ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam nina maswali

    Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bibi amepotea Mindu, Morogoro. anatafutwa na ndugu zake

    Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake. Alikuwa amevaa gauni la bluu...
  3. JamiiForums Tanzania Usimshauri ndugu au rafiki asomee uandishi wa habari: ni sekta ambayo inaenda kufa na atateseka sana

    Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!! Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo...
  4. JamiiForums Tanzania Tusipende kuwahukumu watu tuwanao wamefanikiwa kama hatujui kwa nini wako hivyo kwa ndugu au jamaa zao

    TUSIPENDE KUWAHUKUMU WATU TUWANAO WAMEFANIKIWA KAMA HATUJUI KWA NINI WAKO HIVYO KWA NDUGU AU JAMAA ZAO Wapo watu tunawatazama wamefanikiwa sana katika maisha yao ila ndugu zake wako nyuma sana kimaisha ukamhukumu katika ubaya tu Yawezekana hata hao wanaolalamika juu ya huyo mtu hata hapo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu mliohamia USA(Marekani) Trump anawasalimia

    Sasa wazee 🤣Trump sijui alidokeza sijui atawapa zawadi gani vile?? Kuna baadhi ya hao (African USA) walidiriki kuyatukana mataifa yetu ya africa sasa🤔🤣Trump atawapa zawadi yenu muda si mrefu(mshakatiwa ticket ya kurudi mlikokutusi) Nawasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea.

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta. Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu

    Elimu: shahada ya uuguzi. Umri: 31 Jinsia: Me Location: Dar es salaam Nina uzoefu wa kutosha wa kuhudumu, naombeni kazi wakuu. Niko full licenced. Mawasiliano yangu. 0694029955 / 0718605934 Email;omaryabdallahram@gmail.com
  8. JamiiForums Tanzania Napambana sana niwatoe hatua moja ndugu zangu

    Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu. Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake. Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Tatizo la Mahusiano na Usaliti Kazini

    Hello team. Naitwa Mussa, naishi Temeke, Dar es Salaam. Nina mpenzi wangu ambaye anatoka Kanda za Juu, na mama yake anatoka huko pia. Sasa tatizo ni kwamba kazini kwake anatoka na boss wake kwa siri sana, na nimegundua hilo. Pia, boss wake ameoa. Sasa anataka kumtema mpenzi wangu, ila huyo...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Naumia moyo ndugu zangu

    Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu. Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha. Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano, Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
  11. JamiiForums Tanzania ALL THE BEST NDUGU ZANGU AZAM

    Leo ndo siku ile ya kuondoa ile naniliu.....
  12. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

    Habarini, Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama...
  13. JamiiForums Tanzania Hapa ndo pamenishinda ndugu zanguni. Ngoja nibaki tu na UPWIRU

    1. Nianze mfukuzia demu 2. Nimtongoze nimshawishi mpaka anikubalie 3. Kisha nianze kuwa natatua shida zake 4. Ni maintain yeye kubaki au kuwa nipambane niendelee kubaki naye atumie pesa zangu? WALLAH WACHA NIBAKI NA UPWIRU. NIKIZIDIWA NAJICHUKULIA SHERIA MKONONI. YEYE ABAKI NA KIPOCHI UNYEVU...
  14. JamiiForums Tanzania Egypt: Hii siyo sawa kuwafanyia ndugu zenu. Kuna nini Kinaendelea hapa?

    Nimeshangaa Egypt haitaki kabisa kuwa msaada kwa wanaGaza ili wapate mapumziko. Unaona huu ukuta. Unaweza sema Trump katili sana kajenga huu ukuta kuzuia wapalestine wasiingie USA. Unakuja kuambiwa ni ndugu wa Damu. Hakuna anayewataka Wapalestine. Sijui kwa nini. Huu mpaka wa Egypt na Gaza
  15. JamiiForums Tanzania Watu wa kipato cha kati wengi wanaishi kwa hofu za kurogwa na ndugu na marafiki waliowazidi

    Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge. Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa yeyote atakayeguswa na tatizo la huyu ndugu yetu, tunahitaji msaada wako

    Habari ndugu zangu. Natumai wote mpo salama, na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Ndugu zangu, na marafiki zangu na wasio kuwa Marafiki zangu, wote kwa ujumla nina jambo nataka kulileta mbele yenu kwa maana ni kweli kweli nahitaji msaada wenu, wa hali na mali na ushauri pia. Mdogo...
  17. JamiiForums Tanzania Ukipata muda nenda katembelee makaburi ya wazazi au ndugu zako

    Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani. Jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni kuna baraka nyingi.
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri...
  19. JamiiForums Tanzania Nisaidieni swali hili ndugu zangu

    Msaada wa poem hii
  20. U

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…