huwa anapataje usingizi ikiwa kila kukicha ajali za mabasi ya abiria zinazidi kuongezeka? Ameshindwa kutafuta suluhisho kweli? Mabasi yote yafungwe camera ambazo zitakuwa zinafatilia mienendo yote ya madereva waoshindana uku wakiwa wamebeba roho za watu...
  2. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

    Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; =================== Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi...
  3. JamiiForums Tanzania Tarehe 17 March 2021, Makamu wa Rais akitangaza kifo cha aliyekuwa rais Ndugu Hayati Magufuli ulikuwa wapi?

    Binafsi taarifa za msiba wa Rais nilizipata nikiwa njiani, nimepanda basi la Majinja likilokuwa linàfanya safari za wizi za usiku, likitoka Dar kuelekea Mbeya. Safari yangu ilikuwa ikiishia Mafinga mkoani Iringa. Nilikuwa nime tune Radio 1, ndipo wakakata matangazo na tukaunganishwa na TBC...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

    Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.? Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii. Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ndugu yangu!

    Jamaa yangu kaomba ushauri
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wa Kigoma, Tanga na Kagera wanapatikana maeneo gani zaidi hapa Dar es salaam?

    Wadau hamjamboni nyote? Lengo la Uzi huu ni kutoa fursa ya kufahamiana kwa urahisi sisi tuliotoka mikoani na sasa tunaishi Dar es salaam Hatukusudii kujadili uzuri au ubaya ya Kabila fulani hapa nchini. Niende kwenye mada Kwa hapa Dar es salaam sisi watu wa Mkoa wa Mara na hasa jamii ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu wafidiwe pesa katika mitandao ya simu ikitokea wenye Akaunti zenye salio wameaga dunia

    Habari ndugu Watanzania, Nimesukumwa kuandika uzi huu, kutoka kwenye uzi mwingine uliofunguliwa juu ya madai ya mtu kumtumia mzigo mteja wake, na mteja imetokea ameaga dunia kabla ya kupokea mzigo. Niliwahi kufungua uzi kipindi cha nyuma unaoendana na huu ukiuliza ndugu wanafidiwa vipi maslahi...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu katika Imani

    Ukumbusho umfaa mwenye kukumbushika ndani ya mwezi huu mtukufu ndio Quran ilishushwa, hivyo tusipoteze muda mwingi katika mtandao ya kijamii, kushinda vijiwe vya kahawa, kusoma magazeti, kuangalia runinga na yanayo fanana na hayo. Tuelekeze muda wetu mwingi katika ibada: Swala tano Kusoma...
  9. JamiiForums Tanzania Kumkopesha ndugu ni kuua undugu wenu

    Nimejifunza ni bora lawama kuliko fedheha. Ndugu yangu alikuwa na mahusiano mazuri sana na mimi tuliweza kuwasiliana na kutembeleana mara kwa mara, lakini mambo yalibadilika baada ya yeye kupata matatizo fulani na kuomba nimuazime kiasi fulani cha pesa (kikubwa tu), nikamsihi nami niko vibaya...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu upande wa baba wanainua vita kali juu yangu

    Habari ya wakati huu JF members, nina imani mnaendelea salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kushare japo kidogo hili swala ninalolipitia. Mimi na familia yangu(baba, mama, kaka na wadogo zangu) hatukutoka kwenye familia ya yenye uwezo. Maisha tuliyokuwa tunayaishi tangu nikiwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bmw 3series GT au 5series GT

    habari ndugu naomba kujua vizuri kuhusu bmw 3series gt 2013 - 2015 au 5series gt uzuri wake na ubaya pia
  12. JamiiForums Tanzania Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ni ubinafsi au unafki, Waarabu wanaosifiwa kuogelea kwenye pesa ni kwanini wanajibana kutoa misaada kwa ndugu zao wapalestina huko Gaza ?

    Inashangaza kuona Saudi Arabia inayosifika kuwa nchi tajiri ya kiarabu kuona kiasi pekee walichochangia ni dola milioni 133 tu kuisaidia Gaza. Saudi Arabia imebarikiwa mafuta, visima vingi vinamilikiwa na wanafamilia wa kifalme na ndugu zao (royal family), huonyesha ufahari wao kwa kutumia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema. Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita. Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na...
  15. G

    JamiiForums Tanzania UKIMWI upo ndugu zangu

    UKIMWI upo ndugu zangu, nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa. Tuwe makini na wadada.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa,dini, ndugu zetu na watu maarufu wanaotumia Facebuku akaunti zao zinatumika kama link ya picha za ngono

    Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono. Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga. Kama...
  17. JamiiForums Tanzania Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

    Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje. Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa makampuni makubwa n.k Lakini haya yote hayaonekani, tatizo ni nini? Au nyie mnanufaikaje kwa hao jamaa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa anatumia vibaya cheo cha baba yake

    Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze). Inadaiwa alifanya jaribio la kujeruhi na kushindwa kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu ndani ya chama kutokana...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali. Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kenya yaamuru Wafungwa waruhusiwe kuhudhuria Mazishi ya ndugu zao

    KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya kuhudhuria Mazishi. Mahakama imetoa uamuzi huo kupitia Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…