ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. Mfanyakazı wa ndani awanywesha mkojo mabosi wake, wamkamata

  2. Unyanyasaji ndani ya nyumba za wanandoa

    Ugomvi ndani ya nyumba ya wanandoa huchukuliwa kama ni jambo la kawaida, Inasikitisha kusikia kwamba ukatili huu unachukuliwa kama jambo la kawaida katika jamii yetu. Watoto huona huu unyanyasaji na kuhishi pia ni jambo la kawaida mpaka wanapo kuwa na kupata ufahamu zaidi na hapo ndio kujua baba...
  3. Hamas wapigana kiume Gaza nzima. Warusha makombora ndani ya Israel. Yafukuzana na IDF na kuwaua kadhaa

    Mapigano makali yasiyotarajiwa yametokea juzi siku ya Jumamosi maeneo yote ya Gaza,kaskazini mpaka kusini. Katika purukushani hiyo kikosi cha Qassam kimesema kimewaua askari wengi wa Israel. Hata hivyo Israel imekiri kupoteza askari wawili tu na kudai imewaua wapiganaji kadhaa wa Hamas na...
  4. Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa?

    Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa? Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
  5. A

    DOKEZO Kuna harufu ya ufisadi Kamati ya Olimpiki Tanzania

    Kamati ya Olympiki ya Kimataifa (IOC) hutoa ruzuku kwa wanachama wake wote duniani wajulikanao kama (NOC) yaani National Olympic Committees kwa kila nchi ambayo inashiriki mashindano ya Olimpiki ya majira ya Joto (Summer Olympic Games) na majira ya Baridi (Winter Olympic Games). Tanzania ni...
  6. Points 10 za ujenzi: Joto ndani ya jengo

    MAKALA YA 2 Karibuni tena katika Makala yenye kutoa elimu juu ya mambo muhimu kwenye ujenzi wa Majengo (madogo) I.e. Nyumba, Maduka, Darasa, Zahanati n.k Leo tunatazamia katika Halijoto ndani ya jengo.Hili suala linawasumbua wakazi wa mikoa ya ukanda wa Pwani, Longido, Loliondo, Simanjiro...
  7. Namuona mayele ndani ya Simba

    Kiukweli MAYELE ni kama hajafikia matarajio ya Pyramids. Walipomsajili walikua na mategemeo makubwa sana kwake lakini ameishia kumbwela bwela tu, na ukizingatia washatoka kwenye makundi CAF CL naona wakitafuta striker mpya msimu ujao au unaofata wakiachana na Mayele Na kwa jinsi wakongoman...
  8. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi atembelea eneo la ajali iliyoua watu 25 Arusha

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini leo februari 25, 2024 amefika eneo la ajali iliyohusisha lori na magari mengine matatu katika eneo la by PASS Ngaramtoni jijini Arusha nakupelekea vifo ishirini na tano 25.
  9. Bashungwa: Mitambo Yote na Wataalamu Wawe Site Ndani ya Mwezi Mmoja - Mlimba

    BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km...
  10. Mkuu wa Programu JamiiForums: Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani, tuuthamini

    Mkuu wa Programu JamiiForums, Ziada Seukindo amesema taasisi za serikali zinaruhusiwa kutumia mtandao wa JamiiForums kwa sababu ni Jukwaa la mtandao kama majukwaa ya mitandao ya kijamii mengine duniani. “Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani tuuthamini, baadhi...
  11. G

    Tuishi na wanyama vizuri: paka wangu kaua nyoka jioni ya leo, bila yeye nyoka angekuwa ndani ya nyumba na lolote lingeweza kutokea

    Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake. Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila...
  12. Israel yalipua mabomba ya gesi ndani ya Iran, mbwai na iwe mbwai

    Iran bingwa la maugaidi ya dini imeanza kufanyiziwa ndani kwa ndani, maslahi yake yamepigwa kote huko nje sasa inapigwa ndani na kama ina jeuri au ubavu wa kujibu basi ifanye tuone. Mabomba yamelipuliwa na kusababisha hasara kubwa, juzi kiwanda cha kemikali kilitiwa kiberiti, yaani wameshikwa...
  13. Kompa kuizika Amapiano ndani ya miezi miwili ijayo

    Kompa music vs Amapiano. Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa. Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko wa Bongo piano na Bongo Kompa. Kompiano ndio itakuwa balaa jipya mjini ndani ya miezi miwili ijayo...
  14. G

    Nyerere akiongelea kinachoendelea sasa Congo, Wakongo wanapenda mipaka lakini hawataki watu flani ndani ya mipaka ila hawataki kuwapa nchi yao

    Solution ni moja tu, Kama Congo imewachoka wabanyamulenge ni heri wawape nchi yao lasivyo hakutakuwa na mwisho wa hizi vita huko Congo. Ni tatizo lilioanza zamani sio siku hizi.
  15. Je, umejipanga kutoka na nani humu ndani katika siku ya wapendanao?

    Zimebaki siku chache sana, siku ya wapendanao ifike. Mjuavyo tena, maisha ya mwanadamu kuna wakati yanahitaji faraja, ingawa kuna changamoto nyingi huwa tunazipitia katika harakati zetu za kila siku. Lakini ni vizuri pia kutenga muda na kufurahi pamoja, na mtu anayeweza kuteka hisia zako, na...
  16. Watoto 78,000 wafanywa wakimbizi ndani ya wiki moja DRC

    Ndugu zetu wenye uchungu na Waarabu tunaomba kidogo muelekeze macho yenu kwa hawa weusi wenzetu wanaoteseka. Humu utakuta kunao hata wa dini yenu kama dini ndio hufanya mkomalie kuwalilia Waarabu. Displaced people seen in a refugee camp on the outskirts of Goma in North Kivu Province...
  17. Marekani kuondoka Iraq na Syria ndani ya siku 90

    Wanaukumbi. Marekani kuondoka Iraq na Syria ndani ya siku 90 Marekani inajiandaa kuondoa vikosi vyake vyote au sehemu yake kutoka Iraq na Syria ili kukabiliana na ongezeko la mashambulizi ya vikosi vya upinzani vya Iraq, kwa mujibu wa maafisa wakuu wa Marekani. Bunge la Iraq kwa sasa...
  18. Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo nitakutibu ndani ya mwezi mmoja

    Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya wiki moja tu baada ya kutumia hii dawa Mimi nilikuwa muhanga wa hii changamoto...
  19. D

    Mwenye connection ya mfanyakazi wa ndani anipe tafadhali

    Wakuu, nahitaji dada wa kazi za ndani kwa Dodoma, familia ni ndogo ya mama na watoto wawili miaka 6 na mwingine miezi 5. Kazi kubwa ni kumwangalia mtoto mdogo wakati mama akiwa kazini. Shughuli zingine ni ndogo ndogo ambazo watasaidiana na mama. Uwezo wa malipo ni Tsh laki 1 kwa mwezi pamoja...
  20. N

    Enhe, na vipi kuhusu hii 'kufinyia kwa ndani'; iko toka zamani au imeanzishwa hivi karibuni katika kuhakikisha 'na ya kutolea' inatumwa?!!!

    Naomba nijue hili maana sasa ndo imekuwa habari ya mijini. Karibuni.....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…