nchi

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na nchi ya Qatar kusaini(Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika Utalii

    TANZANIA, QATAR KUSHIRIKIANA SEKTA YA UTALII Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 40 ya mageuzi ya ufunguaji mlango nchini China ni funzo kwa nchi za Afrika

    Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Katoliki cha Kenya Profesa Becky Ndeto, amesema sera zilizotekelezwa na China baada ya kuanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, zimesababisha ukuaji wa uchumi usio na mfano, kuleta maendeleo ya kiteknolojia, na kupunguza umaskini. Akiongea...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi. Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG, Profesa Waithaka Niraki wa Chuo Kikuu Cha Nairobi amesema, mbali na kujifunza kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake nchi nzima wakiamka kutetea concept ya "MAMA" ambayo Lissu anaitukana kila siku, Lissu atahimili vishindo?

    Neno "MAMA" dunia nzima linavuma. Lissu anatembea nchi nzima akitukana "mama" kqtikati ya nchi yenye nyimbo za kumsifu mama. Katikati ya nchi ya watu wanasema waiolelewa na single mother baada ya kutelekezwa na baba zao. Nani hajui mama na umuhimu wake? Kwa nini mama atukanwe na mtu anayetaka...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Maandiko ya Story of Change yanaafiki hitaji la mfumo wa elimu wa nchi 2025-2030

    Toka mtandaoni UTANGULIZI Nchini Tanzania, Swala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, wala kutumia nguvu kubwa katka kunadi sera za elimu pekee bali tunahitaji kufanya mchunganuo na uchambuzi bali nguvu ielekezwe kwenye utekekezaji wake ili kuleta matokeo chanya kila mwaka na ni nini...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

    https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi? Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
  7. JamiiForums Tanzania Manyara Tayari Kupokea Wanafunzi Kutoka Pande Zote za Nchi

    MANYARA TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI KUTOKA PANDE ZOTE ZA NCHI Nimewaelekeza viongozi husika kuzingatia utoaji wa huduma katika sekta hii ya elimu kwa kuzingatia ubora, maadili, taratibu, miongozo na sheria hasa katika shule hii mpya ya wasichana ya Mkoa Manyara. "wazazi wote ambao watoto wenu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini aliyetuhumiwa kuhusika mauaji ya Shakahola, asiruhusiwe kupanda mbegu mbaya katika Nchi yetu.

    Salaam,Shalom!! Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika. Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Video: Rais William Ruto wa Kenya na funzo kwa viongozi wa Afrika hususani Tanzania. Uongozi wa nchi ni kusikia na kuelewa. Sio ubabe na maguvu..

    Rais wa Jamhuri ya Kenya amekubali kushindwa.... Amekubali kuwa yeye ni kiongozi wa serikali lakini kubwa zaidi ni kiongozi wa wananchi wa Kenya... Amekubali kuwa sauti ya umma ni sauti ya Mungu... Amekataa na kutambua kuwa uongozi si kutumia nguvu na mabavu bali ni kuwa na sikio la...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Soma uchambuzi huu wa kina ili kuelewa kwanini Watanzania hawawezi kamwe kuandamana

    Ndugu zangu Watanzania, Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa kiasi kikubwa huwa inatokana au kuchochewa na watu kukata tamaa na kukosa Matumaini ya kesho iliyo...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaipa meno Hizbullah. Zasema kuanzia sasa si kundi la kigaidi tena

    Katibu mkuu wa jumuiya ya kiarabu mwishoni mwa wiki hii ameitembelea Lebanon na kukutana na kiongozi wa chama kinachoiwakilisha Hizbullah katika serikali ya Lebanon Bwana Hossam Zaki baada ya kukutana na kiongozi huyo alifanya mahojiano na vyombo vya habari kikiwemo Alqahera cha Misri na kusema...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Katika miaka 5-25 ya mabadiliko ya nchi na jamii ningependa kuona au kuchangia mambo yafuatayo ili kupata maendeleo yenye tija katika nchi yetu

    KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;- 1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo...
  13. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

    Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda...
  14. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mchakamchaka mzito wa Kuzunguka nchi nzima Milima na Mabonde kwa Mwakani ataweza Kweli au atasaidiwa na Chawa Majuha wake?

    Kila nikiangalia na kumpima kwa mambo kadhaa sioni kabisa kama hata ataweza Kuizunguka Mikoa Saba tu Nchini.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

    Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
  16. JamiiForums Tanzania Sababu zipi zilimfanya Mwl.Nyerere kuiingiza nchi katika ujamaa na chama kimoja?

    Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967. Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi bora kwa kila jambo

    Nirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka...
  18. JamiiForums Tanzania Ikitokea upinzani ukashika DOLA utakuta nchi ipo hoi bin taaban.

    Ni kana kwamba makada wa chama changu ccm wanadmfukuzana na muda kwa kukopa na kukuza deni la taifa kuwa kasi sana huku rasilimali zikibebwa na wageni KWA kisingizio cha mikataba ya uwekezaji!! Najaribu kuvuta picha tuendapo napaona pagumu n hatuna pa kushika bila kujali nani atakua mshika...
  19. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nguvu ya vijana kwenye urithi wa nchi

    Vijana ni kundi la watu ambalo lipo kati ya umri wa miaka 18 mpaka 40, hii hutofautiana kwa baadhi ya jamii nyingine. Kundi hili ndio kubwa zaidi kwenye nchi yetu na linaongezeka kwa kasi kila siku(Sensa 2012-2022). Katika kipindi hichi cha ujana ndicho kinapaswa Vijana wapewe Elimu na Mafunzo...
  20. JamiiForums Tanzania Katika nchi za East Africa hakuna nchi inayopitia kipindi kigumu kama Tanzania. Yanayoendelea Kenya ni tabia tu.....

    Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu. Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema. Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…