ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna kipindi vijana kutokana kukimbia mashida, matatizo , kutengewa na ndugu au wanyewe kujihisi hawakubaliki huamua kukimbia na kwenda mbali

    Lakini nakwambia Ewe kijana peke yako. Baba yako na Mama yako ndio pekee wNa uchungu na wewe katika Dunia hii. Hakuna takataka yeyote zaidi ya Baba na Mama. Kuna watu wana maumivu na malipizi ambayo hayaji lipwa. Kuna watu wakiwa jelA waliskia mama zao wamekufa na hawakupata nafasi za...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa damu alikuwa ameajiriwa na kazi yake ilikuwa kuua na kutesa ,na hakuwa polisi .

    Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa . Watu huwa wanafikiri kila mauaji wanafanya polisi Ila kuna hawa watu special kwa Kazi hizo wanaweza wakakuchukua kutoka...
  3. JamiiForums Tanzania Unafiki wa CCM na Humphrey Polepole

    Moja kati ya tabia ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM ni unafiki hasa wale viongozi wa juu ikitokea Rais aliyekuwepo madarakani analipendelea tabaka fulani basi humkingia kifua na kufumbia mabaya yake ila akija rais mwengne akiwatenga au kua na sera tofauti na zao wananza kukukosa kudhihaki...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbukizi; Mwalimu Nyerere: Kambona ni msaliti, mwizi na malaya

  5. F

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

    Nimeoa, ndoa yangu ina miezi 6 lakini mke wangu kaondoka nyumbani na kaniacha anadai talaka ananishutumu kuwa nina mahusiano na Mama yangu. Nyumbani kwetu tumezaliwa watatu na wote ni wakiume, mimi ndiyo mtoto wa kwanza, nina miaka 33 na nina kazi nzuri tu. Muda wote wa maisha yangu nimekuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa, huyu hapa ndugu yenu

    Mwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane. Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio amefunguka 👇 "Katika maisha yangu kuna vitu vitatu vikubwa ambavyo sio ndoto yangu, cha tatu ni hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro KKKT Kijitonyama: Polisi hawajatoka ardhini kuzimu. Ni ndugu zetu

    Wakuu, Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi sio mazimwi yaliyotoka ardhini na kwamba ni watu wazuri ambazo ni ndugu zetu Jeshi la Polisi sio...
  8. JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

    Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana...
  9. JamiiForums Tanzania Its okey ni maisha yako ndugu, lakini hauwezi nishawishi kidume nivae vipensi vifupi vya kubana mapajani alafu vina rangi mara ya pink sijui dhambarau

    YANI MWANAUME UNABANA MAKALIO NA MAPAJA🤡🤡 Kuna wakati wanawake waliwafukuzia wanaume katika fashion zilivyo za kiume, Ila leo vijana wa kiume sasa ndio wanafukuzia kuvaa fashion za kike. Hawa ndio wale wanakujaga na nyuzi humu wanaandika "wakuu mke wangu ananigombeza kama mtoto, nifanyeje?"...
  10. JamiiForums Tanzania Kwaherini ndugu zangu wa JF

    Kwaherini, ndugu zangu wapendwa wa JamiiForums Kwa takriban miezi saba, nimefanya bidii kuwaletea habari njema za uzima wa milele. Habari hizi, zimekuwa chemchemi ya furaha kwa baadhi ya watu; lakini kwa wengine, zimeonekana ni kero. Kwa wale mliosononeka au kukasirishwa na nyuzi zangu...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa fasta ndugu zangu

    Ndugu zangu Mimi kijana wenu wa hapa jukwaani. Nina shida ya 10K nakurudishia 20K jioni ya Leo. Kuna mistake Moja nimefanya nimeibiwa Kila kitu. Nimeamka na simu tu na bundle. TIGO 0710782874 (Brown Nyanza) Natanguliza shukrani.
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe wachaga wa machame na marangu na wakurya ni ndugu?

    Makabila ya Mara ni mengi kuliko mikoa yote ya Tanzania, kama vile Waluo, Wajita, Waruri, Wazanaki, Wakuria, Wakabwa, Wakiroba, Wasimbiti, Wangoreme, Wakwaya, Waikoma, Wanata, Waisenye, Waikizu, Wasizaki, Wasukuma, Wataturu na makabila madogo kama Wanandi, Wakisii au Wamaragori. Kuna jumla ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Nilimsamehe ila anakosea kudhani nimesahau: ndugu yangu aliewahi kunirubuni pesa anachukia ninapomchunguza anaponiomba pesa, je nakosea ?

    nina ndugu yangu aliewahi kunidanganya vitu vingi ili ajipatie pesa kilaini kwa matatizo hewa nikiwa mbali, maana kama mnavyojua kwa utamaduni wetu watanzania ni kawaida kusaidiana hasa kifamilia. Nilipokuja kugundua na kupata ushahidi nilisikitika sana, aliniomba msamaha nilimsamehe lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuongea na Ndugu Yako Aliyekufa

    Ndugu yako aliyekufa, anatamani kuongea na wewe, lakini wewe hufahamu njia ya kukuwezesha kuongea naye. Inawezekana mambo yamekuwa magumu na unaamini unahitaji ushauri wake, inawezekana umemkumbuka tu na ungependa uzungumze naye, na inawezekana alifariki mkiwa katika ugomvi sasa unataka mmalize...
  16. JamiiForums Tanzania Je ulishawahi kusitisha au kumsitishia ndugu yako matibabu hospitalini?

    Kuna wakati mgonjwa aliyelazwa hospitalini au ndugu zake huamua kwa hiari yake/yao kusitisha/kumsitishia matibabu bila ridhaa ya daktari kutokana na sababu mbalimbali. Je wewe mdau ushawahi kulazwa hospitalini ukasitisha kuendelea na matibabu? Au ulishiriki kumsitishia ndugu yako matibabu? Je...
  17. JamiiForums Tanzania Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  18. JamiiForums Tanzania Nawashukuru Wana ndugu

    Kuna michango ya Wana ndugu nilikua naichangisha,huu mwezi wa 6 tarehe 30 inabidi niikabidhi,aisee bby wangu si akafiwa na mama ake na inabidi watoe michango akawa na akiba kidogo Sana ikabidi mimi nichukue michango ya ndugu nimpe Ili afanikishe zoezi la kuzika, Hapa nasubiri mshahara nilipe...
  19. JamiiForums Tanzania Tuokokeni ndugu zangu siku mbaya hizi

    Nacho wakumbusha ndugu zangu, dunia hii ya leo, tunaishi katika nyakati mbaya sana, tuokoke, tuacheni dhambi, tuombe sana, maisha tunayo yaishi yamezungukwa na kifo, magonjwa ni mengi, uovu ni mwingi, kule ni vita, huku ni ajari, pale ni utekaji, kule tena ni ushirikina na mengine mengi duniani...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Jimbo la Kisesa watakubali kumtosa Mbunge wao kipenzi ndugu Mpina kirahisi?

    Hellow! Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani, Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…