nbc

The National Broadcasting Company (NBC) is an American English-language commercial broadcast television and radio network owned by Comcast. The network is headquartered at 30 Rockefeller Plaza in New York City, with additional major offices near Los Angeles (at 10 Universal City Plaza), and Chicago (at the NBC Tower). NBC is one of the Big Three television networks, and is sometimes referred to as the "Peacock Network", in reference to its stylized peacock logo, introduced in 1956 to promote the company's innovations in early color broadcasting; it became the network's official emblem in 1979.
Founded in 1926 by the Radio Corporation of America (RCA), NBC is the oldest major broadcast network in the United States. At that time, the parent company of RCA was General Electric (GE). In 1932, GE was forced to sell RCA and NBC as a result of antitrust charges. In 1986, control of NBC passed back to General Electric (GE) through its $6.4 billion purchase of RCA. GE immediately began to liquidate RCA's various divisions, but retained NBC. After the acquisition by GE, Bob Wright became chief executive officer of NBC; he would remain in that position until his retirement in 2007, when he was succeeded by Jeff Zucker.
In 2003, French media company Vivendi merged its entertainment assets with GE, forming NBC Universal. Comcast purchased a controlling interest in the company in 2011, and acquired General Electric's remaining stake in 2013. Following the Comcast merger, Zucker left NBCUniversal and was replaced as CEO by Comcast executive Steve Burke.
NBC has thirteen owned-and-operated stations and nearly 200 affiliates throughout the United States and its territories, some of which are also available in Canada and/or Mexico via pay-television providers or in border areas over the air; NBC also maintains brand licensing agreements for international channels in South Korea and Germany.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Benki ya NBC Yakabidhi Gawio la Tsh Bil 20 Kwa wana hisa wake, yajivunia mafanikio.

    Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
  2. JamiiForums Tanzania Benki ya NBC yazindua kampeni mpya ya Shinda Mechi Zako na NBC

    Mkuu wa Bidhaa za NBC, Abel Kaseko akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi Zako na NBC”. Kampeni ya “Shinda Mechi Zako na NBC”, inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa NBC na kukuza ukuaji wao wa kifedha na uchumi wa nchi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Diarra kipa Bora ligi kuu NBC 2022-2023

    🥇 KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amefikisha clean sheet 16 katika Ligi Kuu na zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari ametangazwa Kipa Bora wa msimu kutoka na na kuwa na clean sheet 16 hadi sasa ambazo haziwezi kufikiwa na kipa yeyote. 🧤
  4. P

    JamiiForums Tanzania FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

    Mechi ni saa 1 usiku Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana hata benchi kunaongeza maswali. Kibu D naye mechi hii kaikosa. LIGI KUU: SIMBA YASHIKWA, YAZUIWA...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hali halisi ilivyo, Simba anaenda kumpita Yanga kwenye ubingwa NBC

    Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city. Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
  6. JamiiForums Tanzania Timu ya jeshi yapanda Ligi Kuu NBC

    JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya Kuichapa Timu ya African Sports Magoli Mawili Kwa Bila kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na...
  7. JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

    Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi. Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini...
  8. JamiiForums Tanzania FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

    Majira ya Saa 10:00 Alasiri kwa masaa ya Afrika Mashariki, Ihefu Fc itawakaribisha Simba Sc katika dimba lao la Highland Estates katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Habari kubwa leo, nani wa kumzuia Jean Baleke ambaye amekuwa hazuiliki sasa, kwa taarifa yako Baleke kwasasa anafunga kila...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa benki ya NBC kwenye udhamini wa ligi ya Tanzania

    Habari wakuu, Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara. Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
  10. JamiiForums Tanzania Mfungaji Bora NBC: Simba Sc imetuheshimisha

    KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara kwa msimu uliopita, George Mpole anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo kwa sasa amesema kutinga kwa Simba katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeiheshimisha Tanzania na kutoa fursa kwa vijana kupata nafasi zaidi za kutoka nje ya nchi. Simba...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani hutumika kumpata kocha bora wa mwezi ligi kuu ya NBC?

    Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC? Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi ana 90% za kushinda . Lakini ni miezi kadhaa tuzo zinatilewa ila anashindwa/anakosa i Nabi...
  12. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

    Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa Timu zinaingia uwanjani Mchezo unaanza 1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri 3'Goooooooooo Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi 7' Goooooooooo Baleke anafunga goli la...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Simbanking NBC sio poa

    Nimelinganisha huduma ya simbanking ya NBC haina ubora unaotakiwa, Simbanking ya CRDB kwani ukituma pesa inakuonyesha jina la unaempelekea na hata ukitumiwa pesa benki inakuonyesha aliyekutumia tofauti na NBC. Mimi nina account kote, hebu NBC mbadilike kuboresha huduma yenu, tunapoteza pesa...
  14. JamiiForums Tanzania FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

    Karibu kwa updates za moja kwa moja kutoka uwanja wa Hayati Benjamin William Mkapa.🏟 Mpira utaanza saa moja kamili usiku, saa za Afrika Mashariki. Karibu. 00 refa anaanzisha mpira kwa kupuliza filimbi, 02 Goool Azam wanapata goli Prince Dube anaunyamazisha mji wa Dar, Simba kimyaaaa 20 Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Msimu bora kwa Kikosi kilicho bora Tanzania

    Salam kwa JF member wote IKUMBUKWE *Sina upendeleo na klab yoyote *Si mtaalam sana wa mpira wa miguu *Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo 2023 kwa kiasi flani YANGA WANAMSIMU MZURI TOKA 2022 NA UZURI HUO UNAWEZA KUFIKA 2025 Haya nayaandika...
  16. JamiiForums Tanzania Simba mwaka Huu wasahau FA na NBC PL. Wasahau kabisa. Tena kwa kumtambulisha Coach Mwingine

    Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo. Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
  17. JamiiForums Tanzania NBC Premier League- Fixtures

    Credits to changaule
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC

    Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC
  19. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

    Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko? Tuungane pamoja katika huu uzi... Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC Kikosi cha wageni, Yanga. UPDATE: MANENO YA MAKOCHA KABLA YA MECHI "Mechi ya leo inaweza kuwa ni mechi ngumu kuliko watu wanavyofikiria" Cedrick...
  20. JamiiForums Tanzania Unbeaten hii maana yake Yanga siyo ya ligi hii ya NBC

    Huwezi kuwa na unbeaten 49 kama uko kwenye ligi yenye timu zenye uzito unaofananafanana. Naitabiria Yanga kufika mbali sana kwenye mashindano ya CAF.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…