nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde - Benki Kuu (BoT) Yanunua Tani 2.6 za Dhahabu Inayochimbwa Nchini

    WAZIRI MAVUNDE - BENKI KUU YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI ▪️BoT yanunua dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 570 ▪️Asisitiza dhamira ya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa 10 yenye hifadhi kubwa ya dhahabu Afrika Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huawei yazindua mradi wa uhifadhi wa eneo lililohifadhiwa la baharini nchini Kenya

    Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
  4. JamiiForums Tanzania Balozi Kombo awakaribisha Wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania katika sekta za utalii uchukuzi, afya, TEHAMA, nishati, madini na elimu. Waziri Kombo alitoa mwaliko huo alipofanya...
  5. JamiiForums Tanzania Kuogopana kwa Watanzania nchini Marekani

    WaTanzania tuna asili ya undugu na ukarimu kwa hapa nyumbani........ lakini kwa Marekani ni tofauti kabisa...wabongo huogopana sana. Maisha na michongo hupatikana kwa waKenya yaani Mtanzania na Mkenya kwa Marekani ni zaidi ya ndugu. Sasa katika pitapita zangu kuna sehemu huwa naenda kupata...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Yabainika Ufaransa ililipa mabilioni ili majasusi wake waliokamatwa nchini Burkina Faso waachiwe

    Imebainika kuwa Ufaransa ililipa kiasi cha Euro Milioni 60 sawa na Shilingi Bilioni 156 za Tanzania ili majasusi wake wanne waliokuwa wamekamatwa na kushikiliwa nchini Burkina Faso waweze kuachiwa. Majasusi hao walikamatwa nchini Burkina Faso mnamo Disemba mwaka 2023 na kuachiwa mnamo Disemba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vyanzo vya Udumavu wa Siasa Nchini

    BAADHI YA VIONGOZI WASHIRIKINA WENYE MACHO YA KICHAWI NDIYO VYANZO VYA UDUMAVU WA UTAWALA BORA NCHINI . Nakumbuka Tarehe 02/01/2025 Askofu Mkuu Jimbo katoliki la Dar es salaam Baba Mhashamu Thadeus Ruwa'ichi Alisema Ni lazima tuelewe ( Yesu aliposema) kukaa katika nyumba ya Baba ni kitu gani...
  8. JamiiForums Tanzania Connection ya Ajira Nchini Canada, Dubai, Qatar & Scandinavian Countries

    Habarini Wakuu!!!! Nahitaji mwenye Connection ya Ajira kwa nchi hizi (Canada, Dubai, Qatar, Denmark, Finland, Iceland, Norway,Sweden). Kama mnavyojua Bongo ajira ni kipengele kidogo, Sasa katika kuangalia mtandaoni naona wenzetu Wakenya wanasafiri sana nchi hizo kwenda kufanya kazi, na siku...
  9. JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kujenga hoja na akaeleweka na kila mtu nchini

    Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki. Mbowe hawezi kushinda tena. Na akishindwa asitafute mchawi,bali Lena ndio mchawi wake Lema kaitisha press moja tu...
  10. JamiiForums Tanzania Uhasama wa kisiasa, kugawanyika na kusambaratika kwa CHADEMA kutaimarisha vyama vingine vya siasa nchini

    Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine vya siasa nchini, ikiwa ni pamoja na chama tawala. Hakuna atakaeshinda uongozi wa chadema Taifa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Barrick kusitisha kwa muda shughuli za uchimbaji madini nchini Mali

    Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuanza hatua ya usitishaji wa shughuli zake kwa muda katika mgodi wa Loulo-Gounkoto uliopo nchini Mali. Hatua hiyo imekuja kutokana na mvutano kati ya kampuni ya Barrick na serikali ya Mali kuhusu taratibu mpya za ugawanaji mapato yanayotokana na...
  12. JamiiForums Tanzania King Kiba apewa Tuzo ya heshima nchini Nigeria

    NXT Honors kutoka nchini Nigeria imemtangaza rasmi nguli wa muziki na Mfalme wa Bongo Flava Alikiba, kama mshindi wa Tuzo ya Heshima ya Maisha ya 2024, na kumfanya kuwa mtu wa kwanza asiye Mnigeria kupokea heshima hii kubwa. AliKiba ametajwa kama msanii mwenye mafanikio akiwa na zaidi ya miongo...
  13. JamiiForums Tanzania Jando ya kitaifa inaweza kuibua kizazi cha kizalendo nchini?

    Kwa wasichana ni unyago, na kwa wavulana ni jando! Katika huu uzi, ,neno "jando" limetumika kama neno la jumla kwa wavulana na wasichana! Haya, twende sasa! Kama umeshafika kwa Wakurya, Wamasai, Wamakonde, na makabila mengine yenye utaratibu wa kuwaingiza watoto wao ukubwani kwa njia ya tohara...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Mpigania Uhuru, Wafanyabiashara wawili, DJ na Mmiliki Bar walivyofanikisha mwaliko wa Bob Marley nchini Zimbabwe kwenye Hafla ya Uhuru 1980

    Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley. Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
  15. JamiiForums Tanzania Ungefanyeje ili kurejesha amani nchini Congo DRC?

    Kama ungelikuwa Rais wa Congo DRC, ungeweza kuifanya hiyo nchi kuwa na amani? Naamini suluhisho la Congo DRC lipo kwa Wacongoman wenyewe! Lakini hilo wataweza kulifikia kupitia viongozi wao, kama wasemavyo "wahenga", "Everything rises and falls under the leadership" Ingelikuwa wewe ndiye Rais...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vifo kutokana Mpox Vyafikia 10 Nchini Uganda

    Idadi ya vifo vilivyothibitishwa na maabara vya ugonjwa wa mpox nchini Uganda imepanda hadi 10 baada ya vifo vinne kusajiliwa katika siku tano zilizopita, kulingana na mamlaka. Katika ripoti ya sasisho la hali iliyotolewa siku ya Jumatatu, Wizara ya Afya ya Uganda ilisema angalau maambukizo...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Waliosoma uganda au wenye kujua kuhusu hii kozi ya ufamasia nchini uganda

    Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Barrick yasema eneo la mgodi wake nchini Tanzania limegeuka kuwa ‘kambi ya kijeshi

    Kampuni tanzu ya Barrick Gold Corp. inasema inapoteza mamilioni ya dola kutokana na “uvamizi haramu na hatari” unaofanywa na wakazi wa vijiji wa Tanzania, ambao mara nyingi huwa na silaha kama mikuki na mapanga. Affidavit na ushahidi mwingine uliotolewa na mameneja wa Barrick, ambao...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hii Operation Kata Funua ingetekelezeka ingelete Mageuzi Makubwa Nchini

    Tumesikia operation( Operesheni) nyingi lakini hii ilikuwa kiboko. Sikuwahi kusikia hii Operation, nyinyi wenzangu mliisikia? Au ni uongo wa hawa waandishi wa kuokoteza habari vichochoroni? Sawa tumeona Operesheni kama 1. Operesheni Ukuta 2. Operation Sangara 3. Operation Baracuda 4. Operation...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Sekta ya Ujenzi Imetekeleza Miradi Mingi Nchini

    RAIS MWINYI: SEKTA YA UJENZI IMETEKELEZA MIRADI MINGI NCHINI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amefahamisha kuwa Sekta ya Ujenzi ni miongoni mwa Sekta iliofanya vizuri katika Utekelezaji wa Majukumu yake kwa Kazi nzuri ya Ujenzi wa Madaraja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…