ndoa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa wenza wa ndoto zao, wengi wa waliopo kwenye ndoa waliamua kujilipua kwa kuishi na "ili mradi ni mke/mume"

    Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao . Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
  2. JamiiForums Tanzania Ukitaka ku enjoy maisha ya ndoa, is mwanamke aliyelelewa kwenye misingi ya kiislamu

    Asilimia kubwa wanaume wanaopata misuko suko ya ndoa, ni wale waliooa wanawake ambao hawaja lelewa katika misingi ya dini haswa dini ya kiislamu. Ukipata mwanamke aliyelelewa katika misingi ya dini ya kiislamu utaenjoy sana maisha ya ndoa. Wengi wao wana utii kwa wanaume wao, wana stara, n...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume tengeneza ndoa tulivu kwa kufanya haya

    1.mpende kwa maneno mazur mkeo 2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar 3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine 4.jar ndugu zake au marafiki 5.show show kitandan fanya...
  4. JamiiForums Tanzania Ukifanya hivi ndoa utakua nayo au utatamba nayo

    1.usafi 2.nidham adabu 3.matumiz mazur ya pesa 4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza 5.upendo kwa ndugu wa mume 6.zawad kwa mume siku moja moja 7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru 8.uchapakaz 9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan 10.ujue kupika
  5. JamiiForums Tanzania Je,tunaweza kumaliza ufuska kwenye ndoa?

    Naomba ushauri kutoka kwenu wadau,ni njia zipi zinaweza kutumika ili ama kupunguza au kumaliza ufuska kwenye ndoa.Kwani siku hizi taarifa kuhusu ufuska kwenye ndoa ni nyingi sana
  6. JamiiForums Tanzania Nikioa na kufanikiwa Ex -atakuja kuharibu ndoa na maisha yangu

    Habari za mda huu wakuu Hili ni swala ambalo nimekuwa nikiliwaza Sana after breakup ila Kwa sasa naliona dhahiri kabisa Ni mwaka mmoja na miezi Toka penzi liishe nilivyooachwa Yani ya uyu mdada wa kijita sababu kubwa ilikuwa haoni future kati yetu in short (LACK OF CAPITAL) Nikakubari...
  7. JamiiForums Tanzania Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja. Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano. Nakuacha na nukuu toka kwa Mtume Muhammad, kipenzi cha Waislamu wakweli. Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia...
  8. JamiiForums Tanzania MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
  9. JamiiForums Tanzania Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    Kumetokea nini kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nini?
  10. JamiiForums Tanzania Uking'ang'ania ndoa kabla ya kutembezeana Mikunyubenga hakikisha lango la Yerusalemu limefungwa

    Je Wajua? Number Plate(Plate Number) Kwa mujibu wa kiswahili fasaha huitwa KIBANA? Chukua hiyo,huishi nayo! Kabla ya ndoa mara nyingi wanaume wanataka kupima kama yaliyomo yamo,siyo mtu anaingia kwenye ndoa halafu anakuja kukuta YALIYOMO YAMO hamna bali Kuna YAMO YALIYOMO! Haya mambo...
  11. JamiiForums Tanzania NDOA NDOANO

    Fungukeni Kama Vase za Dizasta vina, Wengi Wamepita Wanalia na kutovumilia na kuachana na Wenza wao . Tumeona Wasanii Mbali mbali wameachana na Wake zao Kama Alikiba,Omydimpoz,Nay wa Mitego nk
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yakuzingatia kwa vijana katika ndoa

    Ushauri kwa vijana kuhusu ndoa ni muhimu, kwani ndoa ni hatua kubwa inayohitaji maandalizi ya kiakili, kihisia, na kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Kujitambua na Kujitayarisha Kabla ya kuingia kwenye ndoa, ni muhimu kwa kijana kujitambua, kujua malengo yake maishani, na kuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa wamekataa kile wanachokiita Utumwa katika ndoa lakini wamekubali Utumwa katika Pesa

    Salaam, Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz. Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa. Lakini...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Ohoo! Kwa masharti haya, jamaa kamix kinoma. Anauliza kila mtu kuwa "huyu mwanamke karogwa nini?" Mke naye haelewi, anadai huo upuuzi wa kunyonya na kuyashika manyonyo yeye hataki kwa kuwa huwa unazeesha matiti. Na pia hataki kuchorongwa na kidole maana mdomo wa "kipochi manyoya" huwa...
  15. JamiiForums Tanzania Zuchu amuwekea Diamond Platnumz sharti zito kabla ya kupata mtoto pamoja

    Wakuu Zuchu kaweka kikwazo, tusubiri Diamond kama atakivuka 😆 Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amempa sharti la ndoa Diamond Platnumz ndio waweze kupata mtoto pamoja baada ya Nyota huyo kumuuliza kama anamuamini na atamzalia wakiwa jukwaani wakitoa burudani ya muziki kwenye usiku wa kuamkia Oktoba...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaoisifia ndoa ni wale ambao hawajaingia

    Faraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage. Babati mbaya kuna hakuna reverse gai. Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile, ukiinga ndani eeh ni kashetani kadogo hivi ulikokaleta ndani. Sema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
  17. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

    Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na kukataliwa na jamii kwa ujumla.
  18. JamiiForums Tanzania Wazungu walikataa mfumo wa ndoa wa asili sasa wameangukia kwenye ushoga

    Kinachotokea ulaya hakijaja kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya watu kukataa mfumo wa asili wa ndoa ya mwanaume na mwanamke Asilimia kubwa ya mafeminist ni wasagaji na asilimia kubwa ya wanaume wanaokataa ndoa wanahatari ya kuangukia kwenye ushoga Kuvunjika kwa maadili kulikokithiri zama hizi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa kataa ndoa hii tunaiitaje!?

  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, sikia kilio cha Watoto wanaofanyiwa ukatili, Ubakaji, mimba, ndoa za Utotoni Uyui (Tabora)

    “Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze kuingia kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati yeye bado ni mwanafunzi.” Ni sehemu ya simulizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…