nchi za kiarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

    Peace, Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao. Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

    Updates baada ya vita kuanza kati ya Iran na Israel 13/06/2025 Hakuna hata taifa moja la kiarabu litakaloheshimiwa na kuachwa salama kwa mtindo wa mayahudi kujikweza na kutaka kuitawala dunia...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

    Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili. Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenye nchi za Kiarabu

    Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko. Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Ukubwa wa Simba: Timu 8 zitakazoenda robo fainali CAFCl, zote zinatokea nchi za Kiarabu isipokuwa Simba na Mamelodi

    Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu. Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo. Lakini kiukweli Simba japo haipo kwenye kiwango chake cha ubora, bado ni timu kubwa sana Afrika...
  6. Execute

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za kiarabu zinapingana na Quran kwa kufuta ndoa za wake wengi?

    Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi. Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Putin ahutubia Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, ahimiza uhusiano wa karibu

    Putin atoa wito wa kuwepo uhusiano wa karibu na mataifa ya Kiarabu. Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini zina jukumu muhimu zaidi katika ulimwengu wa "multipolar", kiongozi huyo wa Urusi alisema. Rais wa Urusi Vladmir Putin amehimiza kuwepo kwa uhusiano imara na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na...
Back
Top Bottom