ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania China ililazimisha jamii ndogo ya waislamu wa huko watume video zao kuonyesha wanakula kipindi cha ramadhani

    Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    habarini Wakuu Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo

    Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
  4. R

    JamiiForums Tanzania China yatengeneza betri ndogo za nyuklia zenye ukubwa wa sarafu

    Watengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo. Betri hiyo hutumia teknolojia ya kizazi cha nne ya semicondukta ya almasi ya China...
  5. JamiiForums Tanzania Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  6. JamiiForums Tanzania Karibu upate kuhifahamu Vizuri Biashara ya 'Car wash' Gharama za vifaa pamoja na faida kwa kila gari, ndogo, kubwa ,pikipiki na bajaji.

    Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake. Hivyo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi jiuliza kwa nini taasisi za Bank tunaziamini kutuwekea/hifadhia mahela yetu, ila huduma ndogo tu kama kuchimba dawa hawawezi kukupatia!?

    Hallo wana JF!? Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP wao!? Kingine, kinachoniudhi, ni pale unaweza ukawa upo Bank, unapigiwa na mtu ambaye mnataka ku...
  8. JamiiForums Tanzania GOROFA SIMPLE DESIGN 4BEDROOMS WALE WENYE PLOT NDOGO INAWAFAA SANA

    WE OFFER GOOD BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION REACH US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA
  9. JamiiForums Tanzania Ghorofa simple design 3 bedrooms, wale wenye plot ndogo inawafaa sana

    WE OFFER GOOD BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION REACH US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA
  10. JamiiForums Tanzania Ghorofa simple design 4 bedrooms, wale wenye plot ndogo inawafaa sana

    WE OFFER GOOD BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION REACH US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kituo cha kuandikisha wapiga kura, utaratibu mbovu, kasi ndogo ya uandikishaji unawakatisha tamaa watu wengi kujiandikisha

    Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi uhitaji. Utaratibu wa kuingia kuhudumiwa kuna namba zinatolewa, wanaopewa kipaumbele ni wanawake...
  12. JamiiForums Tanzania Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  13. JamiiForums Tanzania Research ndogo kuhusu ndoa Kwa wanaume wengi

    Research ndogo niliyo Fanya, wanaume wengi karibia 99.9% walio ingia kwenye ndoa, wanatamani kutoka , ila kwasababu ya kuwa na watoto inakua kipengele sana kuchomoka kwenye huo mtego. Kinacho wafanya wasitamani tena ndoa ni Majukumu ya kulea watoto ,mke na familia ya mwanamke, kipato Cha wengi...
  14. JamiiForums Tanzania Mikakati ya Uuzaji (Marketing Strategies) kwa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) Tanzania.

    Utangulizi Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo, kuna haja ya kuwa na mikakati bora ya uuzaji inayozingatia mazingira ya kibiashara ya Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  16. JamiiForums Tanzania Ukishaona mtu anatanguliza sana maneno ya IQ, mara "ooh kuna watu wana IQ ndogo humu" ujue huyo kinachomsumbua ni kitu tunaita Condescending judgment

    How much is enough ili kuweza kuridhisha matakwa na mategemeo ya mwanadamu, utashi tulionao pekee hautoshi ku-prove kuwa sisi ni bora ingawa hatuendani??, sasa kwa sababu upo egoistic, selfish na umevurugwa utaanza kuwapanga watu katika makundi ya akili ndogo ili wewe uonekane upo vizuri...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Je, Ni vitu gani vinatufanya watu weusi tuwe na akili ndogo?

    Hakuna kitu cha maana ambacho tumeisaidia dunia. Kiufupi tupo tupo tu, Tunasubiria watu wa mashariki ya mbali waje watusaidie. Tumejiandaa vipi majanga ya asili kama tsunami, tetemeko etc yakitotea? Je, Kuna siku Waafrika tutakuja kuwa na akili za kuweza kutatua changamoto zetu? Au ndo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

    Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nauza jenerator ndogo inayofanya welding

    Habari wadau nauza jenereta ndogo unayoweza tumia kama welding machine kama unahitaji nicheki 0626333300
  20. A

    JamiiForums Tanzania Wazo kwa TTCL: Kuwepo kampuni ndogo nyingi ndani ya TTCL

    Direct to point Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula ruzukunza seikali miongo na miongo bila ya kuzaa matunda mfano posta, ttcl, tanesco, tazara, air...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…