nchi

  1. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
  2. JamiiForums Tanzania Mafuriko yaigharimu Pakistan zaidi ya Tsh. Trilioni 23

    Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mipango, #AhsanIqbal inasema makadirio ya awali yanaonesha mafuriko makubwa yaliyoikumba nchi hiyo, yamesababisha uharibifu wa karibu Tsh. Trilioni 23. Tayari Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetoa msaada wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukabiliana na...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe. Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...
  5. JamiiForums Tanzania Ujuaji wa hovyo na tamaa ya Babra unazua sintofahamu nje ya nchi

    Duniani kote timu zote jezi za timu kuanzia ya wakubwa ya wanawake za vijana hufanana kuanzia dizaini nembo ya mdhamini na mengine. Ili huyu dada kwa ujuaji wake anataka simba queens wavae tofauti na timu ya wakubwa hii ya wapi hii? Na anahisi kufanya hivyo jezi hizo pia zitawekwa sokoni wadau...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni nani aliekata mipaka ya nchi hizi?

    Salam wana jamii, Wakuu naomba mwenye ujuzi wa mambo ya mipaka ya nchi mbalimbali aje anipe muongozo wa vigezo vilivyotumika kuzipendelea baadhi ya nchi kwa kuzipa ardhi kubwa, na kuzikomoa zingine kwa kuzipa ardhi ndogo. Ukiangalia namna nchi ya China ilivyopendelewa huku majirani zake...
  7. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika kujenga nchi na kuchochea uzalendo bora

    UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo. Mambo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali achana na tozo jaribuni na hii

    Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili isiumize wananchi Ikusanye kodi kweny vilevi na sigara. Serikali itumie rasilimali zake kujiendesha mf. Madini, gesi, utalii, bandari n.k. Haiwezekani madin yetu wachimbe wazungu afu sisi tupewe gawio hii inaikosesha serikali pesa ambazo zingefuta...
  9. JamiiForums Tanzania Chagua moja kulipa tozo au kuhamia Burundi. Nchi haijengwi kwa maneno maneno tu.

  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Tupunguze Mfumuko wa Bei kwa Kuwawezesha Wamachinga kuuza Nje ya Nchi

    Kwa mujibu wa “Wikipedia ya Wamachinga”, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi; lugha yao ni Kimachinga. Kwa mujibu wa “Wikipedia” hii, kwa kipindi cha karne ya 20 na 21, Wamachinga wamekuwa maarufu katika miji mbalimbali kwa kuuza...
  11. JamiiForums Tanzania Msamaha wa Madeni: China yashutumiwa kwa Mikopo ya Mitego kwa Nchi za Afrika

    Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje kutangaza Agosti 20, 2022 kwamba nchi hiyo inasamehe mikopo 23 kwa nchi 17 za Afrika, huku ikiahidi kuimarisha uhusiano wake na nchi hizo baadhi ya wanadiplomasia wameiita hatua hiyo ni ”diplomasia ya mtego wa madeni” Wakosoaji hao wameituhumu China kwa Kukopesha...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi ndio wahusika wakuu wa mzigo wa madeni wa Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na changamoto mbalimbali, mzigo wa madeni wa nchi za Afrika umeongezeka. Baadhi ya nchi za magharibi zinadai kuwa China ndio inaibebesha Afrika “mtego wa madeni”. Lakini ukweli ni kwamba, nchi hizo ndio wahusika wakuu wa mzigo wa madeni wa Afrika. Katika...
  13. 1

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko makubwa katika Sayansi na Teknologia yanayofanyika katika nchi zenye uchumi imara yana maana gani kwetu? Ni ipi dira yetu?

    Nchi zenye uchumi mkubwa duniani kama Marekani na China zinapiga hatua kubwa katika Nyanja mbalimbali za teknologia wakati sisi Tanzania(Africa kwa ujumla ) tukiwa bado tuko nyuma. Mifano mizuri tumekuwa tukiona mapinduzi yanayozidi kufanywa katika utengenezaji wa magari, kampuni moja ya hukou...
  14. JamiiForums Tanzania Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu wa Nchi mbali anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki?

    Hivi kuna mtu wa Nchi hii anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki yanayohisiana na vita au heka heka ya kuagiza Yesu Africa? Au nikiumbelel na kumuhemuhe au ubwege wa kuwazu yanayotuhusu mfano rushwa, mahari kwa watoto wetu na kabira zetu na mila zetu, tozo za vocha...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

    Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu. Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48. Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania. Masikini wa Marekani...
  17. JamiiForums Tanzania China yasamehe mikopo 23 ya nchi 17 za Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi, ametangaza kuwa serikali itasamehe mikopo 23 iliyokomaa na isiyo na riba kutoka nchi 17 za Afrika zenye uchumi unaoibukia. Hatua hiyo haihusishi idadi kubwa ya mikopo ya hivi karibuni ikiwemo mikopo ya masharti nafuu na mikopo ya kibiashara ambayo kwa mujibu wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinapaswa kujifunza kutoka China jinsi ya kushirikiana na nchi za Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni aliahidi kwamba Marekani inapanga kutumia dola bilioni 200 kati ya mpango wa miundombinu wa dola bilioni 600 uliotangazwa hapo awali na G7 kupambana na "nafasi ya uongozi ya China barani Afrika na nchi nyingine maskini." Mwezi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Hii nchi inateketea, Viongozi wa dini saidieni

    Hii nchi iko kwenye mkwamo unaohitaji nguvu ya Mungu kabla mambo hayajafika pabaya. Bahati Mbaya viongozi wa dini hawafanyi tena makongamano ya kumtukuza Mungu. Kwa sasa ajari ni nyingi mno, kila siku kuna majanga ya kila aina, watu kuuwawa, watu kujiua, ajari za magari, milipuko ya matanker...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…