ndugai

  1. Vifo vya Magufuli na Ndugai vimetoa funzo kwa watanzania

    Neno la Mungu linasema kwamba ukimtendea mwenzako ubaya utalipwa hapa hapa duniani. Huu ni ukweli wa wazi na ambao huwezi kuukwepa kwa kuwa umefungamanishwa na neno la Mungu. Mwaka 2017 mheshimwa ndugu Tundu Antipas Mugway Lissu alinusurika kuuawa na watu wasiojulikana mchana kweupe mbele ya...
  2. Alichofanyiwa Marehemu Job Ndugai ndio wanafanyiwa wengine sasa

    Waliposhika madaraka watu waliwaonya ila wakaona haya yana wahusu wapinzani na wanaotaka kusema ukweli. Mtakumbuka Marehemu Ndugai alipokuwa spika baada kuona upepo wake na yeye kuwekwa chini ya uwangalinzi ambao hata ukitaka kwenda kwa mchepuko usubiri maagizo. Viongozi wengi sasa tunayo...
  3. K

    Spika Ndugai kashasahaulika pesa wanakula wengine!

    Spika ndugai: Kasha sahaulika pesa wanakula wengine!. Mafao makubwa alipewa na akafikiri atakuwa mbunge na kujiona ni Mungu mtu sasa ni mwendazake Tendeni haki! somo. wapenda maraka hawakusubiri Tenda Mema ukiwa hai
  4. K

    Utabiri wa Ndugai

    https://youtu.be/pK4Uq9CvIkY?si=unUxxicIY6p9sr9M
  5. Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

    Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
  6. K

    Kikwete atakumbukwa kama Ndugai

    Tamaa ya kikwete ya ufisadi imeharibu hata mazuri aliyo wahi kufanya. Kama Ndugai wengi watasheherekea hasa baada ya haya ya CCM. Tumechoka kutawaliwa na familia na wana mitandao
  7. Kampení za Kumrithi Job NDUGAI zinahitimishwa Leo Jimboni Kongwa

    KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi...
  8. GE2025 Kampeni za uchaguzi kumrithi marehemu Ndugai zimeanza rasmi

    KONGWA. Kampení za uchaguzi kuwania ubunge kupitia chama Cha mapinduzi zimeanza Leo tarehe 15-8-2025, zikianzia Kata ya Kibaigwa . Wagombea wapo 13 ikiwemo 7 kati ya 10 waliowania pàmoja na Hayati Ndugai na ingizo jipya ni wagombea 6 Baada ya kifo Cha Ndugai Jumla ya watia Nia 24 walijitupa...
  9. GE2025 Kama Eng Hersi Said ameenda kugombea Kongwa naanza kuona harufu fulani puani kwangu

    Kama huyu jamaa kaamua kwenda Kongwa basi naamini kuwa we are done . == Mwananchi wameeleza kuwa baadhi ya majina ya wanachama 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa kufuatia kifo cha aliyekuwa hayati Job Ndugai yameanza...
  10. SMS ya Ndugai ya mwisho aliyomtumia ndugu yake, aonesha gari la kwanza alilofanyia kampeni 2000

    Tazama kuanzia dakika ya tano.
  11. Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

    Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM. Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za...
  12. L

    Kura Za Maoni Kufanyika Upya Jimbo La Hayati Ndugai Na Fomu Kutolewa Kwa Laki Tano

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu. Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa wagombea katika Jimbo hilo. Ambapo pia katika uchaguzi wa kura za Maoni za Awali kabla ya Kifo chake...
  13. Halima Mdee: Ndugai alipigania Haki za Wabunge 19

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Ndugai alipigania haki za wabunge 19 waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  14. Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi. Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini. Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha...
  15. Nashauri Mafao ya Ndugai na mali zake zigawanywe nusu kwa nusu kwa wake zake, ili kuondoa mvurugano unaoweza kujitokeza

    Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake . Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili. Na mahausiano yao yalikuwa vizuri . Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama...
  16. Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini . Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
  17. Spika Job Ndugai atakumbukwa kwa yapi zaidi kama legacy yake?

    Kila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi. Zaidi sana ni bunge...
  18. Rais Samia Msibani kwa Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
  19. Je kauli ya Job Ndugai, taifa kupigwa mnada ni sehemu ya uzalendo wake unaotajwa leo?

    Hamjambo! Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
  20. J

    Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

    Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…