nchi

  1. JamiiForums Tanzania Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Ndiyo! Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Picha lilianzia pale Balozi wa Nchi dume alipoanza kufuatiliwa nyendo zake na yule Mbunge mustaafu

    Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake. Kutano la kwanza lilipuuzwa. Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania haina specialist wa Infectious disease nchi nzima?

    Hii kqzi imetangazwa miaka 4 iliyopita,,, Hadi leo hamna aliye apply!! Labda watakua wamechukua kutoka kenya sass maana tz nzima hakuna
  4. JamiiForums Tanzania Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

    Jisomee mwenyewe.
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

    Olympics Gold Medal tally Tanzania: 0 Kenya: 4 Ethiopia: 1 Uganda: 1 Burundi: 0 Rwanda:0 DRC: 0 S. Sudan: 0
  6. JamiiForums Tanzania MSIMAMO WA MEDALI ZA OLYMPICS 2024 KWA NCHI ZA AFRIKA

    Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana... Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka.... Kenya - Medali 6,Riadha Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli Uganda - 2,Riadha Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics Morocco- 2 , Mpira + kuruka...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

    Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa roho mtakatifu kwa kutembelewa na Maria kitoto kichanga kikaruka tumboni kwa furaha. Nawasihi hawa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Top 10, Nchi zinazoongoza kwa kuwabana wanawake kwenye ajira, Kuna uhusiano na dini ?

    Vyanzo vingi vinaonesha nchi hizi ndio zinaongoza kwa kuwa na imbalanced work force, Yaani baadhi ya nchi kwenye hii orodha ni mwiko mwanamke kwenda chuoni, kazi zinabanwa ziwe kwa wanaume tu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 bora Zinazoongoza kwa Kutegemea Misaada ya Kigeni Dunia

    1. Afghanistan Msaada: Kulingana na ripoti za Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Afghanistan inategemea msaada wa kigeni kwa zaidi ya asilimia 70 ya bajeti yake ya maendeleo (UNDP, 2021). Hali ya usalama duni na migogoro inaendelea kuathiri utegemezi huu. 2. Haiti Msaada...
  10. JamiiForums Tanzania Kama taifa kuna umuhimu mkubwa sana wa kufanya maandamano ya amani ya kitaifa Tanzania

    ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za makusudi, kimkakati katika chochea mageuzi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu, kijamii...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi gani Afrika ambayo inakimbiza mwenge hadi leo kama sisi?

    Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM. Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo? Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Kibiashara wa Kiislam unavyosaidia kukuwa uchumi wa nchi duniani na mifano ya nchi hizo

    Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii: 1. Kukuza Ustawi wa Kijamii Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
  13. JamiiForums Tanzania Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

    Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa! Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu. Hivi hilo tukio n la kwanza ? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina...
  14. JamiiForums Tanzania BASATA hawakuelewa matusi ya Harmonize mbele ya viongozi wa nchi?

    Katika vitu vya kushangaza ni hili la msanii harmonize kutaja matusi kwa makusudi tena kwa kurudiarudia bila ya kujali uwepo wa viongozi wa nchi siku ile ya yanga day. Nilitegemea angenyang'anywa kipaza sauti na waandaaji lakini ajabu haikua hivyo. Akaendelea tena na tena kutamka lile neno...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi kuisaidia Iran Tujiandae kuona nchi za kiarabu zikiingia kwenye matatizo makubwa.

    Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita. Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran. Hii ndio chance pekee aliyopata...
  16. JamiiForums Tanzania Kupata music scholarship nje ya nchi

    Wakubwa habari Mwenye ujuzi na mambo ya ufadhili aje hapa Mtupeni hzi scholarship za kusoma music nje ya nchi kwasabab mim nimetafta ila sizioni
  17. JamiiForums Tanzania Dunia sasa inatengeneza watu wadhaifu sana

    Majuzijuzi niliwaambia kwamba kwa sasa hii dunia inatengeneza watu soft sana, na niliwazungumzia waandishi wa habari walivyokuwa soft, si kama wale wa zamani, yaani usoft wao umekuwa kwenye kila kitu, dunia inatengeneza waandishi machawa kuliko hata wale wenye taalumu halisi ya uandishi. Sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

    Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita. Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
  19. JamiiForums Tanzania Leo tuangalie nchi tajiri kutoka katika kila bara

    Hapa ni orodha ya nchi 20 zilizotajiriwa zaidi katika bara la Asia kutokana na Pato la Taifa la Jumla (GDP) kwa mwaka 2023: 1. China - GDP: $14.72 trillion 2. Japan - GDP: $5.11 trillion 3. India - GDP: $3.18 trillion 4. South Korea - GDP: $1.66 trillion 5. Saudi Arabia - GDP: $833.56 billion...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sura ya 4 ya andiko la Mpina nimelia kwa uchungu nchi inavyochezewa

    TAARIFA RASMI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWA VYOMBO VYA HABARI YA TAREHE 29 JULAI 2024 SURA YA NNE MADHARA YA UTOAJI VIBALI KIHOLELA, KUSAMEHE KODI NA MABADILIKO YA SHERIA YA SEKTA YA SUKARI 1.0 Uamuzi wa kutoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…