ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Ndoa ni kipaji kama hauwezi achana nayo

    Jichunguze tabia zako kama unajijua huwezi kutulia na ndoa yako tuliza kizazi alasivyo tutakikata!. Unaoana ili iweje ukijua utamletea mwenzako balaa!,kama hicho kipaji huna jishughulishe navitu vyengine usihangaishe makomwe yawenzako. Mnaona halafu mnasumbua wazee kila siku vikao wanakosa...
  2. JamiiForums Tanzania Kabla ya ndoa, kwanini mnatumia muda mrefu kuchunguzana?

    Mtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..? hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien..? Mnachunguzana tabia kwani kuna tabia gani usiyoijua hapa duniani..? kwani kuna tabia inayotoka nje ya hii...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa mchungaji ananitia majaribuni, ama kwa hakika vijana tukatae ndoa. Ndoa ni utapeli

    Hawa wanawake sijui wana shida gani!? Wakiwa hawajaolewa wanahangaika kwa manabii na waganga ili wapate ndoa. Ila wakishaolewa kutwa kuhangaika kurukaruka kutaka kugawa utamu wa ndoa kwa sisi mabachela. Imagine mke wa mchungaji, status zake ni makongamano na semina za kibiblia na neno la...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo wasiyoyapenda wanaume ndani ya ndoa

    1. MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima. 2. MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au anaduwaa; ujue hana jibu au anajisikia vibaya kuhusu jibu ambalo...
  5. JamiiForums Tanzania Kitakachomfanya mwanamke malaya atulie kwenye ndoa yake ni dhiki pekee. Siku akiwa na uwezo wa kujinunulia angalau chupi ndoa itaanza kuzama

    Hello! Kama kawaida siachi kuwasanua wanaume wenzangu. Inaumiza sana kuoa malaya. Usithubutu kuoa malaya. Jana nilileta Uzi uutafute upate kumjua mwanamke malaya na ujinasue usije kuingia kwenye kimbwini ukamwoa. Kuna wanaume wanalaumu eeehh nimemfungulia duka sasa limekua anaanza jeuri. My...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa na familia

    Sehemu YA kwanza *(Uandishi wangu si mzuri sana) Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali YA chini kabisa na mimi nikiwa ndo mtoto wa kwanza wa kiume. Kukulia na kuishi ughaibuni kwa miaka...
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wazazi Masikini ni chanzo cha migogoro mingi kwenye ndoa za watoto wao.

    Umaskini ni fedheha. Umaskini ni jambo la kupambana nalo kufa na kupona. Fanya ufanyavyo usiwe maskini. Umaskini huambatana na mambo mengi sana ya hovyo. Mtu mwenye njaa ana sura mbaya na roho mbaya. Sijui kwa enzi za mababu zetu ila maskini wa leo hii ni ngumu mno kuiona pepo. HAIWEZEKANI...
  8. JamiiForums Tanzania Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

    Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane! Umewahi kuona mgombea urais asiye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hafla ya ndoa ya kislamu ya watu 100 kwa pamoja 10/8/2024

    https://youtu.be/wwNSR3I_daQ?t=157 Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al- Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 100 ambao wapo tayari kuoa.
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

    Niko hapa kituo flan cha daladala Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi. Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mwezi napewa haizidi mara 5 tu. Je, hii ndoa au ndoano?

    Yaani nikipewa jumatatu, jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja. Sasa unajua mimi bado ni kijana lakini kuna wakati hili suala linanifanya nakuwa na hasira kwani ni mpaka apende yeye. Nafikiria kumwacha ila nawaza watoto watakuja kuwa machokoraa. Nawaza kuwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

    Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote. Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali. Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na...
  13. JamiiForums Tanzania Kudorora kwa muhimili wa familia na wimbi la kukataa ndoa ni ishara ya ushindi kwa shetani

    Habari za wakati huu wadau na wana familia wote..... Moja ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu ni familia, hata Mungu alipo muumba Adam aliona amekuwa mpweke na akamletea mwenza, pia mwisho akawaamuru waende wakaijaze dunia. Hivyo basi, njama au lengo kuu la shetani ni kusambaratisha na...
  14. JamiiForums Tanzania Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya vijana inayosema kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela

    Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane" https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
  15. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya ndugu yanaharibika wakiingia katika ndoa

    Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka. Wanaume wengine wanaendleshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
  16. X

    JamiiForums Tanzania Adui yako ni mke au mume wako, siyo huyo unayemwambia akae mbali na mwenza wako

    Mjinga mkubwa wewe, tatizo sio huyo mwanaume unayemwambia: "Kaa mbali na mke/mpenzi/mwanamke wangu." Tatizo ni mke, mpenzi au girlfriend wako amempa nafasi mwamba ya kuongea, kuwasiliana au kutaniana naye na kutongozwa na kuna uwezekano tayari kashampiga miti. Shtuka adui yako ni mke au...
  17. JamiiForums Tanzania Katavi: Ndoa yafanyika bila Bibi harusi

    Habari hii imeripotiwa kwenye habari wikiend na UTV. Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana Edward Futakamba, mkazi wa Mpanda mkoani Katavi amejikuta akifanya sherehe ya harusi bila ya mwenza wake, ikidaiwa siku chache zilizopita familia ya bibi harusi ilighairi kufanyika kwa ndoa hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Joel Nanauka akifurahia ndoa

    1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali. 2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa (akiwemo Pastor Roz ) ila bahati haikuwa yao. Asanteni.
  19. JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

    Wasalaam, Wana JF wote. Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe. Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wako juu ya kipi nifanye kwa hiki kilichotukumba kwenye ndoa

    Wakuu heshima kwenu. Polen na hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku. Niko kwenye hali fulani ya mkanganyiko kidogo. Nasema kidogo kwasababu ni kama niko njia panda japo kuna njia ambayo kwa mujibu wa misingi ya imani na utamaduni na maadili yangu najua nitaiendea njia hiyo japo naona ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…