ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Akili ndogo inaongoza watu wenye akili kubwa

    Ila Kampeni za Mama Aibu naona mimi Atavuta maji kutoka ziwa Victoria mpka Dodoma.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimenunua electric generator ndogo, wahuni wanaweza kuzima Tanesco yao

    Msiamini umeme wa Tanesco, wakizima nchi nzima itakuwa shida. Tutakosa live release............... Nawashauri muwe na alternative source of electricity
  3. JamiiForums Tanzania Nguo zako ambazo huzivai tena aidha kwa kuchakaa au kuwa ndogo huwa unazifanyaje?

    Nimekutana na mada ya moto kidogo. Kuna wanaoamini tuwape wenye uhitaji ila wengine wanapinga wanasema sio sawa. Unaweza kupata mikosi. Kuna wanaosema wanazitupa au kuchoma moto ila baadhi wanasema hapana. Kuna wanaoamini nguo ukizirundika na huna matumizi nazo basi unazifunga ridhiki zako...
  4. JamiiForums Tanzania EV zina gharama ndogo za uendeshaji kuliko magari ya ICE. Sema ngumu sana kumshawishi Mtanzania

    Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa. Najua kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyetunga sheria/adhabu ya kuwanyonga Wakristo, ana IQ ndogo?

    Ni ajabu hadi leo kuna nchi duniani ambazo bado zinatoa adhabu ya kumnyonga mtu aliyeamua kuacha dini yake ya mwanzo na kuwa Mkristo. Aliyebuni sheria/adhabu hiyo aliona kwamba hiyo ndiyo njia ya kuwakomesha wafuasi wa Kristo. Najiuliza: aliyetunga sheria/adhabu hiyo alishindwaje kuelewa Andiko...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba Asisitiza Uwajibikaji kwa Watumishi wa Ofisi za Hazina Ndogo Kigoma

    DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
  7. JamiiForums Tanzania Kinacholeta maendeleo sio ukubwa wa nchi au rasilimali, ebu angalia nchi ndogo kama Finland inaisadia Tanzania!

    Ukiangalia kwa undani utajua kuwa nchi za watu weusi hazina watu wenye akili . Inawezekana vipi kanchi kadogo Kama Finland kakawa kanatupa misaada.!!?
  8. JamiiForums Tanzania Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  9. JamiiForums Tanzania Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

    Naombeni mchangie tafadhari
  10. M

    JamiiForums Tanzania Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12
  11. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Instagram account inauzwa

    Account ndogo ya Instagram inauzwa, Followers 5800, nicheki 0743546090 Call/text ama WhatsApp
  12. JamiiForums Tanzania Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

    Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe. In short don't trust politicians hasa ukiwa smart . Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kero za ushuru wa biashara ndogo ndogo temeke

    Habari wanajikwaa Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu wa Tsh 500 kila siku umekuwa ukitolewa lakini wahusika hawatuboreshei mazingira ya kazi mfano...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Bila kujua CCM wanaenda kufanya reforms ndogo chamani huku wakigomea reforms za taifa.

    Wameitisha online conference meeting, lengo wabadilishe baadhi ya vipengele vya katiba yao kuelekea uchaguzi mkuu 2025 huku wakigomea mabadiliko ya sheria za uchaguzi mkuu ziweze ku suit vyama vyote kwa usawa
  15. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumjua mtu mwenye IQ ndogo katika uwanja wa siasa ni pale anapopost Clip za polepole kipindi akiwa mwenezi wa CCM

    Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka . Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati uliopita Kama uzoefu na kujifunza . Nimeona watu badala wachambue hoja za polepole na sehemu...
  16. JamiiForums Tanzania Karibu utangaze kwenye TV kwa bei ndogo

    Wadau Karibu mnisapoti kijana wenu . Karibuni mtangaze kwa gharama mdogo kabisa kupitia Tz Gospel Tv ipo Azam other channel 27 tunapatikana African nchi 21 satellite eutelsat 7b Kupitia kingamuzi cha azamz,zuku, continental decoder na milan cable arusha channel 204 Gharama zetu ni kama...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

    Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua" Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wafupi wanakuwa na sauti ndogo?

    Eti wakuu kwanini watu wafupi huwa wanakua na sauti ndogo Mfano Yericko Nyerere Steve Nyerere
  19. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa usigombee ubunge utaua heshima yako ndogo iliyobaki.

    Ukiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge . Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
  20. JamiiForums Tanzania Nimemfungulia wife biashara ndogo tu! Ila naona kama ishaanza kumpa jeuri Najutaaa

    Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi. Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka. Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno Nikiazima hela yake kama nina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…