nchi

  1. JamiiForums Tanzania January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba, kama mna ndoto za kuja kuwa Marais kwenye Nchi hii basi futeni hizo ndoto

    Vijana mmeaminiwa na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania kwa kupewa uwaziri lakini mnachokifanya kwenye wizara zenu ni madudu tu. Hamjaonesha kuwa mko competent kuweza kugombea nafasi ya Urais hapo mbeleni. Mwigulu Nchemba umeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi badala yake umeweka tozo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Samia Nje ya Nchi zimekuwa zenye mafanikio makubwa sana, ni muwindaji mwenye shabaha aingiapo mawindoni

    Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba Viongozi wa huu mtandao mnifungie account yangu kwa kipindi Cha mwaka mzima ili nifanye maombolezo.

    Moderator naomba msifute huu Uzi Wangu Nimepata uchungu mkubwa Sana Hadi kichwa kinauma pamoja na kumeza Panadol kumi kwa siku lakini holaaa!!! Je hii Ndege Ingebeba Viongozi wa nchi mmegetumia mbinu hizi hizi za uokoaji wa kamba!!! Nimepandwa na Hasira Hadi pressure hipo Juu inasoma 190/90...
  4. JamiiForums Tanzania Kweli nchi bado masikini .

    Miaka 60+toka nchi ipate Uhuru bado watu wanavuta ndege kwa mikono ? Inaskitisha sana yaani ni mara 100 wakoloni wangeendelea kuwepo hapa nchini.....hii ni aibu kubwa sana kwa nchi yenye umri mkubwa kama Tanzania..... "Anyway ngoja tuendelee kung'atwa na nyuki maana walamba asali wapo kazini"
  5. JamiiForums Tanzania Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoto Kuota upo nje ya nchi tafsiri ya Ndoto hii nini

    Ndoto hii nimeiota usiku huu mida ya saa 8 sasa sababu usingiz ulikata ikabidi niingie mtandao jf kupata habari zilizojiri siku nzima ya jana. Natoa pole kwa wafiwa wote waliopoteza wapendwa wao kutokana ajali ya ndege nawaombea heri majeruhi wote Mungu awaponye warudi kwenye majukumu yao...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Jeshi la nchi Moja ni Goi Goi katika Kukabiliana na Majanga je, litaweza Kupambana na Jeshi lenye Uweledi na Uzalendo la Rwanda?

    Ujumbe wangu muhimu kwa hilo Jeshi ( nimelisahau ) kwa sasa ni kwamba liachane na Kujimwambafai kwa kufanya Mazoezi ya Ardhi na Anga Ili Kuitisha Rwanda ya Shujaa Rais Paul Kagame. Na pia niwaombe Wakufunzi wa Makomandoo wa hilo Jeshi ( nililolisahau kwa sasa ) kuwa liachane na Utoto wa kila...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

    Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga. Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao. Dunia nzima...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mechi ya marudiano ya yanga na club African nchi inaenda kuingia kwenye aibu ya karne

    Kwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu. Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki...
  10. JamiiForums Tanzania Wachumi watoa tahadhari nchi kusamehewa madeni

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Verdiana Tilumanywa amesema pamoja na umuhimu wa misaada, si jambo la kufurahia kuipokea, kwani aghalabu mtoaji hutarajia mrejesho chanya. “Anayekusaidia mara nyingi anatarajia kuzalisha kikubwa zaidi ya alichokupa, hatupaswi kufurahia...
  11. JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa michezo ya kubahatisha kwenye redio hapa Tanzania kuna manufaa gani kwa nchi yetu?

    Msinichoshe wala nisiwachoshe, rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu hizi redio kubwa hapa Tanzania kuanzisha michezo ya kubahati ya kimkakati, nime 'experience' kwa redio zifutazo; Clouds wana #mchongo pesa Wasafi wana #chota mahela East africa wana #peseka Radio free wana #bustika minoti...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia kwa kutembelea nchi 22 kwa awamu 25 kwa muda mfupi ndio sababu ya kuimarika huku kwa Uchumi wa Tanzania

    Dar es Salaam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa Taifa ikiwemo kufungua matumaini mapya, furaha na mwanga wa maendeleo kwa wananchi. Shaka ametoa...
  13. JamiiForums Tanzania Uturuki na Urusi wakubaliana kupeleka nafaka bila malipo kwa nchi Masikini - Erdogan

    Wapokeaji watakuwa nchi maskini kama vile Djibouti, Somalia, na Sudan, Ankara inasema Marais wa Urusi na Türkiye walikubaliana katika simu ya hivi majuzi kuhusu kutuma nafaka kwa mataifa maskini zaidi duniani bila malipo, kiongozi wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amefichua. Alisema hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Ukame, Nchi jirani zote Maji, Umeme vyote vipo, Why Tanzania tu?

    Tunaambiwa hakuna maji wala umeme sababu ya ukame na kwamba hakuna mvua, nijuavyo mimi Nature haijui mipaka ya kibinadamu, sasa iweje ukame uko kwetu tu? Tena wengine kama Kenya hata ni semi desert lkn kwa nini Nairobi maji yapo? Kwa nini Uganda kwa patron Museveni umeme na maji vyote vipo? Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Tanzania watu tunaishi kama tupo vitani

    Leo kuanzia asubuhi hakuna umeme,na maji hakuna
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Ushoga ni utamaduni wa Magharibi, kwanini iwe shinikizo kwa nchi nyingine?

    Dunia yote imekubali kuwa ni wachumba tu kwa nchi za Magharibi, Marekani ikikohoa kuhusu utamaduni wake uheshimiwe na viongozi wote duniani, wote wanapiga saluti! Hakuna asiyefahamu, Mungu amewaumba wanadamu wenye jinsia tofauti, na kwa sababu hiyo, ili wanapokutana na kufanya tendo la ndoa...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  19. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali kupiga marufuku club ya Yanga kutumia uwanja wa Mkapa,inadhalilisha nchi

    Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu. Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba kafanya nini kwenye nchi yetu hadi tufikiri kumpa urais?

    Kuwa mbunge na Waziri Kwa miaka mingi, sio hoja! Hoja ni nini umefanya katka nafasi zako hizo? Una record zipi ktk kulitumikia Taifa na hata upewe nafasi ya juu zaidi.? Tuweni wakweli tu, Mh January, amelifanyia nini Taifa letu mbali na kuwa kwenye nafasi Mbalimbali za juu kiuongozi. Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…