ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

    Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya? Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
  2. JamiiForums Tanzania Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

    Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa za Kikristo chali (Zimekufa) Je, Kanisa limekosa msaada?

    Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao.... chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,, Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yoyote inapita hatua 4 kubwa, Wewe upo hatua gani?

    Sikiliza kwa makini
  5. JamiiForums Tanzania Je wajua maajabu taratibu za ndoa nchini Sudan Kusini?

    katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii, Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kipimo gani cha ubora katika ndoa

    Habari zenu wanajamii forums? Mimi nataka kujuwa kitu kimoja kutoka kwenu nduguzanguni. Kuna msemo ambao wazungu wanapenda kusema pale wasipo kuwa hawana uhakika na kitu. Mara nyingi husema "time will tell " wakiwa na maana mda utasema. Sasa swali langu ni hivi je katika suala la ndoa mda...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa sio ya kila mwanamke

    All d best Sema amen kama umeelewa
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wakiingia kwenye Ndoa wanapata kitambi?

    Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi. kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA :) .......
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini unaingia katika ndoa?

    KWANINI UNAINGIA KATIKA NDOA? NDOA: Ni makubaliano ya muingiliano utakaohusisha hisia, Muingiliano utakao husisha miili ya watu wawili walioamua kuanzisha Familia ya Baba na Mama.. Kwa maridhiano ya wazazi wao...! Je ndoa kwani lazima iidhinishwe na mchungaji au sheikh au Askofu? Hapana sio...
  10. JamiiForums Tanzania Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  11. JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  12. JamiiForums Tanzania Vijana ambao hawapo kwenye Ndoa wanatakiwa kuwa na Mafanikio Kuliko Walioko Kwenye Ndoa, kivipi?

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa. Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili? Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina hali tete

    Habari wakuu, Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno. Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa. MKE...
  14. JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa/olewa tafakari haya pamoja na mchumba wako

    ..
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

    Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe. Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa. Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini? Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Timu kataa Ndoa kuweni Makini sana tunaishi na kiumbe kinaona zaidi yetu

    Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume. Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini ya Mwanaume, Mwanamke anaweza kuwa Kijakazi hata kwa Mwanamke mwenzie. Mwanaume ukikataa uwepo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa ndoana

    😅😅🙆Ndoa ni uvumilivu🤭🤭mpendane kwa shida na Raha😅😅🤭jib km mwana ndoa🤭🙄🙄🤭mm tutoane nundu👉kikubwa misukumio ya chapati wa mama tunayo ndani😅🙄🙄au wewe unavumilia😅😅😅😅nasoma comment zenu Wana ndoa😅😅😅
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kukutana na soulmate wako wakati tayari una mtu na mshazaa mtoto. Je, ni sahihi kuendelea na anayekupa furaha?

    Wadau, Kuna jamaa yangu anaomba ushaur. Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana. Huyu single mama ana vitabia flan ambavyo mwana havikubal.. Anasema demu ni controling sana.hasira...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

    Uzi tayari
  20. JamiiForums Tanzania Mwarobaini wa kukomesha tabia ya uzinzi kabla ya ndoa huu hapa

    Habari! Mimi naona uwepo utamaduni kwenye jamii zetu za sasa wa kuwasaidia mabinti. Wanazalishwa kisha wanaachiwa jukumu zito la kulea watoto peke yao. Wanazalishwa kisha waliowazalisha wanakwenda kuoa msichana mwingine na yule aliyezalishwa kuonekana hajatulia na jamii kumtazama kwa mtazamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…