ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

    Huu uzi naundika mahususi kwa kwasababu ya mdau mmoja ambaye anatupigia sana makelele hapa jukwaani kuhusiana na mwanamke bikira,kwa mtazamo wake anaona mwanamke bikira ndio sababu ya utengamano wa ndoa kitu ambacho si kweli kwa asilimia mia moja Kwanza ieleweke sio kwamba hatupendi wanawake...
  2. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke unayehitaji ndoa punguza ufundi kitandani

    Kama Binti upo kwenye mahusiano na mtu ambaye unapenda na kutamani awe mume wako unapojaribu kutengeneza mazingira ili mwamba akuweke kwenye mipango yake basi unapokuwa chumbani punguza ufundi la sivyo utakosa ndoa. Wakati wa kuonyesha ufundi ni pale ushapata ndoa tena sio ghafla bin vuu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutumia condom kwa usahihi wakati wa tendo la ndoa (kujamiana)

    Kutumia kondomu kwa usahihi ni muhimu kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa ya 1. Kagua kifurushi: Hakikisha kifurushi cha kondomu hakijapasuka au kuharibika. Angalia pia tarehe ya mwisho wa matumizi. 2. Fungua kwa uangalifu: Fungua kondomu kwa upole kwa kutumia mikono yako. Epuka kutumia meno...
  5. JamiiForums Tanzania Tujifunze Busara za wahenga wetu kwenye ndoa

    Wazee wa zamani walikuwa wakitoka safari ya siku nyingi walikuwa Hawa fikii nyumbani hapana wanafikia vilabuniii Kisha Wana mtuma Mtoto apeleke begi nyumbani ili mke ajue mumewe kafika Kusudi mke aandae mazingira vizuli Yani Kama mchepuko alisahau car wash, soks,viatu,au suluwali ndani mke...
  6. JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa ndoa

    Siku mbili tangu ziibuke taharuki na malumbano katika Mtaa wa Mabibo Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam baada ya nyumba zaidi ya nne na fremu zaidi ya tano kuvunjwa licha ya Mahakama kutoa zuio kwakuwa eneo lina mgogoro kati ya Mume na Mkewe. Anayedaiwa kununua eneo hilo amerudi tena na...
  7. JamiiForums Tanzania Madhara na Athari za Punyeto Zawaumbua na Kuwafedhehesha Vijana Wakiwa Ndani ya Ndoa Zao

    Unaweza kuhitimisha kwa kusema, Inafedhehesha sana, Inasikitisha sana, Inasononesha sana kwakeli. Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana. Ni aibu mno ndrugu zango.. Hivi sasa wanajutia nguvu imara sana za kijinsia, walizopoteza bafuni kwa nyeto kwa uhodari sana, lakini pia...
  8. JamiiForums Tanzania Mtihani: Siyo kila anayeoa au kuolewa anataka Ndoa. Jadili

    Kukaa kwenye dawati kufungua ukurasa kwa kwanza tu wa kitabu cha mtihani wa Utu Uzima. Hilo swali la kwanza. Jadili. Hakuna kuchagua na hakuna "kweli si kweli". Yaani watu wanafunga ndoa ili kiwe nini. Kuzaa watoto? Kupata free kula/la/na? Kuwa na hadhi katika jamii? Kutimiza wajibu? Au ni ile...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoa za wasomi zinaongoza kwa kuachana

    Kwa tafiti ndogo niliyofanya nimeona ndoa nyingi za wasomi watupu hazifanyi vizuri. Zimejaa dharau na viburi na mwisho huwa ni separation. Kama umesoma sana kama ni mwanaume tafuta msichana ambaye ana elimu ya kawaida mtaishi vizuri. Hata msichana tafuta mwanauame mwenye elimu ya kati mtafanya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Derby kati ya waliopo na waliotoka kwenye ndoa VS wanaotaka kuoa

    Wanajf habar gani? Mambo niaje pande hizo. Kazi iendelee na kwingine people powers. Kimsingi ni kwamba hii vita ni kali 1. WALIO NDANI YA NDOA na WALIOTOKA KWENYE Ndoa wanasema ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji -Wengine wanasema wasiwasi ndo akili - Wengine wanasema akikupenda mama...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa Yangu: Story of my Life

    NDOA YANGU 😭💔 Sehemu ya ( 01) (Selemani Sele) Niliwahi kuambiwa kwamba katika maisha kuna mtihani ambao unazawadiwa cheti halafu kisha mtihani unafuata,na mtihani wenyewe huo si mwingine bali ni ndoa,siku ya kuzawadiwa cheti huwa ni siku ya furaha na yenye kuhudhuliwa na watu wengi,lakini baada...
  12. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi kwenye ndoa yenye furaha na amani fanya hivi kijana.....

    Habari za muda huu ndugu zanguni........ Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuyaona mengi.....katika hayo mengi kuna mabaya yanayoumiza na kutufunza na kuna mazuri yanayofurahisha....... Suala la NDOA limekuwa mwiba mchungu sana linalotatiza akili za vijana wengi sana.......kiasi kwamba baadhi...
  13. JamiiForums Tanzania Isemavyo Sheria ya Mali za Ndoa na Kesi ya Kifo cha Juma Mfaume dhidi ya Wafanyakazi wa OYA Microcredit

    Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Chidi Benz ataja sifa za Mwanamke ambaye hawezi kumuoa

    Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mke amehama chumba tulichokuwa tukilala pamoja

    Habari wakuu, Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto. Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida ndani ya nyumba Ni mke wangu wa NDOA ya kanisani kabisa na kwa kuwa naye ananishughulisha basi hata...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoa za ndugu kwa ndugu kama hii ya Waarabu wa Tanga, ni sahihi ama si sahihi?

  17. JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

    Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao. Wapo wanaojua nini maana ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke Muislam 25+ years anaehitaji ndoa, aje PM

    Habari zenu wana jukwaa anahitajika mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa ambaye yupo serious anitumie ujumbe PM (DM) awe muislam umri 25+ awe tayari kwa ndoa.
  19. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu na mkewe wamejikuta kwenye group moja la kutafuta Wachumba huko FaceBook

    Ni matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya. Kuna issue moja jamaa yangu kanisimulia na kuniomba ushauri nikashindwa hata pa kuanzia kumshauri asee. Jamaa na mkew wako kwenye ndoa huu ni mwaka wa 5 wanaishi pamoja na wamejaaliwa kuwa na watoto wawili. Jamaa anasema juzi jumapili wakt...
  20. JamiiForums Tanzania Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu

    Wakuu, Kwa kuanza, mimi ni kijana wa makamu, umri 35+, mfupi, kibonge, mweusi tiiiiiiii! Nimeajiriwa kwenye NGO moja ya wazungu, alhamdulilah familia inaenda chooni. Nimebahatika kuwa na watoto wa3 kila mmoja na mama yake na nashukuru wanangu wanaishi vizuri lakini sikubahatika kuoa wazazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…