Kinachoitwa pesa za Abdul na Lissu ni pesa zake za matibabu anazoidai Serikali, Abdul alikuwa anatumika kujaribu kusaidia kufanikisha zitoke. Hata hivyo ni jambo la kusikitisha katika nchi yetu mambo yanabidi kupelekwa hivi wakati mwingine ili mtu apate haki yake tu, ila huo ndio uhalisia...