Waarabu ndio waliomfukuza mtume kutoka Makka na kumfanya akimbilie Madina.
Waarabu ndio waliowatesa waliosilimu na kuwapa adhabu kubwa.
Kwa hivyo asili ya waarabu wakipinga uislam.
Kwa hivyo usishangae nchi za uarabuni leo kushirikiana na wasiokuwa waislam.
History hujirejea.
Wakiristo...
Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
Palestinian Authority imelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Kiarabu, ikisema hatua hiyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi husika, inahatarisha usalama wa raia, na inaweza kuongeza zaidi mzozo na kuyumbisha utulivu wa Mashariki ya Kati.
Mamlaka hiyo imetoa wito wa kujizuia na kusisitiza...
Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran.
Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta...
Binafisi nipo interested sana na kilimo na ufugaji sijawahi kujutia.
Kitu kinachoendelea kunishangaza zaidi ni huu ufugaji wa njiwa kwa nchi za kiarabu. Huwa najiuliza hawa jamaa lengo lao ni nini?
Unakuta kundi kubwa la njiwa hadi unashangaa hawa wana milikiwa na mtu mmoja na kwa manufaa...
Nchi za kiarabu na kiislamu zimepinga vikali Somaliland kutambuliwa na Israel. Ikumbukwe kuwa nchi ya Somaliland imekuwa huru kwa zaidi ya miaka 30 na hakuna nchi yoyote ya kiarabu iliyoitambua.
Nchi ambazo zimepinga ni Qttar,Turkey,Saudi Arabia,Iran,Yemen,Somalia,Syria. Kukataa kwa nchi hizo...
Kuna kila dalili kuwa migawanyiko, undumila kiwili, unafiki, na woga wa waarabu utawatokea puani. Yenyewe yamekaa na kuangalia kana kwamba hayawahusu.
Na waafrika tujuandae. Huu waweza kuwa mchezomkubwa na mchafu kuliko unavyoonekana.
Tuombe Mungu wachina waendelee kutofautiana na wazungu...
Tutajuta viumbe wote wa huu ulimwengu kwa kukaa kwetu kimya hata kama hamas walifanya ugaidi kwa majirani zao Israel ila sio kwa malipo haya ya hawa watoto wa Gaza nimetazama video Instagram za ma photographer waliopo ukanda huo ambapo kwa sasa NI kama nusu jehanamu Hali inatisha Sana watu...
Tabia za wafaransa daima ni kuwatega binadamu wenzao watende ambacho ni kwa faida zao kwa kwango cha kuwadhalilisha bila kujali ubaya wake. Hata majaribio ya chanjo za corona walitaka zifanywe kwa waafrkia wenye rangi nyeusi.
Sasa waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot amesema...
Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa.
Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana...
Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati.
Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo.
Mkutano huo...
Muslim Brotherhood, ilianzishwa mwaka 1928 nchini Misri, ni shirika la kimataifa la Kiislamu la Sunni linalolenga kutekeleza sharia na kuanzisha caliphate ya kimataifa.
Itikadi zao zimezijenga vikundi vya kigaidi vingi duniania ikiwemo hamas na al-qaeda.
Mataifa kama Saudi Arabia, Umoja wa...
Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa.
Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO.
Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
Jumuia ya nchi za kiarabu umeamua kusitisha ushirikiano wa kijeshi na ki uchumi na Israel baada ya Israel kuanza kuishinikiza Hamas iwawaachie mateka waliowateka Oct 07,2023.
Viongozi wa nchi za kiarabu waliokutana huko Cairo wamesema Gaza itajengwa kwa plani nzuri waliyokwisha kuibuni wakati wapalestina hao wakiwa humo humo ndani.
Raisi Elsisi ambaye mara nyingi ameonekana kama kibaraka mkubwa wa Marekani ameongoza kwa kutoa tamko kali akisema zaidi ya kuijenga...
Walipokutana viongozi wa mataifa ya kiarabu hapo juzi na kukataa mpango wa raisi Trump wa kuwahamisha wapalestina na kuimiliki Gaza kumeivunjia heshima pakubwa taifa la Marekani.
Tukio la hapo juzi lina sura kama ndio mara ya mwanzo kwa mataifa hayo kupingana na mipango inayotoka nchi za...
Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna idadi kubwa kutoka nchi zenye Waislamu wengi, wakiileta tamaduni zao mbalimbali na mitazamo tofauti...
Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.
Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo...
Ni Yanga pekee imefanya hivyo kuondoka na ushindi kwenye ardhi ya waarabu Tena kwa swaga!
Iliwachapa Club African ya Tunisia goli 1 kwa mtungi kisha ikawachapa USM Algiers goli 1 kwa mtungi nyumbani kwao Algeria!
Tukumbuke kushinda ugenini ni jambo Moja na kushinda kwenye nchi za kiarabu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.