nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri kwa wahitimu wa vyuo na wanaotarajia kujiunga na vyuo mbalimbali nchini

    Ndugu wana jukwaa amani iwe juu yenu! Hakika kama tujuavyo elimu imekuwa chanzo cha maarifa tangu kuanza kwa historia ya mwanadamu lakini pia katika baadhi ya vitabu vya imani vimeandika "MKAISHIKE ELIMU" kwa maana msisitizo nikwamba elimu yenye tija na malengo ina manufaa kwa jamii na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwekezaji duni wa afya ya msingi, ulivyoathiri mapambano dhidi ya COVID-19 nchini

    Uboreshaji Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention) Afya ya msingi inayoanzia katika jamii ni muhimu sana na hasa ndio msingi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja hususa ni walioko maeneo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

    Nawaletea uzoefu wa nchi tajiri inayotupa misaada na namna inavyowakamuawananchi wake kulipa kodi Taxes are imposed on net income of individuals and corporations by the federal, most state, and some local governments. Citizens and residents are taxed on worldwide income and allowed a credit for...
  4. JamiiForums Tanzania Nitaishangaa serikali kama kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 haitatoa chakula cha mchana bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini.

    Habari zenu viongozi! Ni dhahiri Tanzania inakwenda kuwa serikali tajiri. Serikali ambayo haitakuwa tegemezi kwa namna yoyote ile. Kuna changamoto nyingi nchini katika sekta za afya, elimu, na uchumi. Nikianzia sekta ya elimu , serikali itoe chakula cha mchana bure mashuleni. Huku msingi na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukosefu wa ajira nchini na suluhisho lake

    Swali kuu litakalotuongoza ni, unapokosa ajira maana yake ni nini? Tunaangazia jitihada kadhaa wanazoweza kuzitafanya Vijana kutatua tatizo ya kazi badala ya kusubiri ‘mfumo’ uwatafutie majibu. Nafasi za ajira hazitoshi Tuanze na dhana ya soko la ajira. Soko ni utaratibu wa kuuza na kununua...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzuru nchini Burundi 16 Julai, 2021

    Masala Sayi Chuo Kikuu cha Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021. Ziara hiyo imekuja kama mwaliko wa Rais wa Taifa hilo Mh. Evariste Ndayishimiye.Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali ndio Ukombozi wa Maskini katika Jamii nchini Tanzania

  8. JamiiForums Tanzania Uhuni unaoendelea nchini Afrika Kusini hauvumiliki

    Habari Wana JF natumaini mpo njema, Husika na kichwa hapo juu, Wote tunaona yanayoendelea Huko bondeni Kwa madiba, Hivi wale ndugu zetu kwa zile akili zao sijui hata nisemaje maana imekua too much aisee. Yaani katiba ya nchi inamuwajibisha Rais mstaafu Kwa Yale mambo aliyoyatenda akiwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school. Sikiliza audio hapo. Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu. Ndalichako...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Reli ya Kisasa ya SGR yaleta mabadiliko katika sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria nchini Kenya

    Ikiwa ni zaidi ya miaka minne sasa tangu reli ya kisasa ya Mombasa-Nairobi nchini Kenya kuanza kutumika, sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria imepata mabadiliko makubwa na kusaidia ukuaji wa uchumi na ajira. Kufikia sasa, zaidi ya abiria milioni tano wamefaidika na uchukuzi wa bei nafuu...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi. Akiwasili katika uwanja wa Mohammed V jijini Casablanca Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokelewa na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli. Lengo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli kuwa ni kinara wa mabadiliko nchini

    VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa. Somo hilo lilipangwa lifundishwe kwa wanafunzi wa shule za awali hadi sekondari za juu...
  13. JamiiForums Tanzania Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

    Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini. Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi... 1. Said Salim Bakhressa 2. Said Salim Bakhressa 3. Said Salim Bakhressa 4. Said...
  14. JamiiForums Tanzania Historia ya Muziki wa Rumba nchini Kongo (Rumba Congolais)

    Salam wanaJF. Katika uzi huu nitaelezea Historia ya Muziki wa Rumba la Kikongo. Hii itagusa Congo zote mbili yaani Kongo Brazzaville na Kongo Kinshasa. Huu ni mkusanyiko kutoka vyanza mbalimbali, na hasa imehamasishwa na Mtafiti wa Chimbuko na asili ya Muziki (Ethnomusicologists), Masoud...
  15. JamiiForums Tanzania Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

    The Radford Family Noel (50) na Sue (46) Radford walikuwa mayatima na walikutana wakiwa wadogo. Sue alipata mimba akiwa na umri wa miaka 14 huku Noel akiwa na 18. Walikaa bila kongeza mtoto hadi walipooana binti akiwa na miaka 17. Tangia wakati huo karibu kila mwaka Sue huwa na ujauzito...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wanaohujumu vita dhidi ya Covid-19 nchini

    Hatimaye serikali ya awamu ya sita ilitangaza rasmi uwepo wa ugonjwa hatari wa Corona hapa nchini. Hii ikienda sambamba na kutolewa kwa maelekezo thabiti ya hatua gani za kuchukuliwa tunaposubiria kuwasili kwa chanjo. Hatua hii ni njema kabisa ya kupongezwa na kila mzalendo na hasa kila...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa nchini haviwezi kukua,vitakuwa vinachipukia kuweka mapingamizi kwenye uchaguzi

    Kumzuia mama mjamzito asipate vyakula bora tangu mimba ilipotunga halafu unampa mlo bora mwezi wakujifungua wewe ni muuaji kwa mama na mtoto.
  18. JamiiForums Tanzania Bei za mafuta zimelenga kudhoofisha uchumi na kuleta vurugu nchini

    Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda. Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana. Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Siasa imeharibu miradi ya maji kichefuchefu nchini

    Miaka nenda rudi majimaji,maziwa,mito na mabwawa yamejaa. Wamisionari walijenga miradi ya maji miaka mingi lakini bado inadumu na inafanya kazi. Miradi kichefuchefu nani husababisha.
  20. JamiiForums Tanzania Mwaka huu ( 2021 ) Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi sana kwa wenye Majina yao nchini Tanzania

    Nimekutana na bonge la Foleni Daraja la Kijazi wakati nikitokea Stendi ya Magufuli ili niwahi kupita Daraja la Mfugale kuelekea Nyumbani tayari kwa Kujiandaa na Safari yangu ya kwenda Mkoani Dodoma Kesho ili nikatembelee pia Soko la Ndugai ambalo nasikia kutokana na lilivyoharibika japo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…