nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna manufaa makubwa, tukiiga mfumo wa uteuzi wa mawaziri unaofanyika nchini Kenya

    Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe. Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni, Ili apitie katika "chekecho" ikiwa nafasi hiyo anastahili na iwapo wabunge hao wataridhika kutokana...
  2. VOA; Mshirika wa Putin afanya mazungumzo nchini Iran huku Mashariki ya Kati ikielekea ukingoni mwa vita vikubwa

    Wanaukumbi. MOSCOW - Mshirika mkuu wa Rais Vladmir Putin aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatatu kwa mazungumzo na viongozi wa Iran akiwemo rais na maafisa wa ngazi za juu wa usalama huku Jamhuri ya Kiislamu ikitathmini majibu yake kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas. Urusi imelaani mauaji ya...
  3. Iko haja ya upinzani nchini kubadilika mtindo na falsafa ya ushawishi kutoka kulalamika tu, hadi kuja na fikra mpya na mipango mbadala ya maendeleo

    Kulalamika na kulaumu pekee ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na waupinzani nchini, isiyo na tija na iliyopitwa na wakati. Haijawahi kuwa na msaada wala manufaa yoyote kwa vyama vyao wala kuleta mabadilko yoyote kwa wananchi... Falsafa hii inawadumaza zaidi tu na kuwaacha wadumavu mara dufu...
  4. H

    Wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na bomu nchini Iraq

    Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa. Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na...
  5. I

    Demokrasia iliyokomaa nchini Marekani ni mfano wa kuigwa duniani kote.

    Mgombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Democratic nchini Marekani Bibi Kamala Harris ameanza kumuwashia taa ya indicator mgombea wa chama cha Republican Bw. Donald Trump. Hii ni kufuatia matokeo mbalimbali za kura za maoni zilizotolewa na mashirika kadhaa ya nchini humo. Na kama hali...
  6. Ugumu wa Maisha nchini Marekani upo kwenye nini hasa?

    Ubaya Ubwela & Nyie Hamuogopi vimepita,tujikite kwenye mada kuntu! Kuna mshikaji wangu mmoja tulimaliza wote Sekondari na bahati nzuri hata chuo tukasoma wote,Mimi na yeye tulitokea Kuwa marafiki sana na hata hapo nyuma Kuna Uzi niliuweka hapa unaohusu maisha ya Ughaibuni nilimzungumzia! Baada...
  7. Jeshi la Polisi: Mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la Makosa 658,825 (21.1%) ya Jinai na Usalama Barabarani nchini Tanzania

    Takwimu za Hali ya Uhalifu nchini Tanzania zimeonesha kati ya Januari 2023 hadi Desemba 2023 kulikuwa na Matukio 3,778,908 ya Jinai na Usalama Barabarani yaliyoripotiwa katika Vituo vya Polisi ikiwa ni ongezeko la Matukio 658,825 (21.1%) kutoka matukio 3,120,083 ya mwaka 2022. Ripoti ya Jeshi...
  8. Chukua tahadhari, kuna Multicooker na Pressure Cooker feki nchini

    Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo. Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu. Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika...
  9. U

    Nimeshangazwa kiapo cha ubatizo Kanisa la Sabato salasala, aliyejitoa kubatizwa amekula kiapo mbele ya Kanisa, ila ataenda kubatizwa nchini Marekani

    Wadau hamjamboni nyote? Sabato njema wapendwa Leo nimesali Kanisa la Wasabato salasala Kuna ratiba ya ubatizo muda huu ila hali imekuwa tofauti kabisa na tulivyozoea kuwa wabatizwa wakila kiapo hubatizwa hapohapo Kanisani Alijejitoa kubatizwa leo ni kijana mdogo akiwa pekeyake na amekula...
  10. Kukosekana kwa maji vyoo vya uwanja wa ndege Dar, dharura kama hizo hutokea nchini tu?

    "Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama! Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
  11. Spika Dkt. Tulia ahitimisha ziara yake nchini India, akutana na Rais wa nchi hiyo

    Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 24 Julai, 2024 amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini India kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Droupadi Murmu Ikulu Jijini New Delhi. Katika...
  12. Bodaboda ni kazi iliyo na vijana wengi kuliko kazi yoyote nchini

    Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka
  13. Njia za kudumu zinazoweza kutumiwa na TRA kuhakikisha watu wengi wanalipa kodi nchini

    Ukifuatilia Takwimu, utasikia TRA wanadai idadi ya walipa kodi nchi hii ni ndogo sana licha ya nguvu nyingi zinazotumika ikiwemo masuala ya TaskForce, kuhakikisha watu wanadai receipts na matumizi ya EFD machines. Kwa njia hizo, ni kweli kabisa idadi ya walipakodi itaendelea kuwa ndogo. Nini...
  14. D

    Kazi wanayofanya Gen Z nchini Kenya imetukuka. Mungu atawalipa soon. Gen Z Tanzania amkeni mjikomboe.

    Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025. Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa. Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
  15. Waziri Mkenda: Upanuzi wa Elimu ya Juu ni mkubwa kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote Nchini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ujenzi wa Kampasi za Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya katika Mkoa wa Rukwa ni moja ya mradi unaojengwa chini ya Mradi wa Higher Education for Economic Transformation zinazojengwa katika Mikoa isiyo na Taasisi za Elimu ya...
  16. Huyu ni mmoja tu; hebu fikiria Watanzania 10 wangefanya hivi ni wawekezaji au wafanyabishara wangapi tungewavuta kuja hapa nchini?

    Habari zenu wanajamii forum. Huku niliko, mimi ni mzima wa afya, na natumaini huko mlipo ni wazima pia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Leo, katika pita pita mtandaoni, nikakutana na post ya bwana James ambayo kwa namna moja imenivutia sana na kunifanya nije hapa kuianzishia uzi, pengine tukapata...
  17. Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

    Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo. Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
  18. PreGE2025 CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

    Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
  19. Waganga wa Tanzania Kiboko yaani Mtu 'anarogwa' hadi anaacha Mshahara wa Tsh Milioni 90 kwa Mwezi South Afrika na Kuubali wa Tsh Milioni 30 za Ilala

    Na cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
  20. Betty Mkwasa: Fani ya Uandishi wa Habari ipo ICU kwa sasa na Nasikitika Wahusika tumenyamaza tu, huku ikienda Kufa kabisa

    "Siku hizi Mtu akiwa tu ni Maarufu, Mchekeshaji, Msanii au Mbwabwaji Mitandaoni basi haraka sana anakuwa Mtangazi wa Redio na Tv. Naumia sana kuona hii Fani yenye Heshima kubwa duniani kote sasa hapa Tanzania ikiwa ipo ICU na Siku si nyingi inaenda Kufa kabisa. Sikatai ujio wa Teknolojia kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…