ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mwigulu, kama makusanyo ya Bandari anakusanya DP World, tutakwepaje bankruptcy?

    Salaam, shalom!! Ikiwa lango la Nchi, lililo na makusanyo makubwa kuliko yote, tumemkabidhi mgeni atukadirie mapato baada ya Kutoa gharama zake za uendesgaji na ukusanyaji tutakwepaje kuwa bankrupt? Tuliambiwa kwamba, akiingia DP World, atasaidia kufadhili budget ya nchi yetu zaidi ya 50%...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa

    Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
  3. JamiiForums Tanzania “Njoo Kesho” kwenye Taasisi za umma ni Kidonda Ndugu

    Ifike mahali hiki kitu kikomeshwe mara moja. Baadhi ya watumishi kwenye Taasisi za umma ni kero na hawana adabu hata kidogo. Kuna baadhi ya Taasisi za umma ziko maeneo ya Mkoani au mjini kabisa mtu anatoka zake madongo kuinama anatumia nauli kubwa anafika hapo ili ahudumiwe lakini cha achabu...
  4. JamiiForums Tanzania Nauliza hizo pesa wanatoaga wapi ukifa na je ndugu zako watachukua muda gani kugawana Mali zako

    Ukiumwa ndugu zako hawata kuchangia wala kukupa msaada wakidai hawana kitu, ila ukifa watasafiri kutoka mbali kuja kukuzika tena wakiwa na vitu kwaajili ya kumaliza kilio chako hizo pesa za usafiri sijui wanatoaga wapi, hii inanikumbusha ule usemi wa kwamba unaweza ukafa Kwa njaa alafu siku ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ndugu Mwananchi, Jf inakutakia wewe na uwapendao kheri ya sikukuu ya SabaSaba. Asante kwa kuwa nasi Where we dare to talk openly.

  6. W

    JamiiForums Tanzania Wale msio na ndugu maisha yapo vipi ?

    Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ?
  7. JamiiForums Tanzania Kula sana bata hata kuku wote lakini kamwe usiwasahau ndugu zako

    KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO. "Kama MUNGU amekujalia uwezo mzuri wa kiuchumi, weka nguvu kwa ndugu zako pia. Usiwasahau ndugu zako kwasababu ipo siku utawahitaji na usipowahitaji wewe basi tutawahitaji sisi kwaajili yako. Siku ukiumwa au kupata matatizo...
  8. JamiiForums Tanzania Imagine ukoo mzima sina ndugu hata mmoja Dar! Ni huzuni ilioje

    Jamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana. Yamenikuta mara 1000 haya majanga Kuna biashara naifanya na ninapata wateja wengi wa Dar lakini nashindwa kufanikisha kwasababu sina ndugu wa kumuagiza kunichukulia mizigo yangu na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mwigulu, VAT ikishushwa Kwa 2%, Serikali haitapata HASARA ya bil 600 Bali itaongeza idadi ya walipa kodi!!!

    Salaam, Shalom!! Sina ugomvi binafsi na Ndugu Mwigulu, ugomvi wangu ni juu ya Elimu ya Uchumi na maamuzi ya mtu huyu mwenye kibri ajiitaye msomi kuliko wasomi wengine. HIZI HAPA FAIDA ZA KUPUNGUZA KODI HASA KWA WATU WA KIPATO CHA KATI NA WA KIPATO CHA CHINI. 1. BIASHARA ZILIZOKUFA ZITAFUFUKA...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu J. Gwajima, ushahidi wa Mpina haujathibitishwa popote, hivyo huna HAKI ya kusema amedanganya

    Salaam, Shalom!! Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni. Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani. Umeenda mbali zaidi na Kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    Jambo ndugu zangu Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama Sasa ilo jambo linanitatiza Sijui nyinyi mnanishauri nini
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mtoto moja wakati wazazi wana uwezo wa kuongeza liwe kosa la jinai, ni kumnyanyasa mtoto kukosa ndugu + upweke

    Kuna wazazi huwa wanaamua kwa maksudi wawe na mtoto moja tu kwa sababu ya kuiga maisha ya utandawazi, kuogopa mimba itaingilia kazi zao maofisini, kukwepa gharama za kulea watoto, kutaka kumpa umakini / attention mtoto moja tu, n.k. mtoto anakuwa hana kaka wala dada. yupo peke yake, is it fair...
  13. JamiiForums Tanzania Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

    Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu Bashe, ulimaanisha nini uliposema Mashamba ya kulima miwa yabadilishwe yawe ya mpunga?

    Salaam, Shalom!! Ulipokuwa mbunge kabla ya kupewa Uwaziri ulionekana kama mzalendo wa Kweli Kwa HOJA ulizojenga!! Ulimaanisha nini? 1. Kwamba, mpunga unaweza kuwa mbadala wa sukari? 2. Kwamba Ajira ambazo zinatolewa na viwanda vya sukari, zikipotea, Watanzania hao waende wapi? 3. Hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Wako wapi ndugu wa ukoo wa Mtume Mohamad SAW ?

    Usiniulize kuhusuYesu,huyo tumuweke kiporo kwanza. Mtume Mohamad SAW ni wa juzijuzi tu,sasa napenda kujua nduguze walipo yaani ukoo wake,bila shaka bado wapo, hatuwezi pata hata majina na picha zao?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nani alitakiwa kupelekwa kamati ya Maadili kati ya Ndugu Mpina na Waziri Bashe?

    Salaam, Shalom!! Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili? Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania? Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi Waliokuwa Ndugu wa Giza: Safari za Damu na Machungu

    Ndugu wa Giza ni maneno yanayofaa kuwataja viongozi hawa, waliotumia mamlaka yao kama mapanga makali kukata haki na ustawi wa watu wao. Kila mmoja wao aligeuka kuwa kivuli cheusi kilicholeta maafa makubwa katika historia ya ulimwengu. Hawa ndio viongozi waliotumbukiza dunia katika jahanamu ya...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote ndugu zangu betting imenishinda

    Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓 Mimi ni kijana wa makamo tu zaidi ya vibarua Sina kingine cha kufanya naombeni kazi jaman, Sina ujuzi wowote ule zaidi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tujengeni utamaduni wa kuhudhuria viwanja vya michezo ⚽

    Nimegundua kushindwa kwangu kuhudhuria viwanja vya michezo kumenifanya nikose vingi. Najutia sana
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu/ jamaa akikwambia amelazwa hospitali nenda kamuone pengine anahitaji Msaada wako sana!

    Ilikuwa ni asubuhi na mapema mwezi uliopita, nimeamka ili niende kwenye mihangaiko yangu,ghafla nikasikia tumbo kama linakatwa na kisu Ile shwaaaa! Nikashtuka nini hiki,nikajikaza hapo nikaendelea kujiandaa,kadri muda ulivyokua unasogea na maumivu nayo yanazidi! Nikawa sielewielewi shida nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…