nchi

  1. JamiiForums Tanzania Nchi haiwezi kukombolewa na watu wajinga!

    Mimi siisapoti CCM ila ni Mwafrica mwenye IQ kubwa Sana Najiuliza na nacheka Mange , Dangwa n.k hawa vilaza kweli wanaweza kukomboa nchi.!!!? Mkiendele na huu ujinga wakuwasikiliza watu waliojikatia tamaa na wajinga mtakuja kupata shida ya Akili Yule Mange kilaza aliyevujisha video ya prof...
  2. JamiiForums Tanzania Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza

    Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza. Waambieni sisi tupo sana
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiuhalisia wananchi wamefanikiwa zaidi kuliko serikali

    Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya . Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Sasa turudi kuijenga nchi TRA iwe jeshi usu, hakuna mwananchi wa kukwepa kulipa kodi

    Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi. Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
  5. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mama Samia utaongoza nchi ya matukio tu! kwa miaka yako yote iliyobaki!

    Mama Samia utaongoza nchi ya matukio tu! kwa miaka yako yote iliyobaki! ni bora uondoke au utakufa kwa mawazo tu maana hii nchi haitapowa tena.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%

    Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%. Je hii ina maana gani kama nchi 1. Mzunguko wa Pesa umepungua na utapungua kwasababu uwekezaji umepungua, watalii wamepungua na uwekezaji utapungua. Kwa mfanya biashara sasa atapata riba ya juu sana kama anakopa bank za nje kuja...
  7. JamiiForums Tanzania Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

    Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025. Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo kuendesha operation yake. Kuanzia gharama za kusafirisha watu na vifaa, gharama za malazi ambapo maaskari...
  8. JamiiForums Tanzania Ninaona giza mbeleni kwa upande wa kiutawala wa nchi

    Ninaona giza mbeleni kwa upande wa Muungano wetu wa Tanganyika +Zanzibar kimuundo na kiutawala. Tukumbuke kuwa zile zilikuwa zinaitwa kero za Muungano, sasa hivi ni kama hazipo hii ni kutokana na Rais wa Jamhuri kwa sasa ni Mzanzibar-so hope issue nyingi zinashughulikiwa ipasavyo.Ikitokea tena...
  9. JamiiForums Tanzania Mwijaku na “Wema wa Mama” wakimbia nchi, wanahofia nini?

    Wema ‘wa Mama’ ameelekea South Africa, na ameenda jana Disemba 7 na taarifa za aliko tunazo. Mwijaku yeye katimkia Dubai juzi Disemba 6. Na aliko taarifa zake pia tunazo. Sasa hawa watetezi wa Mama kwanini wanaondoka dakika za lala salama?
  10. JamiiForums Tanzania Nchi Yote ipo kwenye panic mood?

    Ripoti ya mashirika ya haki za binadamu inaonyesha kuwa ukandamizaji wa vyombo vya siasa, wapinzani na waandishi wa habari umeongezeka. Watu wanashtakiwa, kukamatwa bila masharti, kuondolewa uhuru wa kujumlisha na kuandamana. Vikwazo dhidi ya uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana nawaombeni mniahidi mkichukua nchi kesho D9

    Mimi mzee wenu kijana wa zamani napenda kuomba msamaha kwa niaba ya vijana wa zamani kwenu Gen Z tulishindwa kupambana kuweza kuhalalishwa uvutaji wa bangi. Siyo eti tulikosea hapana, tulijaribu tukashindwa kwa nia nzuri tu. Hii kitu imetuuma sana vijana wa zamani. Waliotangulia walitamani...
  12. JamiiForums Tanzania Ifahamu nchi yenye visiwa vingi

    Mzuka Wana Jamvi! Naam siyo nyingine bali Sweden. The land of the Abba, the land of Volvo and the land of Scania ( King of the road). Sweden ni taifa linaloongoza duniani kuwa na visiwa vingi. Idadi ya visiwa Sweden ni 221,800. Hii idadi ni nyingi. Visiwa vyake vingi havijawahi kukaliwa ama...
  13. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa yupo sawa?.Kama X wanakiuka sheria za nchi kwa nini anaitumia kutolea taarifa?

    Kitendo cha X kuvunja sheria za nchi na mkawaambia wajirekebishea ili muwafungulie. Na wao hawajajirekebisha hili kosa . Kama ni kosa kwa nini wewe undelee kulitumia kama njia ya kupeleka habari?
  15. JamiiForums Tanzania TCRA wanakiuka ibara 18 ya katiba ya JMT . Mpaka sasa hawajaifungulia JamiiForums kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hii

    Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku. Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: Sijalipwa na mtu yoyote kuchafua taswira ya nchi yoyote

    Mtangazaji wa CNN na mwandishi wa makala kuhusu matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania amesema kuwa hajalipwa na mtu yeyote kwa lengo la kuichafua nchi yoyote. Ameeleza kuwa badala ya hoja na ushahidi uliomo kwenye makala kujibiwa au kukanushwa, amekuwa akishambuliwa binafsi. Aidha, ameweka...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Angalia vyanzo vyote hivi vya maji, na wananchi wa Morogoro wanateseka na maji. Hii nchi ina akili?

    Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro: 1. Mito mikuu: · Mto Wami - unaopita Morogoro mjini · Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu · Mto Mkondoa · Mto Ngerengere 2. Milima na Mito Midogo: · Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi. · Mito ya Uluguru (kama...
  18. JamiiForums Tanzania 12. Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki

    Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki. Na mkiiachia iwaendeshe, haitawaendesha kama binadamu- itawaendesha kama mizigo. Kama gunia la mahindi lisilopiga kelele. Hayo ndiyo mmeanza kuyaona sasa. Na bado mnafikiri ni kisiasa. Bado mnafikiri CCM au CHADEMA au ACT ndo watakuja kuwaokoa...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakuna watu wa nje wa kuja kutusaidia kuondoa udhaifu wa kimamlaka tulionao bali ni NGUVU YA UMMA/WANANCHI/WENYE NCHI

    Mtu wa nje/jirani hawezi kujua ugumu unaopitia bali wewe mwenye nyumba ndio muhusika Najua watu wengi wanatamani sunctions na international organizations kufanya jambo. Ni jambo zuri na la kheri katika kusaidia kupush mapinduzi tunayoyapigania. Lakini vinara wa kwanza wa haya mapinduzi ni sisi...
  20. JamiiForums Tanzania Rwanda ndio nchi mojawapo Aafrika kwa sasa inatengeza silaha na vifaa vya ulinzi bila kutegemea mataifa mengine kuangiza

    Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya ulinzi ya nchi hiyo na inaweza kuwa mfano kwa mataifa mengine ya Afrika katika kupunguza utegemezi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…