nchi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Uganda na Zambia ni moja ya nchi kumi zitakazopata fursa zaidi ya soko nchini China

    Kwa mara nyingine tena China imeendelea kuonyesha udhati wake kwenye kuzipatia fursa nchi zilizonyuma kiuchumi, kwa kufungua zaidi soko lake na kupunguza masharti ya kuingia kwenye soko. Hatua mpya ya mwelekeo huu ni ile iliyotangazwa na kamisheni ya ushuru ya baraza la serikali ya China...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nchi imepita nyakati mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa Duniani. Tazama ujinga huu

    Sitasahau kama ilivyo kwa kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii. Kulifanyika mambo ya ajabu sana yaliyotudhalilisha Watanzania na yaliyolidhalilisha taifa. Kamwe tusirudie tena. Pichani: Maafisa vipenyo wakiwa kwenye moja ya migahawa ya Bunge wakipima ukubwa wa samaki aliyepikwa.
  3. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka watumishi kuvikataa vyama vya wafanyakazi nchini

    Ni muda mrefu sasa watumishi nchini wamekuwa wakinyimwa haki zao ambazo zingine ni za kikatiba kabisa, kwa mfano kupewa nyongeza ya mishahara kila mwaka (annual incriment), upandaji wa vyeo, ulipwaji wa madeni na stahiki zingine, n.k. Kutokana uwepo wa vyama vya wafanyakazi (trade unions) kama...
  4. JamiiForums Tanzania Idadi ya wawekezaji nchi yazidi kupaa

    Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka. Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
  5. JamiiForums Tanzania Kama kuwa na ofisi ni jambo la maana, CCM isingeyumbisha nchi namna hii

    Kuwa na Ofisi ni sehemu ya utambulisho wa mahali taasisi fulani inapatikana. Lakini kuwa na Ofisi hakuhusiani na uimara wa taasisi husika. Makampuni yanayofilisika au taasisi zinazoshindwa kujiendesha na hatimaye kufungwa, nazo pia huwa na Ofisi. Wakati Serikali ilipoamua kuyaunganisha...
  6. JamiiForums Tanzania Nchi ya Uongo: Mpaka leo hakuna mwalimu amepewa kishkwambi

    Hii nchi bhana! Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.
  7. JamiiForums Tanzania Je, sisi kama taifa tunakosea wapi kuelekea nchi ya kiviwanda na uwekezaji?

    Ningependa kuwa karibisha wadau wote wa Jamiiforum watao penda kushiriki katika mjadala huu wenye swali liulizalo. Je sisi kama taifa tuna kosea wapi katika wizara ya nishati kuelekea katika nchi ya kiviwanda na uwekezaji ? Katika mjadala huu ningependa kutoa mfano utakao tupa mwangaza kidogo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi kuwa nchi ya kwanza kusimika Intaneti katika kilele kirefu zaidi cha mlima

    Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari. Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za...
  9. JamiiForums Tanzania Huenda mabadiliko makubwa yakafanywa ndani ya Serikali muda mfupi ujao. RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi

    === Baada ya kumsikiliza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hapo juu,Naomba nidondoe kidogo haya, Wakati wowote kuanzia Sasa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini na kwenye Chama, Mimi Wacha niwalaumu kidogo nyie maboss na endapo Kati yenu atasalia...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia tunasheherekea uhuru wa Tanganyika gizani? Hakuna umeme mitaani. Hii aibu

    Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao. Lakini wewe na January mmekata umeme. Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru. Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
  12. JamiiForums Tanzania Ayatollah na viongozi wa Iran wapanga kukimbilia Venezuela nchi ikinuka

    Mazungumzo ya siri yanaendelea kwa Venezuela kuwa tayari kupokea viongozi wa Iran kama vurugu zikipitiliza... Wananchi bado wanaendelea kukomaa, yaani kifo cha yule mdada kuuawa kisa sheria za dini kutokuruhusu nywele kuonekana, kitazama na wengi sana. Iranian authorities have reportedly begun...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani kuwa na makampuni ya umeme kwenye nchi yetu?

    Habari za humu wana jukwaa natumaini hamjambo. Nimekuja na mada hii baada ya kulala giza kila wakati, pia kushindwa kufanya kazi zangu za kiuchumi. Yaani serikali yenyewe iwe inachimbia tu nguzo halafu kuwepo na makampuni ya kupitisha waya za umeme, naamini nguzo moja kuna uwezekano wa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jambo la CCM linateka attention ya nchi yote kuwa upinzani ni kupoteza muda na malengo

    Kama Kuna mtu unadhani uahitaji kuleta mabadiliko kwenye nchi hii Kwa kupitia uongozi wa kisiasa basi ufikirie kufanya hivyo kupitia CCM. Mimi si muumuni sana wa vyama ila ni muumuni wa uwezo wa mtu hivyo ninaamini kwamba mtu akiwa na uwezo mkubwa, akapata jukwaa kubwa ni rahisi sana kutekeleza...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka kuchukua nchi fanyeni marekebisho kuanzia mfumo wenu wa uongozi kwa ujumla

    Hellow, Hakuna chama cha upizani kina nguvu kama CHADEMA na kina watu wengi sana kuliko vingine vyama vya upinzani. Lakini pia kina watu makini sana ambao watu hao wamejawa na tamaa, yaani ni wabinafsi sana kuliko kawaida. CHADEMA kina miaka mingi sana tangu kianzishwe Tanzania, lakini Ofisi...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

    Kama Cognizant (alias) Adorable Angel ningeulizwa nichague kipi kizuiwe na kisicho na faida kwa taifa kati ya Siku ya Uhuru 9 Desemba na Mbio za Mwenge wa Uhuru haraka sana bila kupoteza muda ningepinga kuwepo kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini. Kwanini? Siku ya Uhuru wetu (9 Desemba) najifunza...
  17. JamiiForums Tanzania Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

    Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro. Geita kuna laana Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FBI asema wana wasiwasi na TikTok kuhusu usalama wa Marekani

    Mkurugenzi wa FBI, Chris Wray amesema mtandao wa kijamii wa China TikTok umeanza kuwatia "wasiwasi wa kuhusu usalama wa taifa la Marekani. Akizungumza katika hafla katika Chuo Kikuu cha Michigan, Wray alionesha wasiwasi kwamba Serikali ya China inaweza kutumia data zilizokusanywa kupitia TikTok...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
  20. JamiiForums Tanzania Mama anaupiga mwingi na kufungua nchi

    Huruma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…