nchi

  1. Zijue nchi tajiri za Kiafrika mwaka 2025

    Shirika la fedha duniani limetoa takwimu za mwaka 2025 zikitaja nchi 5 tajiri barani Afrika kwa vigezo vinavyokubalika. BBC swahili news
  2. Kwa trend ya gharama za hospitali binafsi za Tanzania ikiendelea hivi tutawakaribia marekani ilihali sisi ni nchi maskini

    Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana Kumbuka hata marekani walianza hivi hivi sahivi ni kilio kwenye gharama za afya maelezo mengine yapo kwenye video
  3. S

    Bye Bye Tanganyika - WaZanzibari wainusuru Nchi Yao

    WaTanganyika mnatupenda sana ila ALLAH anatupenda zaidi ,tutakieni safari njema katika safari yetu hii ya kuinusuru nchi yetu kipenzi ya Zanzibar ,Hadi sasa asilimia 85 inazungumza juu ya kuinusuru Zanzibar. Je Raisi Samia atahitaji RADHI za Mwalimu Nyerere au Maalim Juma Duni ? Baadhi ya...
  4. Picha: Wana CCM Uyole wapewa Mo Energy, Mama kafungua nchi

  5. Nimesononeshwa sana mpaka leo hii kama nchi tunatafuta mwekazaji wa usd million 27

    Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
  6. Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

    Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani. Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla. Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa...
  7. W

    Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  8. Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

    Mungu ibariki Simba Sc nzima Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana. Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba...
  9. Polisi kupiga na kuwatupa Watu maporini: Nchi imeingia kwenye State Terrorism?

    Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao. Watu...
  10. Polisi Tanzania tubuni mnaangamia kwa kokosa maarifa

    Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa Kwa walimu pia Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma anakupa pesho ya laki moja Unanuka damu yeye aliyekutuma Wala hajawai kuua Polisi jitambueni sisi...
  11. Watanzania maskini mnapaswa kufunga na kuomba kuiombea nchi yenu

    Watanzania mnapaswa kusali sana na kuomba kuiombea nchi yenu amani lakini amani hiyo iwe ya haki sio amani ya kuwauwa wadai haki na kuwasingizia kesi za uongo na kuwalisha maneno ya uongo midomoni ambayo hakuyafanya. Watanzania mnapaswa kusali sana ili upendo uongezeke nchini sisi kwa sisi...
  12. Hongera Dr. Nchimbi, Mungu analo Kusudi na Nchi yetu Tanzania!

    Itoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake! Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki
  13. Tanzania Kama Zilivyo nchi nyingi za Afrika, tunapitia Ukoloni wa aina nyingi

    Tuliachana na ukoloni wa Chui tukakutana na ukoloni wa Mbwa mwitu tukaishia ukoloni wa Fisi, hatujajua tutishia ukoloni wa nani. https://www.youtube.com/shorts/F3LQYQ3XbE8
  14. S

    Hotuba ya rais Samia: Mkuu wa nchi akitoa hotuba mjitahidi kusikiliza na kutoa ushauri, sio matusi

    Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri. Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii. Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta. Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
  15. R

    Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

    Series zao wanaingiza sana mambo ya WOKE, kutaka kulazimisha mwanamke aonekane anaweza kazi maalum za wanaume, kuingiza sana mambo ya upinde, kuchochea ubaguzi, n.k. Naombeni series za nchi nyingine type za kina Narcos
  16. M

    Vatican ni nchi ya ajabu sana duniani. Inatakiwa iingizwe E Guinness World Records

    Hii Vatican ni nchi? Mfumo wake wa upigaji kura uko vipi? Yaani raia wake wanapiga kura kumchagua Rais Kwa mfano Iran kuna Rais ambae ni kiongozi anaechaguliwa na raia wa Iran. Kuna Ayatollah Ali Khamenei, hachaguliwi kwa kura za wananchi moja kwa moja, bali huchaguliwa na chombo kinachoitwa...
  17. Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  18. M

    Kwahiyo mwezi wa saba nchi inaenda kuzalisha mamilionea

    Moja kwa moja kwenye mada. Kama inavyojulikana pension ya mbunge mmoja ni zaidi ya milioni 250 na huwa wanapewa kwa mkupuo hawana kikokotoo wala kikakataa. Hivyo kama kila mbunge akipokea kitita chake mapema mwezi Julai mwaka 2025 baada ya kuvunjwa bunge, ina maana hapo kuna mamilionea 400+...
  19. Nchi 11 tajiri Afrika kulingana na GPD

    Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa; 1. Afrika Kusini $410.34b 2. Egypt $347.34b 3. Algeria $268.89b 4. Nigeria $188.27b 5. Morocco $165.84b 6. Kenya $131.67b 7. Ethiopia $117.46b 8. Angola $113.34b 9. Côte d'Ivoire $94.48b 10. Ghana $88.33b 11. Tanzania $85.98b
  20. Jua haya kuhusu Vatican

    Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia. Rais wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…