ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Talaka Zimeongezeka – Je, Wanawake Ndio Tatizo?

    Kulikuwa na wakati ambapo ndoa ilikuwa zaidi ya sherehe ya wawili waliopendana; ilikuwa taasisi yenye mizizi katika jamii, iliyozingatia heshima, uvumilivu, na mshikamano wa kifamilia. Ilikuwa ni ahadi isiyovunjika kirahisi—zaidi ya mkataba wa mapenzi, bali ngome ya maisha ya pamoja. Lakini leo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
  3. JamiiForums Tanzania Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

    Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli. Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri hata nikamfurahisha mwenza wangu lakini nikifika wakati wa kumwaga sipati raha yoyote mpaka najiona...
  4. JamiiForums Tanzania Bila Cheti afya ya akili ndoa isifungwe!

    Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo. Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai. Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
  5. JamiiForums Tanzania Ukisoma maelezo haya ya wanandoa hawa nani yupo sahihi?

    Nan anapaswa kumshukuru mwezie hapo
  6. JamiiForums Tanzania Huko Arusha kuna ndoa imevunjika kisa mke kachora tattoo yenye jina la nabii GeorDavie

    Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha. Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani. Mama huyo mrembo kweli kweli baada ya kuchora tatoo hiyo, mumewe alimkomalia aifute ila akagomaa Baada ya kugoma mume aliamua...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Wanawake wanavyoweza kutambua Mwanaume ambaye ana malengo ya ndoa na Mwanaume ambaye hana mpango wa kukuoa

    Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka kuumizwa. Mwanaume Aliye Tayari kwa Ndoa: 1. Anaonyesha nia ya dhati: Mwanaume ambaye yuko tayari...
  8. JamiiForums Tanzania Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

    Wakuu heshima kwenu. Habari za jioni, poleni na majukumu (kwa wale wenye majukukumu). Naomba kufahamishwa KISHERIA kama kichwa cha uzi kimavyojieleza. Mi hivi, baada ya mgogoro wa ghafla sana (only 2 months now) na vurugu zilizofuata hapo, hatimae mke wangu ame file kesi mahakama ya mwanzo...
  9. JamiiForums Tanzania Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

    Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa --- Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume...
  10. JamiiForums Tanzania Utapeli wa ndoa na hatima ya mwanaume kwenye jamii

    Salaam jamiiforum Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake. Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya. Hii yote inasababishwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Siri 5 za Ndoa Inayodumu

    Kabla hujaingia katika ndoa zingatia hizi siri 5.... 1. Ndoa si bahati nasibu ya mwanzo-na-kushinda - ni agano la kimungu. Biblia inakazia kwamba.. Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure (Zab 127:1). Jikabidhi kwa Mungu awe mwamuzi wako - Yeye huona kile ambacho moyo...
  12. JamiiForums Tanzania Nasisitiza, itungwe Sheria kubeba Mimba bila ridhaa ya Mwanaume liwe kosa la jinai

    NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanasheria wa Tibeli. Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili lipitiwe na kujadiliwa na wale Wanasheria wa kusomea na wale Wanasheria wa kuzaliwa wenye MAARIFA na...
  13. JamiiForums Tanzania Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake

    Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake nchini marekani, haimaanishi ukiolewa na tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka nikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakua hukuhangaikia, kama unahisi huwezi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

    Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako. Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa...
  15. JamiiForums Tanzania Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

    Aisee, Hata unakosa cha kuandika, upuuzi wa kiwango kilichopitiliza.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ile ndoa ya yule jamaa niliyoiharibu,mambo yamezidi kunikalia kooni.

    Wakuu habari za asubuhi? Hivi karibuni nilishare huu uzi hapa. https://www.jamiiforums.com/threads/najuta-sana-kuharibu-ndoa-ya-huyu-jamaa-nitumie-mbinu-gani-kumuomba-msamaha.2278938/ So kilipita kipindi flani cha mpito jamaa akawa anaendelea kunitafuta huku ananipa mikwara mingi sana mara...
  17. JamiiForums Tanzania kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa

    kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa Kaka angu magical power, nimeamua kuikimbia ndoa ili nimuokoe mwanangu naona walikuwa na nia mbaya juu ya mtoto. Kaka hata kujifungua tu kidogo nifie hospital nikasaidiwa na mkunga kwa uzoefu wake aliywesha dawa fulani ya kienyeji kwaa uzoefu wake alisema...
  18. JamiiForums Tanzania Yakumbuke haya kabla ya kumsamehe mke/mpenzi aliyekusaliti

  19. JamiiForums Tanzania Timu kataa Ndoa kataa kuoa video ya Mama Deborah imetoa picha kwa mazezeta ambao wanafagilia Kuoa kwa kutokujua

    Ndoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi. Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma. Ndio mtajua hamjui shetani ametawala nyanja ya kuoa na kuolewa. Msukuma kaolewa kifala sana dharau peupe...
  20. JamiiForums Tanzania Nilifunga ndoa na mtu nisie mpenda

    Katika Maisha, kila mmoja anakuwa na ndoto kubwa yenye kumpa furaha Maishani mwake,hata wewe una ndoto ambayo siku moja ikitimia utakuwa ni mwenye kufurahi sana.Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Robson, alisoma, alipata kazi nzuri iliyomuingizia pesa nyingi, alikuwa na muonekano mzuri, mtanashati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…