Ukiangalia nchi zote za afrika zilisubiria kosa kwanza likafikia tamati ndio waanze kulitatua.
Ukilinganisha na wenzetu kukionekana kuna dalili ya makosa uwahi haraka kulitatua ,Ndio maana kila siku kompyuta na vifaa vyetu zinaomba mabadiliko ya kufanyiwa mabadiliko.
Serikali za afrika nyingi...
Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo,
Hii inathibitisha uchawi ni porojo tu, ni kama Nyuki wa mashineni.
Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
Ukiwa unasema Tanzania tuko slow kimaendeleo wanakuja machawa wa Samia wanakuambia kama huridhiki basi hama nchi.
WTF! Hivi kwa nini machawa wa Samia mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu na Samia wenu? Watu wanataka tubadilike tuwe serious, sio kuhama nchi
Nadhani sasahivi mnaona dunia...
Kosa kubwa sana la vyama vyetu hivi ni ukosefu wa hoja au itikadi inayotofautisha baina ya chama kimoja na Kingine. Mirengo ya vyama haviko wazi sana mbele ya wananchi.
Nilifuatilia uchaguzi wa Marekani kwa karibu sana. Kiukweli ilikuwa ni rahisi sana kutofautisha Democrat ( Progressive...
Wadau wote wa mikopo na wale wa misaada wanapaswa kuongeza vigezo kwenye utaratibu wa utoaji wa mikopo kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania.
Wadau hawa na benki nyingi zimekuwa zikitoa mikopo kwa kuangalia vigezo vidogo ikiwemo kusudi la mikopo bila kuangalia hali ya upotevu wa pesa kwenye nchi...
Ukiangalia waarabu majority identity yao ni Uislam na inawaunganisha.
Ukiangalia wazungu, majority ni Christianity, ni kiunganishi cha umoja wao.
Wa China wana imani zao ambazo ndio kitambulisho chao. Wahindi majority wanaunganishwa na imani zao.
Je ni ipi identity ya Muafrica? Ni ipi imani...
Kutokana na ujio wa Rais mpya wa marekani "Donald Trump" kusitisha utoaji wa misaada katika nchi za Africa, kauli/Sheria iyo imeonekana kuathiri sana sector ya afya ambayo ilikua ikilalia sana upande wa marekani Ili kuendesha programu mbalimbali.
Kutokana na kusitishwa Kwa misaada hiyo...
Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa.
Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira.
Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo .
Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.
Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT
Soma Pia:
Afrika...
Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa 2024 ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing, na kupitisha "Azimio la Beijing" na "Mpango wa Utekelezaji (2025-2027)". Wakati jumuiya ya kimataifa, ukiwemo Umoja wa Mataifa, ikipongeza kujumuika tena kwa familia za China...
1. Less talent are in high position(ikimaanisha watu wenye uwezo mdogo wa kuwaza mambo makubwa kwa ushirikiano ndo wameshikilia nafasi nyeti)
2. Those who contribute a little are given a higher reward( ikimaanisha watu wanafanya kidogo ila wanataka waonekane kuwa bila wao tusingefika kokote ila...