ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Unajua mapanya ya usiku yanaua ndoa zetu na uchumi wetu?

    Kama unaona ndoa yako maisha yako kiuchumii yanasuasuaa Angalia na fukuza hawa Panda Mende Mijusiiii Mapaka Kwa gharama zozote waondoke hapo kwako else utapigika mbaya yaana wanavyoendelea kuzaliana ndipo na wewe wwanakunyoshaaa kirohoo na kimwili mpaka unyokekekee @fanyiakazi C2 Tumeellewana
  2. JamiiForums Tanzania Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

    pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
  3. JamiiForums Tanzania Kila mkipishana anatoa kauli hizi! Zimebeba ujumbe gani?

    Kila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli; 1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie! 2. Sipo kwa ajili ya kukatisha imani yako but unaweza tenda vile unavyoona ni sahihi! 3. Be free with your things, me ni nani...
  4. JamiiForums Tanzania Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

    Habarini za JIONI wakuu? Mimi ni kijana wa miaka 32 mnamo mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke kutoka Kanda ya ziwa{Tabora}..,nilimpenda sana na nahisi nae alinipenda japo siwezi semea nafsi ya mtu. Ilipofika 2020 alihitaji sana kukaa NAMI nyumba moja kama mume na mke..,kweli KUTOKANA na...
  5. JamiiForums Tanzania Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke anahitaji kuhudumiwa/ (Maslai ktk Mahusiano au Ndoa) K

    Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa. Na kupata unafuu wa Maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu...
  7. JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Nilifunga ndoa ya kanisani kimya kimya bila mke wangu kujua

    Maneno ya mwisho niliyomwambia ni kuwa, "Huwezi kupata mwanaume mwingine kama mimi, ondoka, lakini najua utarudi, mjinga wewe!" Miaka miwili iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu wa sasa. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye tuliishi naye kama mke na mume...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi wale wanandoa wanaokuja kanisani wamelewa na wanafungishwa ndoa wanakuwa wamehonga ama....

    Hapo nyuma walianza kukomaa ooh hatufungishi ndoa zenye mimba Walipooona idadi ya kubariki ndoa ni wengi wakaona wawafungishe tu hivyo hivyo Hivi majuzi nimetoka kanisa moja Moshi kwenye harusi Bwana harusi ananesa kabisa Kila mtu akaanza kuhoji kanisa litafungisha hii ndoa ama lah Kweli...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

    Habari, Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake. Natanguliza shukran za awali.
  10. JamiiForums Tanzania Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

    Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana. Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja. Kuitazama Full Interview Ingia Youtube Kwenye Channel Ya Manara Tv...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Sharifu niliwafungisha ndoa jini na binadamu na wanaishi pamoja

    Katika mahojiano maalumu na Manara TV Sultan Sheikh Sharifu alifunguka kuhusu matukio ya kushangaza Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu weupe (Wazungu, waarabu nk) miili yao ni ya baridi tofauti na weusi?

    Nimekua nasikia siku nyingi kua watu weupe mfano wazungu,waarabu n.k miili yao ina baridi kama barafu wakati wa tendo la ndoa tofauti na watu weusi,kuna ukweli juu ya nadharia hii?
  13. JamiiForums Tanzania Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

    Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro. Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana. Pia wapo waliokosa watu sahihi, na kujikuta wameingia kwenye ndoa yenye changamoto...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Namkosea, lakini ndio inafanya ndoa yetu iwe na amani

    Wakuu kwema. Nataka kushare kitu kinachoniumiza moyo lakini sina jinsi. Nimeoa ni zaidi ya miaka 8 sasa, tuna watoto watatu na tunaishi vizuri tu ndani ya ndoa yetu. Kitu kinanachonitatiza akili yangu ni kuchepuka; hii tabia ilianza miaka km sita hivi iliyopita baada ya mke wangu kujifungua...
  15. JamiiForums Tanzania Mchumba wangu wa miaka 5 anafunga ndoa kesho inaniuma sana, nifanyaje?

    Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu. Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka...
  16. JamiiForums Tanzania Tupunguze kuomba hela hovyo ndoa zipo shida mizinga wanaume tunaogopa....

    DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF "Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...
  17. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya mawasiliao imevuruga husianao za mapenzi na kuvunja ndoa nyingi sana za watu humu nchini na duniani kwa ujumla

    Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi kukutana mwanzoni, ispokua technolojia hiyo imekuja...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiachana na Kutafuta Pesa, Mwanaume Unapaswa Kuwa na Vipaumbele Hivi

    Habari zenu wakuu! Leo nataka tujadili suala muhimu sana katika maisha ya mwanaume. Wengi wetu tunajua kuwa kutafuta pesa ni moja ya majukumu makubwa ambayo mwanaume anabeba, lakini je, ni kweli kwamba maisha ya mwanaume yanapaswa kuzunguka pesa tu? Kando na juhudi za kutafuta riziki, kuna mambo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

    Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023 Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Kiswahili fasaha ule Ute Ute mweupe na usionuka unaopatikana Ukeni wakati wa Tendo la Ndoa / Uzinifu unaitwaje?

    Nijibuni haraka upesi tafadhali kwani kuna Mwanafunzi wa Lugha ya Kiswahili Mgeni anataka kujua na Mimi wala sijui.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…