nchi

  1. SoC04 Silikoni Bongo Mkombozi wa Bunifu Tanzania, ili kuchochewa ongezeko la ajira katika nchi yetu

    SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU Utangulizi Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu hutueleza linakuijia kichwani, lakini vile vile ukiendelea kuangalia vizuri utaona nembo za bunifu...
  2. Kwanini msafara wa Rais unasafiri kwa spidi kubwa na nchi nyingine wapo kama sisi?

    Picha linaanza magari yanaweza kufika hata 20 alafu barabara nzima wapo wao wanakimbia kwa kasi kubwa mno, hivi why tunaambiwa mwendo mkali unaua wakati wao viongozi wakuu wanakimbizana kama magari ya mbagala rangi tatu? Nchi nyingine wapo na mfumo huu?
  3. Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

    Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya ukiachana na matamshi ya TL kulingana na kuwa nje box . Vivyo hivyo hakuna baya ambalo JPM alifanya...
  4. A

    Kwa style ya viongozi wa namna hii, nchi yetu itaendelea kukaa gizani

    FEED THEM WITH FEAR, THEN EAT THEM.! Unajitahidi sana usizungumzie maswala ya siasa na imani za watu lakini unasikia viongozi wako wawakilishi wanaongea utopolo kabisa. Unajitahidi usiingilie maswala ya imani na dini za watu, mara unasikia viongozi wa dini wenyewe wanaruhusu mapenzi ya jinsia...
  5. SoC04 Tuuvune na kuuhifadhi umeme kwa matumizi ya baadae ili kupunguza tatizo la mgao na kukatika kwa umeme katika nchi yetu

    TUUVUNE NA KUUHIFADHI UMEME KWA MATUMIZI YA BAADAE ILI KUPUNGUZA TATIZO LA MGAO NA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA NCHI YETU Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazojitegemea...
  6. M

    Nikikumbuka haya mambo ninakiri kabisa tumetoka mbali na nchi yetu ilikuwa masikini mno

    Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30. 1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi kwamba kwenye darasa la wanafunzi 60 wanaopata nafasi ya kujiunga kidato cha kwanza labda ni watano...
  7. M

    Nchi inahitaji mawakili wengi kama Kibatala

    Wakuu neno ukiukwaji wa haki unaweza kulichukulia kirahisi kama haijakutokea wewe. Ila ni kitu kinachoweza kukuvuruga mno kikitokea. Hayati Lowassa ni miongoni wanajua ladha ya hilo neno kwa vitendo baada ya tukio la kukatwa jina lake mwaka 2015. Ingawa sidhani kabla ya hapo kama alikuwa...
  8. D

    Nchi inakaribia kupasuka kutokana na Kero za Muugano

    Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lissu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo Rais. Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano maana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi la sivyo tutavuna...
  9. G

    Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

    1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi. 2. Lisu anasema Rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu. 3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa CCM kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia CCM 2025. Badala ya kukaa kimya Rais...
  10. Napendekeza dunia iwe na nchi moja tu ya ‘United states of Earth’ (USE). Raia wa kigeni ni yule wa kutoka sayari nyingine tu

    Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia. Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu.. ==========================...
  11. SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  12. SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
  13. Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  14. N

    Je, wakati umefika kwa nchi yetu kutunga sheria inayoruhusu utoaji salama wa Mimba?

    Nimelazimika kuleta Uzi huu, kutokana na kuona ongezeko kubwa la watoto wa mitaani, yatima, watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, machokoraa, "panya road" na kadhalika. Ukichungiza matatizo yote hayo, mwanzo wake ni kutokana na mimba zisizotarajiwa. Kwa vyovyote vile mtoto akiletwa duniani...
  15. Nchi zilizoendelea biashara ya chakula ni kubwa sana na ndio zinalipa sana kwa watafutaji

    Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto. Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza...
  16. R

    Chadema wameamsha mijadala kila ya nchi; CCM haina majibu imekaa kimya upepo upite

    Mijadala mikuu nchini kwa sasa ni umuhimu wa katiba mpya itakayolinda rasilimali za Tanganyika na Muungano kwa ujumla. Mjadala mwingine ni kuhusu rushwa katika uchaguzi na namna ambavyo CCM inatuhumiwa kutumia fedha hata kwenye chaguzi za vyama vya upinzani Mjadala wa tatu ni kuhusu ACT...
  17. Single mother wote nchi hii karibuni mkoa wa Mara,Ukuryani, kwa nini uteseke? Kwa nini ujione kama ulikosea hii dunia? Hakika hutojutia

    Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni? Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
  18. PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  19. Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya. Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao...
  20. X

    SoC04 Halmashauri zitumie vyanzo hivi vipya kupata kodi endelevu kwa maendeleo ya nchi

    UTANGULIZI Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha nyingi kutoka Serikali kuu ili kujiendesha huku zikiwa na vyanzo vingi vya mapato ambavyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…